Miraji Mtaturu anaweza kuweka record ya kuwa mbunge aliedumu kuwa mbunge kwa muda mfupi kuliko wabunge wote katika nchi hii

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,982
144,308
Kwa kuangalia mwenendo mzima wa kesi hiii na kwa jinsi Jaji alivyokuwa akiwahoji maswali mawakili wa serikali,mtu unaweza kupata picha kamili ya nini mahakama inaweza kuamua siku hiyo ya tarehe 09/09/2019.

Hata hivyo,kwakuwa kuna siku kadhaa hapa katikati mpaka siku ya kutolewa hukumu,ni mtazamo wangu lolote linaweza kutokea/kuendelea.Naomba niishie hapo tu kuhusu hili.

Hoja yangu hapa ni kuwa,mbunge huyu akiapishwa hiyo kesho kama mahakama ilivyoruhusu, na tarehe tisa ya mwezi huu mahakama ikamvua ubunge, basi bwana Miraji anaweza kuingia katika historia ya kuwa mbunge kwa siku takribani saba tu au zaidi iwapo hukumu itachukua siku zingine chache kuwasilishwa kwa Spika baada ya kutolewa, ila all in all, huyu anaweza kuwa ni mbunge aliedumu kwa muda mfupi pengine kuliko wabunge wote tangu uhuru.

Tuombe mahakama itende haki(isimuone mtu na wala isimpendelee mtu) lakini pia isiingiliwe.

Hukumu itayotolewa,hasa kama haki ikitendeka,Jaji wa hii kesi, moja kwa moja, atakuwa akitajwa sambamba na mlalamikaji,Mhe. Lissu katika kuelezea historia ya mbunge huyu anaeweza kudumu kwa muda mfupi pengine kuliko mbunge mwingine yoyote yule tangu nchi hii ipate uhuru.

Tusubiri.
 
Tuombe Mungu haki itendeke na sijui hiyo aibu wataificha wapi!

Mkuu sioni haki ikitendeka ndani ya hizi mahakama zetu, hasa haki hiyo atendewe mpinzani na mkosoaji mkubwa wa rais aliye madarakani. Kwa maamuzi ya hizi mahakama zetu sishangai wawekezaji kuamua kutumia mahakama za nje. Hayo maamuzi ya leo yameshapangwa hata hoja za mawakili wa upinzani ziwe nzito vipi, hukumu imeshapanga iweje.
 
Najiuliza tu kama ilikuwa ni sahihi kwa mahakama kuruhusu mbunge huyu kuapishwa ili hali kuna kesi ya msingi ya kupinga ubunge wake tena itakayotolewa maamuzi ndani ya siku saba zijazo.
 
Mkuu sioni haki ikitendeka ndani ya hizi mahakama zetu, hasa haki hiyo atendewe mpinzani na mkosoaji mkubwa wa rais aliye madarakani. Kwa maamuzi ya hizi mahakama zetu sishangai wawekezaji kuamua kutumia mahakama za nje. Hayo maamuzi ya leo yameshapangwa hata hoja za mawakili wa upinzani ziwe nzito vipi, hukumu imeshapanga iweje.
Mahakama itatenda haki na Lissu atashinda kama hiyo ndio maana ya mahakama kutenda haki... Kapumzike kwa amani
 
JPM anahusikaje. Why aliposhinda majuzi mlishangilia. Niwaambie jiwe hajawahi gusa huko na Hana mpango. Nyie mnajiongelesha na kujijibu.
Hivi kwa akili yako, unafiki mawakili wa serikali walikuwa na hoja za kuingia akilini tangu hii kesi inaanza?
 
Kwa kuangalia mwenendo mzima wa kesi hiii na kwa jinsi Jaji alivyokuwa akiwahoji maswali mawakili wa serikali,mtu unaweza kupata picha kamili ya nini mahakama inaweza kuamua siku hiyo ya tarehe 09/09/2019.

Hata hivyo,kwakuwa kuna siku kadhaa hapa katikati mpaka siku ya kutolewa hukumu,ni mtazamo wangu lolote linaweza kutokea/kuendelea.Naomba niishie hapo tu kuhusu hili.

Hoja yangu hapa ni kuwa,mbunge huyu akiapishwa hiyo kesho kama mahakama ilivyoruhusu, na tarehe tisa ya mwezi huu mahakama ikamvua ubunge, basi bwana Miraji anaweza kuingia katika historia ya kuwa mbunge kwa siku takribani saba tu au zaidi iwapo hukumu itachukua siku zingine chache kuwasilishwa kwa Spika baada ya kutolewa, ila all in all, huyu anaweza kuwa ni mbunge aliedumu kwa muda mfupi pengine kuliko wabunge wote tangu uhuru.

Tuombe mahakama itende haki(isimuone mtu na wala isimpendelee mtu) lakini pia isiingiliwe.

Hukumu itayotolewa,hasa kama haki ikitendeka,Jaji wa hii kesi, moja kwa moja, atakuwa akitajwa sambamba na mlalamikaji,Mhe. Lissu katika kuelezea historia ya mbunge huyu anaeweza kudumu kwa muda mfupi pengine kuliko mbunge mwingine yoyote yule tangu nchi hii ipate uhuru.

Tusubiri.
I see things the same way mkuu,but if justice has to be done, the mp to be sworn tomorrow is illegally in bunge Period.mtu hawezi pigwa more than 37 bullets, ako hospital, na kisha Ndungai ajidai hajui pahali alipo mhe Lissu,
 
Tatizo kichwani mwako tayali Kuna hukumu uliyotayali kukubaliana nayo na usiyo tayali kukubaliana nayo.

--Uliyotayali kukubaliana nayo utaamini jaji ametenda haki
--Na usiyotayali kukubaliana nayo utaamini jaji hajatenda haki
Try and reason like an adult not like a toddler
 
Back
Top Bottom