Mipango miji Tanzania

Suala la mipango miji kutokuwa na impact Tanzania kwa mtizamo wangu limekaa mno kisiasa kuliko kitaalamu na kiuchumi hivyo hili tuweze kuliondoa hili tatizo ni sharti mpaka wanasiasa waache kuchanganya interest za kisiasa na ustawi wa jamii (Lazima tuache uzalendo wakinafiki natudhamirie kwa dhati kuipangilia miji yetu)labda nilitolee ufafanuzi ifuatavyo:-

Mipango miji ya Tanzania inawasomi wazuri pengine kuliko nchi nyingine ukanda huu na wanataasisi nzuri inayotoa mafunzo stahiki, wanaplan nzuri ambazo utambuliwa mpaka nje ya mipaka ya nchi na mifano ipo kuna nchi zimewahi kujenga miji yao kwa kushawishika na plan zetu.

Mipango hawana shida kwasababu kazi yao nikuonesha kipi kifanyike katika miji au vijiji wapi waweke nn, wapi paendelezwe vipi,wapi paachwe wazi na kipi kifanyike kwenye ardhi na hilo sina shaka nalo wamekuwa wakilitimiza nenda ofisi zote ramani ya miji na mipangilio ipo na maono makubwa wanakuwa nayo ila shida ni pale wanapotaka ku-implement ndipo siasa na serikali vinapojitokeza;

SERIKALI inamkono wake katika hili kwa maana mji unapopangiliwa vizuri barabara zinakuwa nyingi,na huduma zingine za kijamii zitaitajika vivyo hivyo kwa kuwa itakuwa nidhahiri kwa mwanachi kuona huduma fulani kama barabara mbona hatupewi na hili hali kuna uwazi wa barabara ama zahanati n.k

Hivyo mwananchi anajengewa mawazo yakulaumu mazingira yake mfano jirani atakapogoma kupitisha mfumo wa maji au barabara kwenye kiwanja chake kisa ujenzi holela itakuwa ni kisingizio tosha cha serikali kuonesha kuwa alijawezekana kwa kuwa kuna wananchi hawajapisha kwa hiyari yao mradi na fidia nikubwa na pia ujenzi holela ndo chanzo cha wananchi hao kukosa huduma muhimu,

Hivyo hapa serikali utafuta kisingizio cha kukwepa majukumu yake kwa kuepuka mzigo wa gharama za majenzi nakuonekana kuwa awajafanya juhudi za kutosha kuwaletea wananchi wao maendeleo

hivyo badala ya mwananchi kuwa na uhitaji wa barabara 18 katika rows zilizopangiliwa vyema katika mtaa wao uambulia 1 iliyojipenyeza katikati ya makazi duni kama uchochoro na serikali ubaki ikisifiwa jinsi inavyofanya juhudi kubadili hali ya miji yetu.

SIASA inahusikaje kwenye hili? Naamini kila mmoja wetu include walaumiwa yaani mipango miji na watu wa ardhi hawaridhishwi na kinachoonekana kwenye mitaa yetu
hasa machinga kuwa kero kila mahali na hawatakiwi kuguswa, barabara kukwepa nyumba, mabomba kila siku kukatwa na magreda na maji kuishia kuchurizika mitaani,kila sehemu kugeuka dampo, nguzo mpaka barabarani,bar ndani ya makazi n.k

haya yote yanaendekezwa na wanasiasa kwa sababu ya kutaka nguvu ya kisiasa kupitia matatizo ya wananchi hivyo basi kila mmoja wao atajifanya anamtetea mnyonge(mvunja sheria) anayenyanyasika na sheria(zisizo na utu) za mipango miji

huku hofu ya mwanasiasa ikiwa ni nikifanya inavyotakiwa nitawapoteza wapiga kura na kumbuka mwanasiasa ana nguvu katika maamuzi kuliko mtaaluma.

Ubinafsi; ni rahisi mno kusikia kikao cha madiwani kilihisha bila suluhu kutokana na mzozo wa wapi stendi iamishiwe, wapi tuweke makao makuu ya wilaya n.k,Kila mtu upambana kizuri kiende mtaa wake au kibakie palepale hata kama imeonekana kuna ulazima wa kukiondoa.

