Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,359
utendaji bora wa mwambene unapimwa kivipi?
Mkuu unajua bajeti ya wizara ya mambo nje kitengo cha ICT? Muulize mwambene alafu akuambie yeye hiyo bajeti ameimplement nini wizarani.......
longo longo za serikalini tunazijua wizi wizi tu umewajaa mnanunua software 'hewa' kwa Bil 1 leo unasemw wana husda? kwa lipi wakuu?
tubadilike tutumie akili kidogo mkuu msiwe kama kondoo mnapelekwa pelekwa tu...you have to reason hata kidogo
Namjua Mwambene na ninaelewa kabisa chuki za vijana wavivu, wapenda majungu na husda juu yake, na kwa kuwa ni mtu makini wewe na wote mnaoshiriki kwenye kampeni dhidi yake hasa kwenye vijiwe vya majungu kama hapa JF hamtaweza ku mface kumwambia wala hamtaweza kumfuata bosi wake kwa kuwa uwezo wake na utendaji wake hapa wizarani unaonekana. Nawashauri ninyi ongezeni juhudi walau mfikie mafanikio katika utendaji wenu wa kazi badala ya kukalia majungu na fitna zisizo na kichwa wala miguu kifupi..get a life Losers