Minziro mchawi wa yanga;mwondoeni muone mafanikio

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Tatizo lilopo yanga moja
kocha msaidizi anataka kuwa na majukumu ya kocha mkuu ...inapofika swala la kupanga
timu minziro amekuwa mtundu sana kutaka watu wake wawepo kwa garama zozote..sasa
kama yanga mnapenda huyu bwana akikisheni wiki ijayo ayupo yanga..naamini wanachama wa yanga
wako radhi hata kumchangia 200 kila mmoja aendelee kupata mkate wa kila siku

kilichofanyika kwa tom ndicho kinaendelea na kwa huyu mpya..jiulizeni ameondoka tom wanashinda
4 ameingia mzungu wanaanza na draw next kufungwa mwisho anataka wamwondoe na huyo mzungu then
aendelee na ukocha mkuuu

sisemi kwa nia mbaya ila naipenda yanga ndio maana naweka wazi waliokaribu na uongozi..wapo wanaosema adui wa manji anamwaga pesa lakini adui wa yanga ni fred ..kuanzia misumari mpaka
kuleta kutoelewana ....\\nawatakia siku njema
 
Absolute true bro...minziro ni mchawi wa yanga nimetoka kuwaambia jamaa jana wakawa wananibishia sasa wataona wakiendelea na huyu minziro.
 
Tehe tehe tehe!!!

attachment.php
 
Absolute true bro...minziro ni mchawi wa yanga nimetoka kuwaambia jamaa jana wakawa wananibishia sasa wataona wakiendelea na huyu minziro.
kafanyaje ..tusimshutum bila sababu za msingi
 
Dah, hapa naanza kuchoka juu ya hii hoja. sasa minziro anakosa gani jamani ? Kocha mkuu ndiye anaetoa maamuzi ya mwisho ktk kupanga kikosi, suala la kufanya hujuma cdhani hata kidogo, mbona mwaka jana yeye ndo alibeba msalaba wa mechi ya Simba na yanga na matokeo yakawa 5 ? kama aliutaka ukochamkuu c angekomaa ashinde ili akabidhiwe mikoba ?
 
Tatizo lilopo yanga moja
kocha msaidizi anataka kuwa na majukumu ya kocha mkuu ...inapofika swala la kupanga
timu minziro amekuwa mtundu sana kutaka watu wake wawepo kwa garama zozote..sasa
kama yanga mnapenda huyu bwana akikisheni wiki ijayo ayupo yanga..naamini wanachama wa yanga
wako radhi hata kumchangia 200 kila mmoja aendelee kupata mkate wa kila siku

kilichofanyika kwa tom ndicho kinaendelea na kwa huyu mpya..jiulizeni ameondoka tom wanashinda
4 ameingia mzungu wanaanza na draw next kufungwa mwisho anataka wamwondoe na huyo mzungu then
aendelee na ukocha mkuuu

sisemi kwa nia mbaya ila naipenda yanga ndio maana naweka wazi waliokaribu na uongozi..wapo wanaosema adui wa manji anamwaga pesa lakini adui wa yanga ni fred ..kuanzia misumari mpaka
kuleta kutoelewana ....\\nawatakia siku njema

Acha kumchulia baba Isaya Fred Felix Minziro Kataraiya Majeshi...... Kama kuna watu wanakubali kufa kwa ajili ya Yanga ni huyu jamaa hebu uliza wanayoijua Yanga! huyu amekunywa maji ya bendera .... ni tangu enzi za uchezaji wake hadi kuwa mwalimu, amewahi kufukuzwa zaidi ya mara 3 lakini kwa unyonge wake akiombwa kurudi anarudi hata kwa bure bila malipo, kama angekuwa na kazi nyingine angeshaondoka siku nyingi..........
 
Back
Top Bottom