mipikipiki hii inakera sana!!!!!

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
kuna watu mapikipiki yao sijui huwa wanaifanyaje!!? inatoa kelele kupita kiasi. tena wakiona sehemu kuna watu wengi ndo wanazidisha. wengi wao ni vijana wa kiarabu na kihindi japo na waswahili nao wameanza kuiga. mtu ukiwa na presha unaweza pata matatizo kwakweli. hivi kwa sheria za barabarani hili limekaaje? matrafiki hawaoni kama ni kero? au wanawaogopa? sheria za miji kuhusu noise pollution zinasemaje?.
 
aiseeeeeee babaangu si wewe 2 unaeudhika hata sisi huku rombo shida ni hiyo hiyo hasa pale wanapofunga breki utasikia mlio kama bomu
 
aiseeeeeee babaangu si wewe 2 unaeudhika hata sisi huku rombo shida ni hiyo hiyo hasa pale wanapofunga breki utasikia mlio kama bomu
nilijuaga ni dar tu! huku moro nako wamejaa tele. mamlaka husika zinatakiwa zichukue hatua kuhusu hili swala.
 
watoto wamekuwa waporaji hao wakimwona mwanamama anatembea pembezoni mwa barabara anashuka mmoja anapora wanakimbia hasa mitaa ya obay na masaki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom