Miraji kikwete atoa fulani kwa ajili ya msiba wa msanii mangweha


S

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Messages
2,906
Points
1,225
S

Shadow

JF-Expert Member
Joined May 19, 2008
2,906 1,225
Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia).

Miraji akiwa katika pozi na fulana sawa na ya marehemu Mangweha hapo chini.…[h=3]MIRAJI KIKWETE ATOA FULANI KWA AJILI YA MSIBA WA MSANII MANGWEHA[/h]Posted by GLOBAL on June 2, 2013 at 5:00pm 0 Comments 1 Like
Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia). Miraji akiwa katika pozi na fulana sawa na ya marehemu Mangweha hapo chini.…
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/miraji-kikwete-atoa-fulani-kwa-ajili-ya-msiba-wa-msanii-mangweha
Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia).Miraji akiwa katika pozi na fulana sawa na ya marehemu Mangweha hapo chini.Marehemu Albert Kenneth Mangweha enzi za uhai wake.
Mdau wa muziki nchini, Miraji Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete leo amekabidhi fulana kwa ajili ya shughuli ya msiba wa msanii Albert Kenneth Mangweha katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.
 
D

dav22

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
1,897
Points
1,225
D

dav22

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
1,897 1,225
safi sana miraji....
 
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Messages
4,129
Points
0
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined May 27, 2009
4,129 0
P funk fujo zote kwa Clouds kumbe wanagombania kujipendekeza kwa the 1st Family!
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
hongera sana Miraji,hope kuna kitu umejifunza na wewe kupitia kifo cha mangwea na utajirekebisha
 
Twilumba

Twilumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Messages
6,908
Points
2,000
Twilumba

Twilumba

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2010
6,908 2,000
Mode hz mambo zinajaza server unganisha na ile thread nyngine inayozunguzia huyu dogo kutoa T-shirt 500!
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,624
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,624 2,000
Mbona hii habari iko hapa JF tangu juzi!? au mleta mada anaishi North Korea?
 
Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
11,498
Points
1,225
Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
11,498 1,225
safi sana miraji....
Kwanini asingemsaidia hizo hela wakati akiwa hai ili apate kuachana na unga? Nadhani kujifanya kumkumbuka akiwa mfu si issue ni kuuza tu!
 
bily

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
8,054
Points
2,000
bily

bily

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
8,054 2,000
P funk fujo zote kwa Clouds kumbe wanagombania kujipendekeza kwa the 1st Family!
mh PFUNK MajanI hawezi kujipendekeza kwa mtoto wa rais ambae alifukuzwa na jakaya akalelewa pale block 41 na kalapina kipindi hicho PINA ALIKUA BONGO RECORDS usionge kitu ambacho ukijui,
 
Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
11,498
Points
1,225
Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
11,498 1,225
Sikubaliani na huyu dogo hata a unit coz kuspend hela nyingi kwenye mazishi wakati akiwa hai unakuwa huna mpango nae si ishu labda kuna kitu kimejificha nyuma yake
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,624
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,624 2,000
Sikubaliani na huyu dogo hata a unit coz kuspend hela nyingi kwenye mazishi wakati akiwa hai unakuwa huna mpango nae si ishu labda kuna kitu kimejificha nyuma yake
Hakuna kilichojificha wote ni mateja, au ulivyosikia ni mtoto wa Kikwete ndio bichwa lako limepasuka ukadhani ni mtu wa maana sana? Huyo Miraji Kikwete ni mtoto wa maskani ya King"oko na ni mbwia unga mzuri tu.
 

Forum statistics

Threads 1,283,620
Members 493,759
Posts 30,794,808
Top