Miraji Mtaturu ateuliwa ateuliwa kuwa mgombea wa jimbo la Singida Mashariki kupitia CCM

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Huyu jamaa tulijua tu atakuwa mbunge .

Kila la heri miraji mtaturu.

Mh. Naomba umteue prof lipumba kuwa mkuu wa wilaya ya ikungi.

====

CCM yampitisha Mtaturu kugombea jimbo la Tundu Lissu…

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu kuwa mgombea wa Jimbo la Singida Mashariki, katika uchaguzi utakaofanyika Jula 31, mwaka huu.
IMG-20190716-WA0005.jpeg
 
View attachment 1155144
Hivi hakuwahi kuwa mbunge kweli? Kama aliwahi kuwa ingependeza ccm wangeweka sura mpya maana kuna majina yamekuwa kwenye uongozi miaka nenda rudi ila yamekosa ubunifu.
 
Naona lipumba anaombea kibarua cha ukuu wa wilaya.
Kwani ccm hakuna watu wa kujaza hyo nafasi?
 
Bila aibu atapita bila kupingwa, tunaharibu umoja na ustawi wa taifa letu kwa sababu za hovyo.
 
Huyu mteuliwa anajua atakuwa mbunge asiestahili!!

CCM imabaki chama dola kisichokubaliki kwa wananchi bali kwa wala nchi!!
hahaha una takwimu gani za kuthibitisha hoja yako, au unajipa matumaini tu. naomba nikwambie tu mpaka mwisho wa mwezi juni, tawimu zilikuwa.zinaonyesha.asilimia.90 ya watanzania wote wapo nyuma ya Rais Magufuli na Serikali yake..nyinyi mliobaki ni asilimia 10 tu, wala hamsumbui..makelele meeeengi kwa. sababu ya kutafuta fursa za ulaji, nendeni mkalime vijijini kama mnaona maisha yamewashinda..
 
Hahaha hakuteuliwa kugombea, sema kateuliwa kuwa mbunge! Hawa hawachaguliki, anayependekezwa maana yake kashinda tayari.
 
Huyu jamaa tulijua tu atakuwa mbunge .

Kila la heri miraji mtaturu.

Mh. Naomba umteue prof lipumba kuwa mkuu wa wilaya ya ikungi.

====

CCM yampitisha Mtaturu kugombea jimbo la Tundu Lissu…

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu kuwa mgombea wa Jimbo la Singida Mashariki, katika uchaguzi utakaofanyika Jula 31, mwaka huu.
View attachment 1155144
16.07.2019! Mbona kama Mwenyekiti alikuwa Mwanza? au ni ile C&P?
 
Back
Top Bottom