Mwisho wa siku miji inashindwa kupangiliwa vizuri jinsi ilivyoelekezwa na wataalamu wa mipango kuwa wapi kipi kifanyike na kivipi kwa interest za minority (wanasiasa) ambao wao ufikiria tu wapiga kura wao wataamua nini juu yao na mapato ya eneo lao basi,

Usistaajabu kwa staili hii kukuta miji mingi Tanzania tumekumbatia mfumo wa miji yote lazima ukute kiwanja cha ndege katikati ya mji hata kama akistahili kuendelea kuwa mahali hapo,viwanja vya michezo, round about za ukoka au kakibao, barabara kuu za lanes mbili n.k

Wito wangu kwa serikali ni kuwa tubadilishe mfumo wa fikra zetu za siasa tunazofanya sasa kwa maana zimepitwa na wakati na pia dunia inakwenda mbio mno kiteknolojia na lazima tuendane nayo lasivyo tutaendeleza kale kamsemo kao ka dharau "Afrika izi a daki kontinenti"

Kwa maana ipo siku wanaodanganywa nao wataamka nakutaamaki kwanini ni wao tu ndani ya Afrika au Duniani ndo wanaishi kwenye miji yenye mipangilio duni na miundo mbinu mibovu (uswazi) huku wakiishia kusifia miji ya wenzao au nchi za jirani kwa uzuri wa mwonekano wa makazi na miundombinu yao.

Hivyo wahusika (Serikali na wanasiasa)nina imani atujachelewa mkizingatia ushauri uliotolewa nawachangiaji makini kwenye uzi huu mabadiliko yanawezekana naomba tuwape nguvu na nafasi wataalamu na wenye jukumu hili (mipango)

Tuwajali kwenye bajeti na tuwasupport pasipo kuwaingilia kwenye majukumu yao hili watuondolee aibu hii inayolikabili taifa letu kwa sasa kumbukeni Dodoma nikijisehemu tu katika Tanzania hivyo msijisahau nakuhisi mipango miji inafanya kazi na hivyo mnakata kiu ya watanzania.
 
Uko sahihi kabisa mkuu
 
Idara ya mpango miji, kazi zao ni BIG ZERO.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mipango miji ni organisation ya biashara na watu juu ya Ardhi. Ukiwa na watu ambao hawajaandaliwa kuitumikia mipango matokeo yatakuwa BIG ZERO.

Ili watu waheshimu mipango miji wanahitaji elimu (Urban planners are not teachers) wanahitaji mfumo mzuri wa usimamizi wa uongozi kisiasa na kiutawala( Urban planners sio maDED na Wabunge)

Ni kama kumlaumu mpishi kupika ugali/uji wakati umemtaka atengeneze chakula na ingredients ulizompa ni Unga wa ugali, maji na mwiko wa ugali. Ukitaka wali Leta mchele..
 
Suala la mipango miji kutokuwa na impact Tanzania kwa mtizamo wangu limekaa mno kisiasa kuliko kitaalamu na kiuchumi hivyo hili tuweze kuliondoa hili tatizo ni sharti mpaka wanasiasa waache kuchanganya interest za kisiasa na ustawi wa jamii (Lazima tuache uzalendo wakinafiki natudhamirie kwa dhati kuipangilia miji yetu)labda nilitolee ufafanuzi ifuatavyo:-

Mipango miji ya Tanzania inawasomi wazuri pengine kuliko nchi nyingine ukanda huu na wanataasisi nzuri inayotoa mafunzo stahiki, wanaplan nzuri ambazo utambuliwa mpaka nje ya mipaka ya nchi na mifano ipo kuna nchi zimewahi kujenga miji yao kwa kushawishika na plan zetu.

Mipango hawana shida kwasababu kazi yao nikuonesha kipi kifanyike katika miji au vijiji wapi waweke nn, wapi paendelezwe vipi,wapi paachwe wazi na kipi kifanyike kwenye ardhi na hilo sina shaka nalo wamekuwa wakilitimiza nenda ofisi zote ramani ya miji na mipangilio ipo na maono makubwa wanakuwa nayo ila shida ni pale wanapotaka ku-implement ndipo siasa na serikali vinapojitokeza;

SERIKALI inamkono wake katika hili kwa maana mji unapopangiliwa vizuri barabara zinakuwa nyingi,na huduma zingine za kijamii zitaitajika vivyo hivyo kwa kuwa itakuwa nidhahiri kwa mwanachi kuona huduma fulani kama barabara mbona hatupewi na hili hali kuna uwazi wa barabara ama zahanati n.k

Hivyo mwananchi anajengewa mawazo yakulaumu mazingira yake mfano jirani atakapogoma kupitisha mfumo wa maji au barabara kwenye kiwanja chake kisa ujenzi holela itakuwa ni kisingizio tosha cha serikali kuonesha kuwa alijawezekana kwa kuwa kuna wananchi hawajapisha kwa hiyari yao mradi na fidia nikubwa na pia ujenzi holela ndo chanzo cha wananchi hao kukosa huduma muhimu,

Hivyo hapa serikali utafuta kisingizio cha kukwepa majukumu yake kwa kuepuka mzigo wa gharama za majenzi nakuonekana kuwa awajafanya juhudi za kutosha kuwaletea wananchi wao maendeleo

hivyo badala ya mwananchi kuwa na uhitaji wa barabara 18 katika rows zilizopangiliwa vyema katika mtaa wao uambulia 1 iliyojipenyeza katikati ya makazi duni kama uchochoro na serikali ubaki ikisifiwa jinsi inavyofanya juhudi kubadili hali ya miji yetu.

SIASA inahusikaje kwenye hili? Naamini kila mmoja wetu include walaumiwa yaani mipango miji na watu wa ardhi hawaridhishwi na kinachoonekana kwenye mitaa yetu
hasa machinga kuwa kero kila mahali na hawatakiwi kuguswa, barabara kukwepa nyumba, mabomba kila siku kukatwa na magreda na maji kuishia kuchurizika mitaani,kila sehemu kugeuka dampo, nguzo mpaka barabarani,bar ndani ya makazi n.k

haya yote yanaendekezwa na wanasiasa kwa sababu ya kutaka nguvu ya kisiasa kupitia matatizo ya wananchi hivyo basi kila mmoja wao atajifanya anamtetea mnyonge(mvunja sheria) anayenyanyasika na sheria(zisizo na utu) za mipango miji

huku hofu ya mwanasiasa ikiwa ni nikifanya inavyotakiwa nitawapoteza wapiga kura na kumbuka mwanasiasa ana nguvu katika maamuzi kuliko mtaaluma.

Ubinafsi; ni rahisi mno kusikia kikao cha madiwani kilihisha bila suluhu kutokana na mzozo wa wapi stendi iamishiwe, wapi tuweke makao makuu ya wilaya n.k,Kila mtu upambana kizuri kiende mtaa wake au kibakie palepale hata kama imeonekana kuna ulazima wa kukiondoa.

Mwisho wa siku miji inashindwa kupangiliwa vizuri jinsi ilivyoelekezwa na wataalamu wa mipango kuwa wapi kipi kifanyike na kivipi kwa interest za minority (wanasiasa) ambao wao ufikiria tu wapiga kura wao wataamua nini juu yao na mapato ya eneo lao basi,

Usistaajabu kwa staili hii kukuta miji mingi Tanzania tumekumbatia mfumo wa miji yote lazima ukute kiwanja cha ndege katikati ya mji hata kama akistahili kuendelea kuwa mahali hapo,viwanja vya michezo, round about za ukoka au kakibao, barabara kuu za lanes mbili n.k

Wito wangu kwa serikali ni kuwa tubadilishe mfumo wa fikra zetu za siasa tunazofanya sasa kwa maana zimepitwa na wakati na pia dunia inakwenda mbio mno kiteknolojia na lazima tuendane nayo lasivyo tutaendeleza kale kamsemo kao ka dharau "Afrika izi a daki kontinenti"

Kwa maana ipo siku wanaodanganywa nao wataamka nakutaamaki kwanini ni wao tu ndani ya Afrika au Duniani ndo wanaishi kwenye miji yenye mipangilio duni na miundo mbinu mibovu (uswazi) huku wakiishia kusifia miji ya wenzao au nchi za jirani kwa uzuri wa mwonekano wa makazi na miundombinu yao.

Hivyo wahusika (Serikali na wanasiasa)nina imani atujachelewa mkizingatia ushauri uliotolewa nawachangiaji makini kwenye uzi huu mabadiliko yanawezekana naomba tuwape nguvu na nafasi wataalamu na wenye jukumu hili (mipango)

Tuwajali kwenye bajeti na tuwasupport pasipo kuwaingilia kwenye majukumu yao hili watuondolee aibu hii inayolikabili taifa letu kwa sasa kumbukeni Dodoma nikijisehemu tu katika Tanzania hivyo msijisahau nakuhisi mipango miji inafanya kazi na hivyo mnakata kiu ya watanzania.
Ahsante TP
 
hii wizara ya ardhi nitailaumu mpaka kesho,,maana hakuna inachofanya.....
ujenzi holera haupaswi kuendelea....

tupitia huu mchango wa mbunge kidogo

Kumbe huyu jamaa alitolewa pale Dodoma ili akawe mbunge aisee, alafu wizara ya ardhi huyu waziri Lukuvi Mheshimiwa raisi anampenda sana lkn hamna kitu kabisa.
 
yaani hii wizara ya ardhi ni miongoni wa wizara mbovu kabisa tena tunaipa namba moja...

bado haijapata mtu sahihi...inabidi ipate mtu makini sana mwenye future plan
 
wizara ya ardhi kwa sasa inapaswa iwekeze nguvu kubwa kwenye upimaji wa viwanja kila kona ya nchi ili makazi yaweze kuwa kwenye mpangilio bora...

kwani pia itasaidia sana kuepusha migogoro ,,kuna miji mipya inazidi kukua na system ya kujenga kiholela bado inaendelea wananchi wanajenga watakavyo....
 
Hili ni tatizo...

Na hii ilitakiwa iwe kazi ya watendaji au wenye viti wa mitaa kuhakikisha mambo yanaenda sawa...
 
wizara ya ardhi kwa sasa inapaswa iwekeze nguvu kubwa kwenye upimaji wa viwanja kila kona ya nchi ili makazi yaweze kuwa kwenye mpangilio bora...

kwani pia itasaidia sana kuepusha migogoro ,,kuna miji mipya inazidi kukua na system ya kujenga kiholela bado inaendelea wananchi wanajenga watakavyo....
Hata wakifanya..
Bila kuwaandaa watu kuishi kwa kuheshimu mipango
Na kusimamia provisions za plans.. hakuna kitu tutakuwa tumefanya
 
Kama ni mimi ningepewa mamlaka/kazi ya kuliekebisha hili.
Ningetumia hawahawa wanafunzi wa DIT,UCLAS,Ardhi,UD--na technical colleges wafanye projects za ku-design miji mipya--kila chuo ningekipa wilaya moja ya ku-design--na hapa kila group ya wanafunzi ipewe kata 1.Kuwe na makazi,viwanja vya michezo,barabara,dampo,mipangilio ya miti na huduma zote muhimu za kijamii(mini-towns)--kama hizi Town creator..
Kungekuwa na namna ya ku-rate na kuzitumia hizi designs zao katika kupanga miji--kwa ushauri wa kitaalamu kutoka kwa hawa "maprofesa" wenye ujuzi zaidi.Maeneo ambayo tayari yanamilikiwa na watu binafsi--yapewe uhuru wa kuendeleza au kuuza.
Tatizo elimu yetu iko kwenye vitabu zaidi---unakuta hawa urban planners---hajawahi ku-design chochote maishanii mwake.
hata hizi shule na mahospitali tunayojenga---wataalam wangepewa pro-bono--wajitolee--kwa ajili ya taifa---taifa liwe na templates kama 10 zilizorasimishwa---kamwe tusingekuwa na vishule vya ajabu ajabu mtaani...the same kwa maduka,open spaces,viwanja vya mipira etc
Ni mawazo yangu tu--lakini kama ingetumika hili wazo tungeweza kufika mahali--tuache SIASA.

3d model of parking 1

3D Site Plans drawing example​

3D Site Plans drawing 2nd exemple by Tsymbals 3D Site Plans drawing 3d exemple by Tsymbals 3D Site Plans drawing 4 exemple by Tsymbals 3D Site Plans drawing 5 exemple by Tsymbals 3D Site Plans drawing 6 exemple by Tsymbals

Hizi hapa chini ni urban gardens--zilizopo Copenhagen--duara moja lina nyumba kuanzia 16 hadi 20...Na maeneo yote TZ hili linatushinda kweli?
1615981107356.png
1615981126605.png
1615981141544.png
 
View attachment 1727833View attachment 1727834View attachment 1727835
Nashukuru kwa Mawazo mazuri .. lakini wengi wanamiss the whole point ya kwanini miji inakuwa kama ilivyo. Lazima kuna sababu na sababu hizo ni zipi.. ni swala la kuliangazia zaidi ya miji yenyewe kwa jicho physical infrastructure.

