Mipaka ya Zanzibar na jirani zake ni ipi?

gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,670
2,165
Ndugu wana JF kwa kuwa hili jukwaa letu kwa sasa ndio linaloonekana kuwa ndilo lenye kuelimisha watu kupita taasisi zote hapa nchini naomba mtu mwenye kuelewa mipaka ya Zanzibar na majirani zake atuwekee hapa maana watu wengi hatujui mipaka ya Zanzibar
 
Kwa ufupi
Kwanza unatakiwa utambue...Zanzbar inaunda Jamhuri ya muungano wa Tanzani... Zanzbar na Tanganyika inatambulika kama nchi moja...
Upande wa Pemba Zanzbar inapakana na Kenya... mpaka upo katikati...kwa maana ya kwamba distance ya kutoka Pemba mpaka kenya then devide by 2... hii ni kutokana na Law of the Sea kama unaifahamu. Upande wa Mashariki Zanzbar imepakana na bahari ya hindi. Eneo la Zanzbar la bahar ni 200neutical miles kutoka maji yanapoanzia yaani lower water mark.. ufukweni. Nadhani hyo ndiyo mipaka yake . Cna haja ya kuelezea upande wa magharibi.
 
Back
Top Bottom