Mirco SIM CARD For Smart Phones !!

mathcom

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,396
518
Habari zenu wana jamii wenzangu ?
Katika matoleo mapya ya smart phones mfano (HTC, iPHONES, NOKIA LUMIA) n.k. zinatumia micro sim card
yaani SIM CARD ndogo kuliko ile standard size tuliyozoea!

Swali langu ni kwamba "Jee makampuni ya simu (tigo,voda,airtel and zantel) hapo Tanzania wanazo card za aina hiyo?"

Kama kuna mdau anaelewa au alishawahi kupatiwa huduma kama hiyo, naomba alipatie jibu!

Ahsanteni sana, nami nasubiri..
 
Unaongelea micro sim wakati iphone 5 inatumia NANO simu card ndo zaidi ya hapo...na tigo wanazo tayari
 
Hizi zote ni sim card zile zile sema zimekatwa ile plastiki extra ambayo haina kazi, so sim card yoyote inaweza kubadilishwa kuwa micro au nano kwa kuikata mwenyewe, unaweza kukata na mkasi au kutumia cutters maalumu ambazo zinapunguza uwezekano wa kukosea.

webMe.jpg

zy8qs.jpg
 
Nimekuelewa mkuu, kwahiyo hizo cutters zinapatikana tz au tubebe za akiba !!
 
Bora ununue sim cutter.
TZ watu wanacut kwa T.sh 10,000 utafikiri wanazitengeneza hizo sim card kumbe wanazipunguza tu!!
 
Hizi zote ni sim card zile zile sema zimekatwa ile plastiki extra ambayo haina kazi, so sim card yoyote inaweza kubadilishwa kuwa micro au nano kwa kuikata mwenyewe, unaweza kukata na mkasi au kutumia cutters maalumu ambazo zinapunguza uwezekano wa kukosea.

webMe.jpg

zy8qs.jpg
Yangu nilichonga tuu na wembe!! Iko safi kabisa!!!
 
Mi niliwaka mpaka wakachonga bure, yani vodacom kabisa wanadai elfu 10,000.
Hata aibu hawana....hizi njaa bwana. Elfu kumi kabisaaa! Hehehheeee. :banghead:

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
In future all sim cards will be micro sized
je unakumbuka scratch card za zamani... It was wastage of resources
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom