Misaada itatuponza, sasa tunatakiwa tukubali usenge na usagaji?

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
Kweli ukoloni bado upo ingawa uko kwa sura nyingine. Kwa sababu ya misaada tu Uingereza inazitaka nchi zinakula pesa zake ikiwemo Tanzani ikubali usenge na usagaji? Heko serikali ya Tanzania kwa kuitunishia misuli Uingereza, lakini mtaweza kila mahala ikiwa asilimia kadhaa ya bajeti yenu inategemea misaada?
 
Mla huliwa

Shika ukuta usaidiwe ulidhania vya bure kila siku Tizama upime then Ufanye Maamuzi Uvue Gamba au Uvue hadi Kiunoni
 
Back
Top Bottom