Miradi ambayo nchi za Afrika zingefanya ili kuondoa utegemezi

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Miradi ambayo kama nchi za Afrika zingeifanya ili kuondoa utegemezi wa nchi za Magharibi.:
1.Kama kungefanikishwa uanzishaji wa kampuni ya RASCOM 1992.Ambayo ingeendesha satelaiti ya pamoja na kuondoa utegemezi wa kimawasiliano.
2.Kuanzisha AFRICAN MONETARY FUND (AMF) kule Younde Cameroon mpango uliowekwa ili kuondoa utegemezi kwa IMF.Na kuwezesha African Investment Bank iliyo pangwa Sirte Libya,ingeondoa utegemezi wa WB kama ilivyo kwa Bank of the South kwa mataifa ya Amerika ya kusini.
3.Miradi ya njia za uchukuzi ya pamoja mf.Reli kutoka Tanzania -South Africa kama ingekuwa kunamtapanyo na muungano wa reli Afrika nzima basi ingekuwa ni rahisi kwenye shughuri za usafirishaji bidhaa na mizigo mizito ndani ya bara.
4.African community market,labda ingesaidi bidhaa zetu kuwa na thamani ndani ya soko la dunia kwani mataifa ya kigeni yangepaswa kununua kwenye soko la pamoja na si kwenye nchi mojamoja.
5.Mfumo wa pamoja wa elimu na kubadilishana wataalamu,ingesaidia kukuza teknolojia na ubora wa elimu pamoja na ujuzi ndani ya waafrika wenyewe,na si kutegemea mataifa ya magharibi.
JE UNADHANI KUNA LA ZIADA,hebu tushirikishane hapa.
 
Viongozi wetu wanajua yote hyo ila nani wa kumvika paka kengele?

Wanaogppa wasije yakawakuta km ghadafi au zimbabwe ya mugabe

Now tunahitaji viongozi majasiri sana wataokuwa na jeuri ya kukataa utegemezi kwa wazungu

Nadhani mtu km malema so far anaonesha njia kuwa kun Possibilities ya kuungana na kufanya vitu kwa pamoja
 
Ingewezekana tu kama kungekuwa na nchi tajiri sawa na nchi za dunia ya kwanza yenye teknolojia na utawala bora na yenye mitazamo hiyo ambayo ingezitawala nchi zilizo baki hapa Africa.
 
Ni ngumu sana kupambana na adui rafiki na ili tuweze kusonga mbele ni vema tukaanzisha kampeni ya kuwaoa mabinti wa kizungu na kuwapachika mimba haraka iwezekanavyo ili kubalance equality taratibu taratibu na hatimaye kufanikisha maendeleo katika nchi zetu za kiafrika.
 
Viongozi wetu wanajua yote hyo ila nani wa kumvika paka kengele?

Wanaogppa wasije yakawakuta km ghadafi au zimbabwe ya mugabe

Now tunahitaji viongozi majasiri sana wataokuwa na jeuri ya kukataa utegemezi kwa wazungu

Nadhani mtu km malema so far anaonesha njia kuwa kun Possibilities ya kuungana na kufanya vitu kwa pamoja
Mkuu mawazo yako ni mazuri sana lakini ni magumu sana katika utekelezaji wake.
Je kuna rais yeyote wa kiafrika anaeweza zuia sera za wazungu nchini kwake? jua kwamba wao wanatucontrol sisi katika nyanja mbalimbali.
 
Africa imekosa kitu kimoja kikubwa
RASILIMALI AKILI
Umeongea vema mkuu.. akili huanza na akili. Akili hukuzwa kupitia elimu ambayo hutolewa katika mifumo rasmi. Ni kwa kupitia elimu ambako maarifa huongezeka na maarifa haya hutumika kuongeza maarifa ya wengine na hivyo kuwepo mtiririko wa kuendeleza maarifa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.

Kwa Afrika hili swala halipo.. tatizo ni akili ya waliopo kutokuwa vema.. akili yao ni very shallow.. inafikiria tumbo na ngono.. baasi.. kusudi tifikie katika kufanikishe miradi tajwa lazima waafrika wapewe akili si kutoka kwenye mifumo ya adui (wazungu) bali kutoka katika mifumo ambayo imetengenezwa na waafrika wenyewe. Kwa hiyo utagundua kuwa akili hutokana na akili.. kwamba waliotangulia kama hawana akili.. so wataofuata hawatakuwa na akili kuliko waliotangulia
 
Hapana mkuu, tuna akili sana tatizo ni umoja

Africa hatuna umoja.

Mkuu huwezi kuwa na umoja wakati akili huna.. huwezi amini bara la Africa lilivyo na wajinga wengi.. yaani ni wengi kiasi cha kutisha. Wajinga ni vigumu kuungana kwa sababu pamoja na kuwa wangependa iwe hivyo, hofu na uncertainties huwa kubwa.. mara nyingine kutokana na kuwa watu wajinga hushindwa kukubaliana katika falasafa. Kwa hiyo ubinafsi ni manifestation ya ujinga. Angalia tu issue ya East African Community.. yaan hakuna progress.. hakuna institutions za kuisimamia, hakuna muongozo.. protocols zimebakia kwenye makaratasi. Kibaya zaidi.. hiyo EAC imeonekana ni mradi tu wa viongozi kutengeneza kijiwe cha kupiga soga na kunywa kahawa. Nasema hivi kutokana na kuwa hakuna referrendum iliyowahi kufanyika kuwashirikisha wananchi wa nchi zote. Kwa hiyo wananchi hawana ownership.. na mambo yanayofanyika katika eac ni impositions zawatu watatu au wanne.. huu ndo kukosa akili kwingine.. usifikiri kujuwa kusoma na kuandika ndio akili pekee inayohitajika.. hapana.

Tuendelee kujadili
 
Asante, umenishawishi.
 
Ni ngumu sana kupambana na adui rafiki na ili tuweze kusonga mbele ni vema tukaanzisha kampeni ya kuwaoa mabinti wa kizungu na kuwapachika mimba haraka iwezekanavyo ili kubalance equality taratibu taratibu na hatimaye kufanikisha maendeleo katika nchi zetu za kiafrika.
😂😂😂😂😂😂.. hiyo solution uliyoitoa siyo.. wala haitekelezeki.. nani ataoa albino?

Cha muhimu ni kutafuta maarifa.. watu wengi wapate maarifa.. waondoke kwenye lindi la ujinga
 
Miradi ambayo kama nchi za Afrika zingeifanya ili kuondoa utegemezi wa nchi za Magharibi.:
1.Kama kungefanikishwa uanzishaji wa kampuni ya RASCOM 1992.Ambayo ingeendesha satelaiti ya pamoja na kuondoa utegemezi wa kimawasiliano.
2.Kuanzisha AFRICAN MONETARY FUND (AMF) kule Younde Cameroon mpango uliowekwa ili kuondoa utegemezi kwa IMF.Na kuwezesha African Investment Bank iliyo pangwa Sirte Libya,ingeondoa utegemezi wa WB kama ilivyo kwa Bank of the South kwa mataifa ya Amerika ya kusini.
3.Miradi ya njia za uchukuzi ya pamoja mf.Reli kutoka Tanzania -South Africa kama ingekuwa kunamtapanyo na muungano wa reli Afrika nzima basi ingekuwa ni rahisi kwenye shughuri za usafirishaji bidhaa na mizigo mizito ndani ya bara.
4.African community market,labda ingesaidi bidhaa zetu kuwa na thamani ndani ya soko la dunia kwani mataifa ya kigeni yangepaswa kununua kwenye soko la pamoja na si kwenye nchi mojamoja.
5.Mfumo wa pamoja wa elimu na kubadilishana wataalamu,ingesaidia kukuza teknolojia na ubora wa elimu pamoja na ujuzi ndani ya waafrika wenyewe,na si kutegemea mataifa ya magharibi.
JE UNADHANI KUNA LA ZIADA,hebu tushirikishane hapa.
Haya hayawezi kufanyika bila kwanza kufanyika "mental liberation" kwa Afrikans.
Afrikans wamegubikwa na ignorance pamoja na mental slavely..

Hiyo sioni ikitokea hata miaka 100 ijayo..
 
Umeongea kweli mkuu, lakini sijui kwanini hio miradi imeshindikana hali ya kua huo uwezo tunao.
Lakini kwa sasa tusahau kitu kama hicho kutokana na aina ya viongozi tulio nao.

Wakitaka kufanya kitu kama hicho lazima waende washington au london au paris kuulizia
 
Negative forces will never allow the continent to prosper & flourish.
 
Back
Top Bottom