Mipango ya kumng'oa Ndugai kwenye Uspika yakamilika. Musa Azan na Elibariki Kingu Waongoza Mashambulizi

Kwa mtu mzima ambaye amekuwa kiongozi kwa muda mrefu, naamini Mh Job Yusto Ndugai ataamua kuachia ngazi ili kulinda kaheshima alikonako. Asipoachia ngazi kabla ya Bunge kuanza basi mambo mawili yanaweza kumtokea:
Ima CCM imuite, imuhoji na kumnyang’anya uanachama na hivyo kupoteza Uspika na Ubunge ama Bunge litoe hoja ya kumvua Usipika na kubaki na ubunge wake. Vyovyote itakavyokuwa, sioni Ndugai akikalia kiti cha Uspika kwenye kikao kinachoanza mwishoni mwa mwezi huu ama mapema mwezi ujao. Ndugai anaondoka, atumie busara kuchagua anaondoka vipi. Aondoke kwa kupokwa uanachama wa kijani ba hivyo kukosa Ubunge na Uspika au ajiuzulu Uspika na kubaki na ubunge wake au wabunge wamuondoe! Bora aondoke mwenyewe as this option is a lesser devil for his situation.

Kwa upande mwingine nilimsikia Mh Rais akisema nyumba ya akina Kassim ilikuwa inasema serikali yake ni ya mpito. Kassim (naamini ni PM), ni kiongozi wa shughuli za serikali Bungeni, sasa kama Bunge, ambalo yeye ni Mbunge No 1, linamsema Mh Rais basi ni vyema PM naye akaangalia busara katika hilo na hivyo kuachia tu ngazi ili Mh Rais apate nafasi ya kuunda serikali upya kama atataka kumrudisha basi atamteua. Pia Mh Rais kasema kuna Mawaziri wanaoangalia 2025 badala ya kufanya kazi na hivyo atawatoa; PM kama mkuu wa Mawaziri anatakiwa kutumia busara na kuandika kwa Mh Rais ili akae kando na kumpa nafasi Mh Rais kupanga vyema Serikali yake na kuondoa wale wote wenye matamanio ya 2025. Kumbuka PM akijiuzulu Baraza la Mawaziri linapoteza uhalali hivyo kumlazimu Rais kuunda upya serikali kuanzia PM.

Ni imani yangu kwamba kwa hali ilivyo hawa wakuu wawili wanatakiwa kutumia busara na kuamua kumpisha Mh Rais.
... najaribu kuwaza kwa niaba ya Ndugai; hivi akiachia uspika regardless of the approach; mafao, marupurupu, posho, haki, na stahili za Spika mstaafu ata-deserve? Nadhani hili linamtia wazimu kuliko kingine chochote kile! Wakuu Erythrocyte, Crimea, Tindo mtujuze.
 
Ndugai andaa maisha yako Kwa kuwataka radhi wale wote uliowakosea wakati wa Uspika wako.

Ulimpokonya Mama Makinda, kiroho Safi alikuachia Kiti. Zamu yako kiroho Safi muachie Tulia.

Kuna Kila Dalili PM akawa Mwanamama. Wanaume tujiandae kisaikolojia.
Itapendeza sana na baraza la mawaziri aweke kina mama wote hapo vp!
 
Kwa mtu mzima ambaye amekuwa kiongozi kwa muda mrefu, naamini Mh Job Yusto Ndugai ataamua kuachia ngazi ili kulinda kaheshima alikonako. Asipoachia ngazi kabla ya Bunge kuanza basi mambo mawili yanaweza kumtokea:
Ima CCM imuite, imuhoji na kumnyang’anya uanachama na hivyo kupoteza Uspika na Ubunge ama Bunge litoe hoja ya kumvua Usipika na kubaki na ubunge wake. Vyovyote itakavyokuwa, sioni Ndugai akikalia kiti cha Uspika kwenye kikao kinachoanza mwishoni mwa mwezi huu ama mapema mwezi ujao. Ndugai anaondoka, atumie busara kuchagua anaondoka vipi. Aondoke kwa kupokwa uanachama wa kijani ba hivyo kukosa Ubunge na Uspika au ajiuzulu Uspika na kubaki na ubunge wake au wabunge wamuondoe! Bora aondoke mwenyewe as this option is a lesser devil for his situation.

Kwa upande mwingine nilimsikia Mh Rais akisema nyumba ya akina Kassim ilikuwa inasema serikali yake ni ya mpito. Kassim (naamini ni PM), ni kiongozi wa shughuli za serikali Bungeni, sasa kama Bunge, ambalo yeye ni Mbunge No 1, linamsema Mh Rais basi ni vyema PM naye akaangalia busara katika hilo na hivyo kuachia tu ngazi ili Mh Rais apate nafasi ya kuunda serikali upya kama atataka kumrudisha basi atamteua. Pia Mh Rais kasema kuna Mawaziri wanaoangalia 2025 badala ya kufanya kazi na hivyo atawatoa; PM kama mkuu wa Mawaziri anatakiwa kutumia busara na kuandika kwa Mh Rais ili akae kando na kumpa nafasi Mh Rais kupanga vyema Serikali yake na kuondoa wale wote wenye matamanio ya 2025. Kumbuka PM akijiuzulu Baraza la Mawaziri linapoteza uhalali hivyo kumlazimu Rais kuunda upya serikali kuanzia PM.

Ni imani yangu kwamba kwa hali ilivyo hawa wakuu wawili wanatakiwa kutumia busara na kuamua kumpisha Mh Rais.
Hili sekeseke ni fursa nzuri kwa wasaka vyeo ikizingatiwa na tabia ya unafiki iliyokithiri.
 
😁😁😁
16413743210542.jpg
 
Msamaha aliomba Ndugai umewapa nguvu sana Chief Hagaya na hao chawa wake...sasa anaonekana ni mkosefu kamili

Akome lakini, mwanaume gani pamoja na wadhifa alionao anakuwa mwepesi mwepesi kuomba msamaha kwa mambo ya kipuuzi

Mwanaume unatakiwa kuwa mbishi (kauzu) hata kama umekosea kweli
Na kwa hili amewaaibisha sana wagogo
 
Kwa mtu mzima ambaye amekuwa kiongozi kwa muda mrefu, naamini Mh Job Yusto Ndugai ataamua kuachia ngazi ili kulinda kaheshima alikonako. Asipoachia ngazi kabla ya Bunge kuanza basi mambo mawili yanaweza kumtokea:
Ima CCM imuite, imuhoji na kumnyang’anya uanachama na hivyo kupoteza Uspika na Ubunge ama Bunge litoe hoja ya kumvua Usipika na kubaki na ubunge wake. Vyovyote itakavyokuwa, sioni Ndugai akikalia kiti cha Uspika kwenye kikao kinachoanza mwishoni mwa mwezi huu ama mapema mwezi ujao. Ndugai anaondoka, atumie busara kuchagua anaondoka vipi. Aondoke kwa kupokwa uanachama wa kijani ba hivyo kukosa Ubunge na Uspika au ajiuzulu Uspika na kubaki na ubunge wake au wabunge wamuondoe! Bora aondoke mwenyewe as this option is a lesser devil for his situation.

Kwa upande mwingine nilimsikia Mh Rais akisema nyumba ya akina Kassim ilikuwa inasema serikali yake ni ya mpito. Kassim (naamini ni PM), ni kiongozi wa shughuli za serikali Bungeni, sasa kama Bunge, ambalo yeye ni Mbunge No 1, linamsema Mh Rais basi ni vyema PM naye akaangalia busara katika hilo na hivyo kuachia tu ngazi ili Mh Rais apate nafasi ya kuunda serikali upya kama atataka kumrudisha basi atamteua. Pia Mh Rais kasema kuna Mawaziri wanaoangalia 2025 badala ya kufanya kazi na hivyo atawatoa; PM kama mkuu wa Mawaziri anatakiwa kutumia busara na kuandika kwa Mh Rais ili akae kando na kumpa nafasi Mh Rais kupanga vyema Serikali yake na kuondoa wale wote wenye matamanio ya 2025. Kumbuka PM akijiuzulu Baraza la Mawaziri linapoteza uhalali hivyo kumlazimu Rais kuunda upya serikali kuanzia PM.

Ni imani yangu kwamba kwa hali ilivyo hawa wakuu wawili wanatakiwa kutumia busara na kuamua kumpisha Mh Rais.
You are wasting your precious time proposing the impossibility to happen; whatever the measures you may opt to take against the chief of the parliament pillar Tanzania shall record to book a new history in just a few months since the president-elect passed away.

The ongoing ruling party tug-of-war by the covetous political figures is just an iceberg, the worst is knocking the door for destruction......be patient to witness the sarcastic power scrambling..........the vehicle is swerving along the highway nearly to crash.....!!!
 
Back
Top Bottom