Minziro mchawi wa yanga;mwondoeni muone mafanikio

Adui wa Yanga ni kule kuwa na majibu ya haraka kwenye matatizo makubwa. Root - cause analysis haifanyiki kabisa. Ninalolisema kwa Yanga lina apply kwa Simba pia . Ni tatizo kubwa kwa soka la TZ

Yetu macho tuone who is the next Bangusilo
 
Dah, hapa naanza kuchoka juu ya hii hoja. sasa minziro anakosa gani jamani ? Kocha mkuu ndiye anaetoa maamuzi ya mwisho ktk kupanga kikosi, suala la kufanya hujuma cdhani hata kidogo, mbona mwaka jana yeye ndo alibeba msalaba wa mechi ya Simba na yanga na matokeo yakawa 5 ? kama aliutaka ukochamkuu c angekomaa ashinde ili akabidhiwe mikoba ?
Mkuu hoja yako imetulia, nimeisoma wakati napata kifungua kinywa, imenipa apetite yakuongeza glasi nyingine ya maziwa fresh wakati si kawaida yangu bhana.
 
Tatizo lilopo yanga moja
kocha msaidizi anataka kuwa na majukumu ya kocha mkuu ...inapofika swala la kupanga
timu minziro amekuwa mtundu sana kutaka watu wake wawepo kwa garama zozote..sasa
kama yanga mnapenda huyu bwana akikisheni wiki ijayo ayupo yanga..naamini wanachama wa yanga
wako radhi hata kumchangia 200 kila mmoja aendelee kupata mkate wa kila siku

kilichofanyika kwa tom ndicho kinaendelea na kwa huyu mpya..jiulizeni ameondoka tom wanashinda
4 ameingia mzungu wanaanza na draw next kufungwa mwisho anataka wamwondoe na huyo mzungu then
aendelee na ukocha mkuuu

sisemi kwa nia mbaya ila naipenda yanga ndio maana naweka wazi waliokaribu na uongozi..wapo wanaosema adui wa manji anamwaga pesa lakini adui wa yanga ni fred ..kuanzia misumari mpaka
kuleta kutoelewana ....\\nawatakia siku njema

mkuu unakumbuka moja ya hoja za Papic kabla ajaondoka mara ya kwanza ilikuwa ni kumkataa Minziro na kusema sio chaguo lake...aliona mbali yule mtu..sasa naanza kuyakubali maneno yako.
 
Back
Top Bottom