Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

Hakika mheshimiwa rais Kikwete ana uvumilivu wa kisiasa wa hali ya juu.Mapenzi yake kwa demokrasia nchini hayana mfano.Ni rais ambaye ni vigumu katika nchi zetu za Kiafrika kumlinganisha na rais mwingine hasa katika uimarishaji wa demokrasia na uvumilivu wa kisiasa hasa maneno ya kejeli na matusi yanayoelekezwa kwake na wapinzani kila uchao.

Pamoja na vibweka vyote anavyofanyiwa na wapinzani hawa,mheshimiwa rais haoineshi hata chembe ya kinyongo dhidi yao .Mara nyingi hupuuza vijembe na kejeli dhidi yake kutoka kwa wapinzani hawa.Mheshimiwa rais anadiriki mpaka kuwaalika IKULU wapinzani wanaokauka makoo majukwaani wakimdhihaki.

Baadhi yao wamevuka mipaka na kumpachika majina ya ajabu ajabu kama VASCO DA GAMA.Huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu kwa rais wetu.Utaona hao hao wanaomkosea heshima rais wanakuwa mstari wa mbele kwenda IKULU wakila na kupiga naye picha JK.

HAKIKA HAKUNA RAIS MWENYE HEKIMA,BUSARA,WELEDI NA UVUMILIVU WA KISIASA KATIKA AFRIKA KAMA JK.

Mkuu upo right
 
Huwa namwona Jk amezidisha upole ,mimi ningekuwa Rais wa Tz mtu kama Freeman Mbowe na kundi lake wangekuwa lupango siku nyingi
 
Hakika mheshimiwa rais Kikwete ana uvumilivu wa kisiasa wa hali ya juu.Mapenzi yake kwa demokrasia nchini hayana mfano.Ni rais ambaye ni vigumu katika nchi zetu za Kiafrika kumlinganisha na rais mwingine hasa katika uimarishaji wa demokrasia na uvumilivu wa kisiasa hasa maneno ya kejeli na matusi yanayoelekezwa kwake na wapinzani kila uchao.

Pamoja na vibweka vyote anavyofanyiwa na wapinzani hawa,mheshimiwa rais haoineshi hata chembe ya kinyongo dhidi yao .Mara nyingi hupuuza vijembe na kejeli dhidi yake kutoka kwa wapinzani hawa.Mheshimiwa rais anadiriki mpaka kuwaalika IKULU wapinzani wanaokauka makoo majukwaani wakimdhihaki.

Baadhi yao wamevuka mipaka na kumpachika majina ya ajabu ajabu kama VASCO DA GAMA.Huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu kwa rais wetu.Utaona hao hao wanaomkosea heshima rais wanakuwa mstari wa mbele kwenda IKULU wakila na kupiga naye picha JK.

HAKIKA HAKUNA RAIS MWENYE HEKIMA,BUSARA,WELEDI NA UVUMILIVU WA KISIASA KATIKA AFRIKA KAMA JK.
Degree yake ya uchumi haijasaidia nchi ya tanzania
 
Mlimzoea huyo. Mlimsema maneno ya hovyo. Sasa kaingia asiye jaribiwa. Kesha sema "Tangulieni mbele muone moto wake"
 
Wanabodi,
Naangalia TBC Live, Rais Jakaya Kikwete yuko hewani!
Miongoni wa mazuri ya JK, ni having a good sense of humour, akiongea, huchoki kumsikiliza!.
Alipokuwa akiongelea kilimo cha ndizi kijijini kwao Msoga, Bagamoyo, akasema wakulima wana bananisha migomba mingi kwenye shina moja, matokeo yake kila mgomba unatoa kichane kimoja au viwili ya vindizi vilivyokondeana!.

Akasema wanakijiji wale wanalima hivyo kwa sababu hawajui kuwa kama wakiacha mgomba mmoja kwenye shina moja, mgomba huo utatoa mkungu mkubwa wa ndizi, na ndizi zenyewe zitakuwa ni ndizi za shibe kama "Mrisho Mpoto"!. Ukumbi mzima ulizizima kwa vicheko, watu hawana mbavu!.

