Mipaka ya asili ya zanzibar

Bin Faza

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
502
191
Waungwana

Hii ndio ilyokuwa mipaka ya zanzibar katika awamu mbali mbali

zan18561886.gif
hapa munaona ukubwa wake
 
Tatizo kubwa la hawa jamaa wanaodai wanapambana ili pwani ya Kenya na Zanzibar wajitenge ni kukosa elimu dunia!
 
Ilikuwa ya Zanzibar au ya Sultani wa Zanzibar?

Utumwa mlionao unawasumbua sana. Labda nikuulize swali ili ujione mjinga kwa amani: Wakati Tanganyika inapata Uhuru, uhuru huo ulijumuisha na maeneo hayo au hayo maeneo yalibaki chini ya mume wenu?
Wana hamu ya kuingia na Viza Nchini Tanganyika hv warabu Wataweza kuvumilia ulalamishi wa wazenji ?
 
Waungwana

Hii ndio ilyokuwa mipaka ya zanzibar katika awamu mbali mbali

zan18561886.gif
hapa munaona ukubwa wake
Sasa mbona hawadai maramoja kila kitu au wanadai hatua kwa hatua. Kwanza mamlaka kamili halafu ukanda wa pwani. Kwani na mafia hawajadai? Unajua mgomvi hata ukimkubalia ataendelea kugombana kwa sababu mpya.
 
Waungwana

Hii ndio ilyokuwa mipaka ya zanzibar katika awamu mbali mbali

zan18561886.gif
hapa munaona ukubwa wake


HAPANA hata KIDOGO... Kwanza alikuja M-PORTUGUESE na Mwarabu hakuwepo...
Hiyo ilikuwa ni Mwarabu na Biashara ya Watumwa...

Mwarabu alitawala UNGUJA na PEMBA na MOMBASA

Pwani ya TANGANYIKA hakuwa anaitawala kama admin center aliitumia kushika watumwa na kupeleka UNGUJA PEMBA na OMAN... YOU R DREAMING READ A REALITY down here...


Before the SULTAN there were PORTUGUESE Invasion whom defeated local rulers and took control of almost all the coast of EA. F.Y.I They first concured OMAN... But the Omani's re-group and they finally succeded in evicting the Portuguese and local EA rulers seek help from Omani's that was towards the end of 17th Century.


But, the Freedom was shortlived as the Omanis annexed ZNZ and many coastal towns to their empire that was ruled from MUSCAT. Im 18th Century, ZNZ and Pemba were subjet to the sultans of Muscat and Oman... Then Sultan Sayyid Said moved to ZNZ.


The rule of SULTAN along the coasts was more of Commercial rather than Administrative- Territorial Empire - mostly SLAVE TRADE from INTERIOR.


18th Century was an ERA where EUROPEANS were looking for colonies; so Upon Sayyid Said Death his successors did not have a legal claim to the lands they controlled Commercially & no power to keep away the Germans and British from annexing them -- THE PATRITION OF AFRICA BERLIN CONFERENCE of 1884.


The Abolition of Slave Trade also play part in weakening the SULTAN and bit by bit he lost more land to the EURO colonizers. Then, The British & Germans comes into some agreements with the sultan to sell his possession on the mainland. So the Germans who were the first to colonize Tanganyika agreed with the British to exchange ZNZ with Heligoland and though the Sultan was still ruling, it was defacto British Colony. So ZNZ was ruled by 2 colonial masters Zanzibar of that time include islands of ZNZ, Pemba, Latham and coastal strip of Kenya.


But in 1963 Coastal Strip of Kenya and Mombasa was handed to the new Independent GVT of KENYA.
 
Huwa sipendi kunyesha hisia zangu nikiwa verified user lakini hili suala mimi ni MTANGANYIKA!
 
Wandugu wapendwa; Mnaweza kutoa maoni bila kutoa matusi mnaweza kushiriki kuDebate bila kuchafua hewa..Kwani lazima muzushe maneno machafu si juzi tu tulikuwa under One umbrella!! je tukibaki na Tanzania moja si tutaona aiybu tutakapo sutana au kuzomeana wakati tupo ndani ya chungu kimoja!! Kila upande uitakie heri upande wa wengine..Lakini kejeli na kebehi za kike tusikaribishe au kuEntertaini.Good luck watoto wa TANZANIA...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom