Mipango yangu mingi sana iliyogoma sasa naihamishia kwa mwanangu

mzee wa ndoto

Member
Jul 10, 2020
75
46
Kwanza poleni na majukumu ya kila siku, ukijiona majukumu yamekuzidi sana jua ndio kipimo chako cha akili kinakuwa sawa ukiwa chizi au mfuu huwi na majukumu

Haya tuendelee

Kiukweli nilikuwa na ndoto nyingi ambazo zimekwama mpaka kufikia hatua ya kukata tamaa. Na ikitokea ndoto moja ikikamilika basi haiwi na tija kama nilivyokusudia.

Kipato au mafanikio yanakuwa chini sana, nilipochunguza kuna kikundi flani kilichopanga nife nikiwa kapuku sasa nimebadili mtindo wa upambanaji.

Zile ndoto zangu zote Sasa nimeamua kuziwekeza kwa mwanangu. Nataka awe dereva fundi magari, umeme, mshonaji nguo, mwalimu, nesi, daktari, mwandishi wa habari, operator wa mitambo mbalimbali yaani kila fani za halali

Ili mradi likitoka tangazo la ajira tu yeye yumo.

Mwisho ukiona kila lengo linakataa basi wekeza kwa mwenzako huenda riziki zako zimekwisha.
 
Unataka hicho ‘kikundi’ pia kihamishie majeshi kwa mwanao.?

Yaani awe mjuzi wa fani kama zote, halafu kazi yake iwe kutuma maombi tu kwa kila tangazo la kazi... hizo ‘ndoto’ endelea nazo mwenyewe tu.
 
Hizo ndoto ulipokea kwa Baba yako? Umeshindwa wewe waache wao wachague zao, Zako unakufa nazo!
 
Kwanza poleni na majukumu ya kila siku, ukijiona majukumu yamekuzidi sana jua ndio kipimo chako cha akili kinakuwa sawa ukiwa chizi au mfuu huwi na majukumu

Haya tuendelee

Kiukweli nilikuwa na ndoto nyingi ambazo zimekwama mpaka kufikia hatua ya kukata tamaa. Na ikitokea ndoto moja ikikamilika basi haiwi na tija kama nilivyokusudia.

Kipato au mafanikio yanakuwa chini sana, nilipochunguza kuna kikundi flani kilichopanga nife nikiwa kapuku sasa nimebadili mtindo wa upambanaji.

Zile ndoto zangu zote Sasa nimeamua kuziwekeza kwa mwanangu. Nataka awe dereva fundi magari, umeme, mshonaji nguo, mwalimu, nesi, daktari, mwandishi wa habari, operator wa mitambo mbalimbali yaani kila fani za halali

Ili mradi likitoka tangazo la ajira tu yeye yumo.

Mwisho ukiona kila lengo linakataa basi wekeza kwa mwenzako huenda riziki zako zimekwisha.
Anaanza na lipi hapo?
 
Hili ndilo tatizo kubwa la wazazi kutaka mwanao aishi ndoto zako ulizoshindwa. Kuna mawili ama aataishi miserable life kwa kutofikia matarajio yako ama ata kudissapoint kwa kutofauta unachotaka. Wewe una hakika gani kuwa yeye hatakuwa na ndoto zake kama wewe ulivyokuwa na ndoto zako?
 
Hapana mkuu kama zako zimekushinda wewe nenda nazo tu, mwache mtoto achague zake, usimpangie kwani na yeye ana nafsi Uhuru na maamuzi yake binafsi, yeye sio mtaji wala robot,

Kwani wewe baba yako alikupangia uwe fulani?
Kama hakukupangia uwe fulani,
Je angekupangia uwe fulani ungekubali?.
 
Kila nafsi inakuja duniani kwa malengo yake.......hayo yalikua ni yako kama hujayafikia ni shida zako mwenyewe ........wanao acha waendelee na kile walichopangiwa kukifanya wakiwa hapa duniani........every soul has a unique purpose
 
Kwanza poleni na majukumu ya kila siku, ukijiona majukumu yamekuzidi sana jua ndio kipimo chako cha akili kinakuwa sawa ukiwa chizi au mfuu huwi na majukumu

Haya tuendelee

Kiukweli nilikuwa na ndoto nyingi ambazo zimekwama mpaka kufikia hatua ya kukata tamaa. Na ikitokea ndoto moja ikikamilika basi haiwi na tija kama nilivyokusudia.

Kipato au mafanikio yanakuwa chini sana, nilipochunguza kuna kikundi flani kilichopanga nife nikiwa kapuku sasa nimebadili mtindo wa upambanaji.

Zile ndoto zangu zote Sasa nimeamua kuziwekeza kwa mwanangu. Nataka awe dereva fundi magari, umeme, mshonaji nguo, mwalimu, nesi, daktari, mwandishi wa habari, operator wa mitambo mbalimbali yaani kila fani za halali

Ili mradi likitoka tangazo la ajira tu yeye yumo.

Mwisho ukiona kila lengo linakataa basi wekeza kwa mwenzako huenda riziki zako zimekwisha.
Mkuu wewe unadhani ndoto zote zinawekana kwa mtu mmoja ?

Fikiria awe mwalimu at the same time awe dactari na nesi pia
 
Back
Top Bottom