Kuwa na 'good sense of humour' ni kipaji na ni miongoni mwa mambo mazuri machache ya rais wetu Jakaya Kikwete, besides good looking!.

Kwa wale wenye kumbukumbu ya hotuba za Mwalimu, ukiondoa ile hotuba yake ya kutangaza vita, hotuba za Mwalimu, watu walikuwa wanacheka na hutamani amalize kuzungumza!.

Hii ni thread ya miongoni mwa mazuri ya JK, kama na wewe unalo zuri lolote la JK ambalo unalijua, unaweza kuliweka.

Kwa vile tunazungumzia mazuri, ningeomba wale ambao hawana zuri lolote la kuzungumzia JK, sio lazima mchangie, wala zuri hili la "good sense of humour", haimaanishi JK sasa ndio rais bora kwa Tanzania, wala haina maana ndio hana mabaya yake!, leo tuzungumzie mazuri yake!

Angalizo:
Wanabodi wenzangu, tunajukumu la kujimoderate sisi wenyewe kulinda hadhi ya jukwaa letu, haiwezekana kila siku sisi tukawa ni watu wa kulalamika tuu, au kubonda tuu, mara moja moja kwenye mazuri, pia tutoe sifa pale panapo stahili!.

Natanguliza Shukrani kwa kunielewa!

Asanteni!

Paskali

Note: Paskali sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, bali ni muumini wa ukweli "seek the truth, and the truth will set you free"!. Kwa wale wanaofikiri Paskali ni mshabiki wa CCM, tafuteni thread yangu ya "CCM Imechokwa" !.

--------------------------------------------
Hoja Nyingine za Thread ya kibananhukhu iliyounganishwa [HASHTAG]#148[/HASHTAG]
hatari sana
 
View attachment 1227604

Pamoja na yote hayo Nyerere alikuwa ni msikivu sana ndio maana alishawishi mfumo wa vyama vingi uanze japo 80% ya watanzania waliukataa.

Mwalimu aliheshimu sana utu wa mtu, aliweka thamani ya mtu, alikuwa mtu wa kawaida kabisa mbele ya watu wengine.

Mwalimu ukikaa naye huipati ile hofu ya kwamba umekaa na rais,mtu ambaye anaweza kusema weka huyu ndani ukaenda ndani

Dhamana ya uongozi haikufanyi uwe mtu zaidi ya raia mwingine yeyote, haikufanyi wewe uwe na haki zaidi kuliko mtu ambaye si kiongozi.
Moja ya sifa kubwa za JK ni his sense of humour.
Angalia msamiati mpya wa kuji mwambafy ulivyo shika kasi na ku trend.
P
 
Upuuzi, hilo neno haliwasaidii Watanzania maskini, unajua tumeishi kwa maneno maneno ya mjini kwa miaka zaidi ya thelathini.

Tuwasaidie wananchi vijijini takribani asilimia themanini, tuache ngojera.

Maneno maneno, ngojera tuwaachie wana - taarabu.

Sisi tupige kazi, muda ni mchache, kazi ni kubwa sana.
 
Wanabodi,

Hii ni thread ya miongoni mwa mazuri ya JK, kama na wewe unalo zuri lolote la JK ambalo unalijua, unaweza kuliweka.

Kwa vile tunazungumzia mazuri, ningeomba wale ambao hawana zuri lolote la kuzungumzia JK, sio lazima mchangie,
this mwamba he's intelligent & wise hasukumwi na mihemko
Lakin yote kwa yote naamini anawapenda Watanzania that's why he ignores
Kuna mengi mazuri ya huyu mtu mtu
Mkuu Fene , naunga mkono hoja, tena mimi ni supporter wa mtu asifiwe akingali hai!.

Kwenye msiba huu wa EL, Jakaya amesakamwa sana bila kosa lolote!
Kikwete apewe maua yake!.

P
 
Back
Top Bottom