Miongoni mwa hukumu za hedhi

njia ya saada

JF-Expert Member
Sep 3, 2018
318
250
1. Hukumu ya uvindu na umanjano
Maana ya uvindu na umanjano

Al-sufrah:
umanjano ni damu inayotoka kwa mwanamke.

Al-kudrah:
ni damu iliyochafuka iliyo baina ya umanjano na weusi

Hukumu ya uvindu na umanjano
Mwanamke akiona damu ya manjano au iliyochanganyika baina ya umanjano na weusi, au akaona umajimaji tu, huwa ni moja ya hali mbili:
1. Ima aione wakati wa hedhi au imeungana na hedhi kabla ya utwahara:
Katika hali hii itapewa hukumu ya hedhi, kwa hadithi ya Aishah t kwamba wanawake walikuwa wakimtumia kibakuli ambacho ndani yake kuna pamba yenye dowa rangi ya manjano, na yeye akiwambia: « musifanye haraka mpaka muone paku leupe” akikusudia kwa hilo kutwahirika na hedhi
2. Ima aione wakati wa twahara:
Katika hali hii huwa haizingatiwi kuwa ni kitu chochote, na haimpasi udhu wala kuoga, kwa hadithi ya Ummu ‹Atiyyah kwamba alisema: “Hatukuwa tukiizingatia damu iliyochafuka au iliyo manjano baada ya kujitwahirisha kuwa ni chochote) [ Imepokewa na Abu Daud.]
https://www.al-feqh.com/sw/hedhi-inayofanana-na-hedhi-na-nifasi
 
Jul 25, 2018
17
45

Hivi huwa haulioni jukwaa la dini mpaka ulete huku kwenye jukwaa la elimu?
Heshimu utaratibu ikiwa kweli wewe ni mtu wa dini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom