Mipango ya Kufunga Kituo cha Televisheni Aljeezira ni Mikakati ya Marekani

S

Sio marekani ndugu yangu, yupo anaetaka kuitawala dunia, ukimuona kama yupo kimya, lakini ndo director, marekani ni fimbo tu mkononi mwake.
KatiKa theory ya realism; lazima duniani kuwe na mbabe mmoja atakayeicontrol dunia kijeshi,kiuchumi nk.niwaulize ndg zangu hii dunia bila mmarekani ingetawalika!!!?mngewaweza waarabu??ISIS??mnorth korea c angejilipulia manyuklia yake anavyotaka!!!there as to be a super military power so as to settle any disputes arise by any regime!!!
 
Aljazeera ndo kituo changu bora cha kila siku, huwa napenda kuangalia kipindi chao cha people & power na hata taarifa zao napenda sana....!!
 
Back
Top Bottom