Mipango ya siri ya upinzani kuomba uungwaji mkono 2020 na Makanisa na Misikiti yafichuka

Mfalme wa Genge

Senior Member
Mar 30, 2018
190
224
Habari zenu wanajamvi wenzangu, leo ninataka niweke mambo hadharani kuhusiana na mpango mkakati wa Vyama vya Upinzani kutaka kutumia mwamvuli wa dini kuichafua na kuivuruga amani ambayo tumekuwa nayo kwa muda mrefu sasa.

Katika kikao cha siri kilichofanyika kati ya viongozi wakuu wa Upinzani nchini wameunda timu zitakazokwenda kwenya Taasisi mbalimbali za dini kuwashawishi Viongozi na Waumini kuwaunga mkono kuelekea uchaguzi wa 2020.

Taarifa za siri kutoka ndani zinasema, tayari fedha kutoka kwa wafadhili wao kiasi cha shilingi bilioni 20.3 zimeshakabidhwa kwa viongozi hao kuanza harakati na kuhakikisha lengo lao linatimia la kumng’oa Rais Magufuli madarakani 2020.

Viongozi waliopangwa kuzunguka Misikitini katika Mikoa ya Tanga, Kigoma, Mwanza, Shinyanga, Arusha, Bukoba, Sumbawanga na Kilimanjaro ni:
  1. Prof. Abdalla Safari – Mwenyekiti CHADEMA Tanzania Bara
  2. Salum Mwalumu – Mwenyekiti CHADEMA Zanzibar
  3. Ado Shaibu – Katibu Mwenezi ACT Wazalendo
  4. Rajabu Katambi (mdogo wa aliyekuwa Mufti wa BAKWATA – Marehemu Issa Simba)
  5. Issa Ponda Issa
  6. Issa Mohamedi

Viogozi waliopangwa kuzunguka Makanisani katika Mikoa ya Mbeya, Iringa, Lindi, Mtwara na Ruvuma ni;
  1. Peter Msigwa – Mbunge Iringa Mjini
  2. Joseph Haule – Mbunge Mikumi
  3. Godbless Lema – Mbunge Arusha Mjini
  4. Zubeda Sakulu – Viti Maalumu Ruvuma
  5. Upendo Peneza – Viti Maalumu Geita
  6. Suzan Lymo – Viti Maalumu Kilimanjaro

Na Godfrey Massawe
 
Punguza matangazo juu ya ufupi wako katika kufikiri.
Mhh unamuongelea yule mtu mfupi wa chama chako au, huyo kaleta mada na wewe nenda na fact sio kuandika tu matusi, nyumbu bhana mkishaingia huko akili huwa zinahama kabisa. Wewe hangaika kutafuta ukweli badala ya kumshambulia mleta mada
 
Hapo Kwenye namba Tano Ni Uongo Mtupu

Sheikh Ponda hana Bei usimuone kiwepesi wepesi Na Umaskini wake,

Sheikh Kafulia Mfukoni sio Kichwani

Wameshindwa 'Safari ya Matumaini' Pamoja Na Wanamtandao wa Kikwete ndio waweze hao Wapinzani!

Sheikh Ponda HANA BEI na kukosekana kwake Kuwa Na Price Tag ilimlazimu kupigwa Risasi Mara Mbili kwa nyakati tofauti

Wakati wa Utawala wa Mkapa alikula Za Miguu Na wakati wa Utawala wa Jakaya akala Tena Za Kifuani lakin Bado hana Bei akikwambia hashobokei Kiumbe chochote anamaanisha sio wengine leo kasema hili kesho kasema lile

Kama kula hela kutumikia Tumbo Basi angekula Za Manji Kwenye Sakata la Kiwanja Cha Chang'ombe

Acheni ushenzi wenu wa kuchafua Wacha MUNGU
 
Inawezekana wewe ndio unafikiri kwa kutumia makalio, kawaulize mabosi wako wanaokulipa kuwadefend humu mtandaoni watakujuza ukweli. Wewe nyumbu mdogo sana kujua mikakati hii.
Kama unaamini upuuzi kama huu basi wewe akili zako ni ndogo sana, na hauna uwezo wa kujua mikakati yoyote.
 
Ang'olewe tu, kidemokrasia.

Kwanza hujui kama Salamu Mwalim sio mwenyekiti, hivyo umetunga upupu!!

By the way, kwanini msim consult IGP Mahita awape mbinu za kuwakamatisha SMG kabisa??
 
Wakiitwa Ikulu hiyo sawa. Wakienda salimiwa na wapinzani kuomba waombewe dua njema ambalo ni hitaji la kila muumini kwa kiongozi wake wa dini ati huo ni uchuro. Jameniii hii inakaaje? Wewe umeona mikoa ya kusini kunakowaka moto tena watu wa dini ileee ndio unawapelekea wanawake wakazunguke misikitini?? Sasa nadhani una matusi ya kisasa yaani ya kidijitali.
 
Habari zenu wanajamvi wenzangu, leo ninataka niweke mambo hadharani kuhusiana na mpango mkakati wa Vyama vya Upinzani kutaka kutumia mwamvuli wa dini kuichafua na kuivuruga amani ambayo tumekuwa nayo kwa muda mrefu sasa.

Katika kikao cha siri kilichofanyika kati ya viongozi wakuu wa Upinzani nchini wameunda timu zitakazokwenda kwenya Taasisi mbalimbali za dini kuwashawishi Viongozi na Waumini kuwaunga mkono kuelekea uchaguzi wa 2020.

Taarifa za siri kutoka ndani zinasema, tayari fedha kutoka kwa wafadhili wao kiasi cha shilingi bilioni 20.3 zimeshakabidhwa kwa viongozi hao kuanza harakati na kuhakikisha lengo lao linatimia la kumng’oa Rais Magufuli madarakani 2020.

Viongozi waliopangwa kuzunguka Misikitini katika Mikoa ya Tanga, Kigoma, Mwanza, Shinyanga, Arusha, Bukoba, Sumbawanga na Kilimanjaro ni:
  1. Prof. Abdalla Safari – Mwenyekiti CHADEMA Tanzania Bara
  2. Salum Mwalumu – Mwenyekiti CHADEMA Zanzibar
  3. Ado Shaibu – Katibu Mwenezi ACT Wazalendo
  4. Rajabu Katambi (mdogo wa aliyekuwa Mufti wa BAKWATA – Marehemu Issa Simba)
  5. Issa Ponda Issa
  6. Issa Mohamedi

Viogozi waliopangwa kuzunguka Makanisani katika Mikoa ya Mbeya, Iringa, Lindi, Mtwara na Ruvuma ni;
  1. Peter Msigwa – Mbunge Iringa Mjini
  2. Joseph Haule – Mbunge Mikumi
  3. Godbless Lema – Mbunge Arusha Mjini
  4. Zubeda Sakulu – Viti Maalumu Ruvuma
  5. Upendo Peneza – Viti Maalumu Geita
  6. Suzan Lymo – Viti Maalumu Kilimanjaro
Licha ya mpango huo pia wameandaa vijana ambao wanapatiwa mafunzo ya karate, na mafunzo ya kijeshi kwa lengo la kuhakikisha mpango huo unafanikiwa.

Na Godfrey Massawe

Na bado; mtazusha kila aina ya uzushi mwishoni mtajikuta mnasema ukweli msiotaka ujulikane kwa bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom