Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

Si kweli! Hujui chochote. Unazungumzia jambo usilolijua. Wakatoliki tunaamini na ndio mafundisho ya kanisa kwamba ili umwone Mungu hupaswi kuwa na doa lolote. Hivyo basi kwa kuwa tunajua binadamu si wakamilifu na hapa na pale tunatenda dhambi wakati mwingine bila hata kujua basi tunafanya sala ili Mungu amsamehe huyu mja wake dhambi hizo ndogondogo alizofanya kwa kujua au kutojua. Imani yetu inatufundisha kwamba hawa wenye madoa ya dhambi lazima wasafishwe kwanza kabla ya kufika mbimguni. Kusafishwa huko kunafanyika mahali panaitwa toharani (purgatory). Hawa ndio tunawaombea. Huyu ni wajibu wetu kama wakristo. Mengine tunamwachia Mungu mwenyewe.

Hata hivyo lwa mtu aliyekufa akiwa na dhambi ya mauti (mortal sin) huyu hana nafasi hiyo ya kuombewa kwa sababu yeye anakwenda motoni moja kwa moja. Mfano wa dhambi ya mauti nimkumkana Mungu hadharani, kimkufuru Roho Mt. N.k.

Tunaamini aliyekufa hawezi tena kujiombea mwenyewe. Hivyo atategemea sana akiba ya waombezi aliyojiwekea hapa duniani kuendana na jinsi alivyoishi ikristo wake vizuri.

Hivyo tinawaombea hawa ndugu zetu marehemu kwa sababu hiyo kuu kwamba sisi wakatoliki tunaamini kwamba ni wadhambi na pamoja na kukitahidi kuishinda dhambi lakininudhaifu wetu wa kibindamu inatufanya tusiweze kuwa watakatifu tukiwa hapa duniani.

Kama mtume Paulo anavyotuasa kwamba tukisema kwamba hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe na ukweli haumo ndani mwetu, lakini tukikiri dhambi zetu Mungu ni mwaminifu hata akatusamehe.

Hivyo haiwezekani mtu afe bila kuwa na madoa ya dhambi ndogondogo. Hawa ndio tunawaombea. Wale wanaoenda motoni, yaani wenye dhambi za mauti, hata tukiwaombeaje haibadilishi kitu.

Haya ni mambo ya imani. Hayana habari ya ukweli na uongo!
Kumbe hujui, Mara baada ya kifo ni hukumu, maombi ya mtu wa duniani hayana nafasi ya kumwamulia njia ya mtu aendako, mtu hujiandalia mwenyewe njia yake
 
Wanaodhihaki wengine wanakoabudu ni wajinga na wapumbavu, tena malofa! Waafrika ni watu wa ajabu sana yaani inawezekana kabisa si binadamu bali ni viumbe vinavyofanana na binadamu.

Mnashindwa kujiuliza hizi dini mnazokwaruana nazo na mwingine kujiona sahihi zaidi ya mwingine, zililetwa kwenu miaka ya 1800's, kila kundi lilileta kwa kadiri ya misingi yao. So kabla ya hapo unataka kusema mababu hawakumjua Mungu wao? Biblia ilikuwepo? Anayesema wengine wanafuata mambo waliyopanga wanadamu je Biblia ni kitabu kilichodondoka toka mbinguni? au vilikusanywa na kukaa vikao na binadamu? Vikao hivyo vikapelekea kukataa maandiko mengine, kwanini aliyekataa ni nani Mungu au binadamu?

Leo hii kila mtu anafsiri Maandiko vile anavyoona inafaa yeye au hadhira yake. Mungu ni Upendo na upendo ni Mungu. Yaani uwe mfuasi wa Hellen, Ruther, Gregory, Gwaji au sijui nani kama huna upendo basi huna Mungu ndani yako.
 
Mnasifia makanisa,lakini watu wakiwa mtaani ni walewale kitabia na mienendo wanafanana tu,huwezi kuwatofautisha japo ibaada zao ni tofauti, sasa umaana wa lipi ni dhehebu sahihi unakosekana.
 
Mnasifia makanisa,lakini watu wakiwa mtaani ni walewale kitabia na mienendo wanafanana tu,huwezi kuwatofautisha japo ibaada zao ni tofauti, sasa umaana wa lipi ni dhehebu sahihi unakosekana.
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kanisa katoliki la mitume. Nidhamu inaanzia enzi za kina Petro na Paulo inakuja mpaka kwa hawa wa sasa.

Yale makanisa mengine likishanunuliwa hema na spika mbili tatu, mchungaji akishaenda masomo ya biblia miezi miwili tayari kanisa linaanzishwa!.
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kweli kabisa ni misa ya kiutu uzma sana! Kwakweli inatakiwa tujitathmini tukiwa hai kwenye haya madhehebu tuabudiyo
 
Mimi ni muislam niliye mfuasi mzuri wa DINI yangu,
Unajuaje kuwa wewe ni mfuasi mzuri wa DINI yako?
Ila kiukweli huwa nasuuzika sana kila jumapili ninapofuatilia misa za kanisa katoliki kupitia televisheni.Leo nilifarijika Sana kumuona askofu Ngalalekumtwa akitutuliza na kutujaza hisia za ukweli kabisa.
Nisieleweke vibaya kuwa hao waliotajwa hawana maana laa laa Ila nimeacha tu kuwafuatilia kwenye televisheni km nilivyoacha kabisa kuwafuatilia ndugu zetu Answaar Sunna a.k.a Wahabi na pia Sina maana nawadharau Answaar Sunna hapana.

Peace

Rip BWM
 
Back
Top Bottom