Miradi ya ujenzi iliyojengwa chini ya kiwango

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,703
10,168
Hapa naorodhesha michache, najua nyie mwaijua mingi.

1. Brabara ya Kilwa, kuanzia Bandarini hadi Mbagala rangitatu
2. barabara ya kutoka Mbagala Rangitatu kwenda Charambe
3. Shekilango Road, kuanzia Bamaga hadi maghorofa ya Shekilango
4. Barabara za Kunduchi Salasala
endeleza
 
Unamaanisha nini chini ya kiwango? Ulishazipitia spec za hiyo miradi mkulu!
 
Back
Top Bottom