Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Kwa kuangalia mwenendo mzima wa kesi hiii na kwa jinsi Jaji alivyokuwa akiwahoji maswali mawakili wa serikali,mtu unaweza kupata picha kamili ya nini mahakama inaweza kuamua siku hiyo ya tarehe 09/09/2019.
Hata hivyo,kwakuwa kuna siku kadhaa hapa katikati mpaka siku ya kutolewa hukumu,ni mtazamo wangu lolote linaweza kutokea/kuendelea.Naomba niishie hapo tu kuhusu hili.
Hoja yangu hapa ni kuwa,mbunge huyu akiapishwa hiyo kesho kama mahakama ilivyoruhusu, na tarehe tisa ya mwezi huu mahakama ikamvua ubunge, basi bwana Miraji anaweza kuingia katika historia ya kuwa mbunge kwa siku takribani saba tu au zaidi iwapo hukumu itachukua siku zingine chache kuwasilishwa kwa Spika baada ya kutolewa, ila all in all, huyu anaweza kuwa ni mbunge aliedumu kwa muda mfupi pengine kuliko wabunge wote tangu uhuru.
Tuombe mahakama itende haki(isimuone mtu na wala isimpendelee mtu) lakini pia isiingiliwe.
Hukumu itayotolewa,hasa kama haki ikitendeka,Jaji wa hii kesi, moja kwa moja, atakuwa akitajwa sambamba na mlalamikaji,Mhe. Lissu katika kuelezea historia ya mbunge huyu anaeweza kudumu kwa muda mfupi pengine kuliko mbunge mwingine yoyote yule tangu nchi hii ipate uhuru.
Tusubiri.