Miji ni Collection ya Watu, Miundombinu na Shughuli zao za kiuchumi na kijamii. Namna watu wanavyokuwa organized kwenye ardhi ndio tunapata Settlement patterns ambazo ndio miji yenyewe.

Smallest unit of a town ni individual building kwenye kiwanja(site plan).mahitaji ya huyo mtu/watu na namna anavyohusiana na wengine. Unapowaweka pamoja unapata block, kisha cluster of blocks then Neighborhood, community and so on.

Vyote hivi lazima vireflect na uchumi wa eneo husika. Level of technology na education ya watu unaotaka kuwahudumia. Kwa kifupi kila eneo linahitaji specific tools to enhance life experience ya watu wa eneo hilo.

Kwetu hapa tunapata shida maana hatujawekeza kuwajengea uwezo watu kuishi mijini au hatujafanya la ziada kwenye kupanga miji/vijiji vinavyoreflect mahitaji halisi ya watu wa eneo husika.

Kwa sasa tuna miundombinu katika miji mingi shida watu hawakufunzwa namna ya kuishi mijini. Hawajui namna ya kuwa mtu wa mjini... Hivyo unakuta mtu anaoperate kama yupo kijijini... Anaendesha baiskeli kwenye barabara inayokwenda kasi, anaacha maeneo salama kwake yaliyotengwa.. anatupa taka hovyo.. anafanya biashara kokote.. huyo ni mtu sio wa kijijini.. ila wa porini kabisa sema anayafanya hayo akiwa eneo lenye miundombinu ya kimjini.

Kabla hatujawaza kupanga lazima ..tuanze kwa kuwaandaa watu kuishi kwa kuzingatia mipango na kuheshimu taratibu. Bila hivyo hata ungewashusha Dubai watanzania hawahawa utawakuta wanafanya haya haya unayoyaona kweye viunga vya DSM.

Na kujenga kwa mpango sio kazi ..kazi ni hata ukiziweka taratibu bado hawa watu wetu watazivunja tu.. maana hawajui kwann zimewekwa na hawana tabia ya kuuliza mamlaka. (Rule of Law)
 
Kama ni mimi ningepewa mamlaka/kazi ya kuliekebisha hili.
Ningetumia hawahawa wanafunzi wa DIT,UCLAS,Ardhi,UD--na technical colleges wafanye projects za ku-design miji mipya--kila chuo ningekipa wilaya moja ya ku-design--na hapa kila group ya wanafunzi ipewe kata 1.Kuwe na makazi,viwanja vya michezo,barabara,dampo,mipangilio ya miti na huduma zote muhimu za kijamii(mini-towns)--kama hizi Town creator..
Kungekuwa na namna ya ku-rate na kuzitumia hizi designs zao katika kupanga miji--kwa ushauri wa kitaalamu kutoka kwa hawa "maprofesa" wenye ujuzi zaidi.Maeneo ambayo tayari yanamilikiwa na watu binafsi--yapewe uhuru wa kuendeleza au kuuza.
Tatizo elimu yetu iko kwenye vitabu zaidi---unakuta hawa urban planners---hajawahi ku-design chochote maishanii mwake.
hata hizi shule na mahospitali tunayojenga---wataalam wangepewa pro-bono--wajitolee--kwa ajili ya taifa---taifa liwe na templates kama 10 zilizorasimishwa---kamwe tusingekuwa na vishule vya ajabu ajabu mtaani...the same kwa maduka,open spaces,viwanja vya mipira etc
Ni mawazo yangu tu--lakini kama ingetumika hili wazo tungeweza kufika mahali--tuache SIASA.

3d model of parking 1

3D Site Plans drawing example​

3D Site Plans drawing 2nd exemple by Tsymbals 3D Site Plans drawing 3d exemple by Tsymbals 3D Site Plans drawing 4 exemple by Tsymbals 3D Site Plans drawing 5 exemple by Tsymbals 3D Site Plans drawing 6 exemple by Tsymbals

Hizi hapa chini ni urban gardens--zilizopo Copenhagen--duara moja lina nyumba kuanzia 16 hadi 20...Na maeneo yote TZ hili linatushinda kweli?
View attachment 1727833View attachment 1727834View attachment 1727835
duh, kama peponi vile, kuna mbu kweli hapo au nzi?
 
Back
Top Bottom