Mipango ya viongozi wa jiji la dar ni dhaifu na hua aitekelezeki

Homa la jiji

Senior Member
Jan 13, 2014
129
195
Hivi karibuni ilikaziwa sheria yakuwaondoa machinga maeneo mbalimbali ya jiji na ilitumika nguvu kubwa ambayo iliwafanya wamachinga waondoke maeneo walioyavamia lakini baada ya mda mfupi tu wakarudi nakuendelea kufanya biashara zao kama kawaida sijajua nini kinawakwamisha lkn najua huwa wanakurupuka kupanga mipango ya muda mfupi badala yakupanga mipango endelevu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom