Miraji Mtaturu anaweza kuweka record ya kuwa mbunge aliedumu kuwa mbunge kwa muda mfupi kuliko wabunge wote katika nchi hii

Kwa kuangalia mwenendo mzima wa kesi hiii na kwa jinsi Jaji alivyokuwa akiwahoji maswali mawakili wa serikali,mtu unaweza kupata picha kamili ya nini mahakama inaweza kuamua siku hiyo ya tarehe 09/09/2019.

Hata hivyo,kwakuwa kuna siku kadhaa hapa katikati mpaka siku ya kutolewa hukumu,ni mtazamo wangu lolote linaweza kutokea/kuendelea.Naomba niishie hapo tu kuhusu hili.

Hoja yangu hapa ni kuwa,mbunge huyu akiapishwa hiyo kesho kama mahakama ilivyoruhusu, na tarehe tisa ya mwezi huu mahakama ikamvua ubunge, basi bwana Miraji anaweza kuingia katika historia ya kuwa mbunge kwa siku takribani saba tu au zaidi iwapo hukumu itachukua siku zingine chache kuwasilishwa kwa Spika baada ya kutolewa, ila all in all, huyu anaweza kuwa ni mbunge aliedumu kwa muda mfupi pengine kuliko wabunge wote tangu uhuru.

Tuombe mahakama itende haki(isimuone mtu na wala isimpendelee mtu) lakini pia isiingiliwe.

Hukumu itayotolewa,hasa kama haki ikitendeka,Jaji wa hii kesi, moja kwa moja, atakuwa akitajwa sambamba na mlalamikaji,Mhe. Lissu katika kuelezea historia ya mbunge huyu anaeweza kudumu kwa muda mfupi pengine kuliko mbunge mwingine yoyote yule tangu nchi hii ipate uhuru.

Tusubiri.
Inasemekana hata Ndugai kishataarifiwa
 
Mahakama itatenda haki na Lissu atashinda kama hiyo ndio maana ya mahakama kutenda haki... Kapumzike kwa amani

Narudia tena, sikutarajia haki yoyote toka kwenye hiyo mahakama. Utendaji wa mahakama zetu ndio huchangia wawekezaji kutumia mahakama za nje. Hizo zetu zinaingiliwa wazi wazi na watawala fullstop.
 
JPM anahusikaje. Why aliposhinda majuzi mlishangilia. Niwaambie jiwe hajawahi gusa huko na Hana mpango. Nyie mnajiongelesha na kujijibu.
wapinzani wengi wanatabia za kulialia kama walidekezwa utotoni,,,,
They dont live by reality.... Niko huru leo LIssu akishinda ama serikali ikishinda koz naamini mahakama ni chombo cha haki..
Juzi timu Lissu ilishinda hoja mahakamani walikata viuno kama wacheza vanga...
Narudia tena, sikutarajia haki yoyote toka kwenye hiyo mahakama. Utendaji wa mahakama zetu ndio huchangia wawekezaji kutumia mahakama za nchi. Hizo zetu zinaingiliwa wazi wazi na watawala fullstop.
Mahakama TZ zinatenda haki ila unachotafuta wewe always ni special treatment kama aliyedekezwa utotoni ama kama aliyelelewa na mama wa kambo "low trust" ambapo haki ni pale unapokuwa favored...
Kesi za uchaguzi more than 10 upinzani wanashinda.....
 
wapinzani wengi wanatabia za kulialia kama walidekezwa utotoni,,,,
They dont live by reality.... Niko huru leo LIssu akishinda ama serikali ikishinda koz naamini mahakama ni chombo cha haki..
Juzi timu Lissu ilishinda hoja mahakamani walikata viuno kama wacheza vanga...

Mahakama TZ zinatenda haki ila unachotafuta wewe always ni special treatment kama aliyedekezwa utotoni ama kama aliyelelewa na mama wa kambo "low trust" ambapo haki ni pale unapokuwa favored...
Kesi za uchaguzi more than 10 upinzani wanashinda.....

Narudia tena, sitegemei na wala sikutegemea mpinzani haswa Lissu huku akiwa mkosoaji mkubwa wa rais kupata haki hapo mahakamani. Sina popote ninaweza kufurahi au kusema mahakama imetenda haki kwa mpinzani zaidi ya kushangaa inapothubutu kutenda haki. Mahakama zetu zingekuwa kweli zinaaminika kutenda haki, basi wawekezaji wasingetumia mahakama za nje. Na ukweli mchungu, nchi zozote zinazoongozwa kidictator haziogopi mahakama bali huogopa nguvu ya umma tu.
 
Kwa kuangalia mwenendo mzima wa kesi hiii na kwa jinsi Jaji alivyokuwa akiwahoji maswali mawakili wa serikali,mtu unaweza kupata picha kamili ya nini mahakama inaweza kuamua siku hiyo ya tarehe 09/09/2019.

Hata hivyo,kwakuwa kuna siku kadhaa hapa katikati mpaka siku ya kutolewa hukumu,ni mtazamo wangu lolote linaweza kutokea/kuendelea.Naomba niishie hapo tu kuhusu hili.

Hoja yangu hapa ni kuwa,mbunge huyu akiapishwa hiyo kesho kama mahakama ilivyoruhusu, na tarehe tisa ya mwezi huu mahakama ikamvua ubunge, basi bwana Miraji anaweza kuingia katika historia ya kuwa mbunge kwa siku takribani saba tu au zaidi iwapo hukumu itachukua siku zingine chache kuwasilishwa kwa Spika baada ya kutolewa, ila all in all, huyu anaweza kuwa ni mbunge aliedumu kwa muda mfupi pengine kuliko wabunge wote tangu uhuru.

Tuombe mahakama itende haki(isimuone mtu na wala isimpendelee mtu) lakini pia isiingiliwe.

Hukumu itayotolewa,hasa kama haki ikitendeka,Jaji wa hii kesi, moja kwa moja, atakuwa akitajwa sambamba na mlalamikaji,Mhe. Lissu katika kuelezea historia ya mbunge huyu anaeweza kudumu kwa muda mfupi pengine kuliko mbunge mwingine yoyote yule tangu nchi hii ipate uhuru.

Tusubiri.
Labda ni kutokujua nini kinachoendelea ktk shauli hili. Kwa nijuavyo trh 9/9 ni siku ya kutolewa maamuzi kama LissuANARUHUSIWA/ANAKUBALIWA na mahakama kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa ubunge. Na iwapo atakubaliwa haimaanishi ubunge wa Mtaturu unakoma la hasha, bali safari ndefu ya kupigania kurudishiwa Ubunge inaanza!!
Ndipo utagundua kwa nini ombi la zuio la kuapishwa Mtaturu lilikuwa muhimu sana, kwa kuzingatia uwezekano wa maamuzi kukatiwa rufaa, kesi inaweza kuendelea kwa muda mrefu kiasi cha kufika wakati wa uchaguzi mwingine.
Hata hivyo kwa mujibu wa maelezo ya Kaka mtu anachopigania Lissu si ubunge, bali athari zitokanazo na kufukuzwa Ubunge, Kukosa "Mafao". Ushindi wa Lissu iwe leo au keshokutwa unamhakikishia malipo ya stahiki zake kama mbunge aliyemaliza muda wake.
 
Narudia tena, sitegemei na wala sikutegemea mpinzani haswa Lissu huku akiwa mkosoaji mkubwa wa rais kupata haki hapo mahakamani. Sina popote ninaweza kufurahi au kusema mahakama imetenda haki kwa mpinzani zaidi ya kushangaa inapothubutu kutenda haki. Mahakama zetu zingekuwa kweli zinaaminika kutenda haki, basi wawekezaji wasingetumia mahakama za nje. Na ukweli mchungu, nchi zozote zinazoongozwa kidictator haziogopi mahakama bali huogopa nguvu ya umma tu.
Ameshapewa haki suala lake (lissu) kusikilizwa....
Lingetupiliwa mbali kama kusingekuwa na haki....
 
Kwa kuangalia mwenendo mzima wa kesi hiii na kwa jinsi Jaji alivyokuwa akiwahoji maswali mawakili wa serikali,mtu unaweza kupata picha kamili ya nini mahakama inaweza kuamua siku hiyo ya tarehe 09/09/2019.

Hata hivyo,kwakuwa kuna siku kadhaa hapa katikati mpaka siku ya kutolewa hukumu,ni mtazamo wangu lolote linaweza kutokea/kuendelea.Naomba niishie hapo tu kuhusu hili.

Hoja yangu hapa ni kuwa,mbunge huyu akiapishwa hiyo kesho kama mahakama ilivyoruhusu, na tarehe tisa ya mwezi huu mahakama ikamvua ubunge, basi bwana Miraji anaweza kuingia katika historia ya kuwa mbunge kwa siku takribani saba tu au zaidi iwapo hukumu itachukua siku zingine chache kuwasilishwa kwa Spika baada ya kutolewa, ila all in all, huyu anaweza kuwa ni mbunge aliedumu kwa muda mfupi pengine kuliko wabunge wote tangu uhuru.

Tuombe mahakama itende haki(isimuone mtu na wala isimpendelee mtu) lakini pia isiingiliwe.

Hukumu itayotolewa,hasa kama haki ikitendeka,Jaji wa hii kesi, moja kwa moja, atakuwa akitajwa sambamba na mlalamikaji,Mhe. Lissu katika kuelezea historia ya mbunge huyu anaeweza kudumu kwa muda mfupi pengine kuliko mbunge mwingine yoyote yule tangu nchi hii ipate uhuru.

Tusubiri.

Kwa kuandika kuwa huyu Mbunge anaweza kuwa mbunge wa muda mfupi tayari umeiingilia mahakama
 
Kwann jaji hajazuia hiyo kesho asiapishwe?Maana akiapishwa kuja kumvua ubunge nikesi nyingine inayoweza kumaliza hata mwaka mpk avuliewe ubunge wake
Najiuliza tu kwa mfano ikichukua zaidi ya mwaka halafu kwa bahati Lisu akashinda, je huyu Mtaturu atatakiwa kurudisha stahiki zote alizopata kama Mbunge?
 
Nehi.... hausiki na kusimamisha mtu wala kushinda kesi..
Anakula pesa ya kujikimu kama 50ml... akistaafu baada ya muda mfupi hata wiki ama a month anakula pesa yake ya kustaafu around 300ml... Zitakazomsaidia kwenye kampeni uchaguzi kamili the next time..
Lucky him 😁 😁
 
JPM anahusikaje. Why aliposhinda majuzi mlishangilia. Niwaambie jiwe hajawahi gusa huko na Hana mpango. Nyie mnajiongelesha na kujijibu.
Usitulinganishe na watoto wako Mkuu, hayo nenda kawaaminishe watoto au wajukuu zako. Sawa sawa?
 
Back
Top Bottom