Miradi mikubwa mitano inayofanywa na Serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli

kichoroba89

Senior Member
Oct 3, 2019
197
57
Kama Rais MAGUFULI alivyosema hapa kazi tu,ni hakika,Rais Magufuli ni dhahiri kachapa kazi kama alivyoahidi hadi kapewa jina la Tingatinga yaani mtu wa kazi hadi baadhi ya wapigaji wakamuogopa,kuna miradi mitano mikubwa inayofanywa na serikali ya Awamu ya Tano ambayo ni kama ifuatavyo?

Barabara za juu(FLY OVER),2016 Rais alizindua Barabara ya makutano ya Tazara na imekamilika 2018,Ipo ya Ubungo inayotarajiwa kukamilika 2020.

Bomba la mafuta ghafi (Hoima uganda hadi Chongoleani Tanzania,mradi unatarajiwa kukamilika 2020).Kufufua shirika la Ndege Tanzania (AIR TANZANIA)(ATCL).

Kuimarisha sekta ya Utalii,Mradi mkubwa wa Umeme (Kinyerezi 1 na 2).Miradi yote ina lengo moja tu kubwa kuifanya Tanzania kuwa Nchi ya Viwanda,Viwanda huhitaji manpower kubwa hivyo ajira nyingi zitapatikana kupitia Viwanda

MUNGU AZIDI KUMBARIKI RAIS MAGUFULI
 
Flyover ya tazara sio mradi wa serikali ya awamu ya 5. Hizi sifa mnazotafta za uteuzi kuna siku mtasema hata ikulu ya Dar es salaam imejengwa na serikali ya awaamu ya tano.

Mradi wa hoima upi tena? Mbona watu mnajitoa akili hivi au mnatumia amba ruti kufikiri?
 
Back
Top Bottom