Misafara ya Bawacha yatikisa, ni ile ya kuelekea Iringa kwenye kilele cha Siku ya Wanawake Duniani

Tatizo ni kwamba vyombo jipendekeza vya habari havitaonesha mkutano wala misafara.
Ujumbe utatufikia bila shaka,hivyo vyombo vya habari kwa sasa impact yake imepungua sana.Sasa hivi habari tunapeana kupitia social media kama clubhouse,youtube,whatsapp ama facebook.
 
Na sisi BAVICHA vijana wa kiume tutakuwepo siku hii ya Wanawake Duniani, maana tunataka kumuona Kamanda Mwenyekiti wa Taifa Freeman Aikael Mbowe akiwa ktk shughuli yake ya kwanza ya kikazi ya kisiasa baada ya kutoka mahabusu.
Wanaume wa chadema hao.
 
Chadema ninavyokupenda nitakunywa sumu juu yako
IMG-20220308-WA0502.jpg
 
Back
Top Bottom