Ministry of Farce Affairs aka Foreign Afairs

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
japan-nuclear-plant-radiation-meltdown.jpg

Website ya Foreign haina TRAVEL ADVICE or UPDATE on JAPAN sasa kama tunataka kwenda au tukitaka kujua usalama wa ndugu zetu waliokwama kule itakuwaje??

Its easy to say kuwa tucheki na ubalozi wa Tanzania in Tokyo lakini wenye mamlaka ya kutoa travel advice ni WIZARA tena chini ya kitengo cha Asia and Australasia Chini ya bwana ROGATIUS A. SHAO

Mimi I'm getting fed up na Assah Mwambene na uzembe wake wa kutoupdate the website. Najua Mbopo utakuja kunilaumu kuwa I'm being unfair to Assah lakini Job description yake iko very clear:

sasa just how much more do we have to put up with from this bungling idiot ? Its ok for me or anyone else to sit here and say these things, I understand too well that I am no more qualified to do that job than most other people who post on JF, HOWEVER - when some one IS giving a job we expect them to be able to execute the duties of that job in a competent way, ASSAH MWAMBENE has proven time again he is just not up to the job.

Hivi huko Foreign hakuna performance evaluation?
 
ninahisi unachuki binafsi na mwambene au ulikataliwa kazi huko au unalako jambo

sijapitia hiyo website unayosema lakini sitaki kuamini unachokisema

unless kuna watu wenye mawazo mbadala
 
Mkuu uko sahihi kabisa. Jamaa anaoneka wazi kwamba ana bifu na Mwambene na ndiyo maana sasa hivi hata akipita pale foreign affairs akakuta kuna karatasi inazagaa basi atakimbia JF kuja kumwaga matusi dhidi ya Mwambene. Na mimi naanza kuamini kwamba huyu bwana bado ana hasira na uchungu wa kunyimwa kazi pale foreign. Lakini kazi si ziko nyingi? Nenda Vodacom wanatafuta msemaje wa kampuni!
 
Jamani Mbopoyuko wapi aje kutuambia kama tunaweza kwenda Japan au la?

Hivi wewe unahitaji Mbopo aje kukuambia the obvious au huna TV na husomi magazeti kujua kwamba hali ya Japan ni mbaya? Hivi kama Mwambene hatoi advice unadhani wenye akili hawajui kwamba huko sasa hakupitiki? Mzee sasa umepitiliza. mwache mwenzio apumue maana hata kama mligombana mlipokuwa huko mitaani au ile mitaa ya London basi usihamishie ugomvi kwenye mambo ya kazi.
 
No sikubaliani nawe

Huyo PR officer wa foreign analipwa kufanya kazi yake na pesa ni tax payers money na mbaya zaidi kuna janga limetokea huko Japan ambako wako wa Tanzania

Tatizo hapa ni mtego huyu John naona keshajua yuko right lakini kaweka mtego ili hao aliowalenga waje kumjibu na kwa sababu watakuwa hawana hoja basi ndio bwana mkubwa anaendeleza hii ya kumkoma nyani giladi

Mimi sioni kuwa mfwatiliaji wa jambo maana yake ni mmegombana ila kuna hoja za mihimu zimekuwa raised.

Kuna watu wanalipwa kudesign na kupdate website ya foreign na kwa sababu sisi wazuri kuchakachua obviously itakuwa overinflated

pia ni wajibu wa waziri husika kuwahabarisha watanzania kupitia vitu kama mitandao ili wajue wafanye nini na wapi watapata msaada wakikwama

je mtego upo? Of course upo ila sijajua ni upi wa dizaini ya Dr Shayo au wa Magufuli ...
 
japan-nuclear-plant-radiation-meltdown.jpg

Website ya Foreign haina TRAVEL ADVICE or UPDATE on JAPAN sasa kama tunataka kwenda au tukitaka kujua usalama wa ndugu zetu waliokwama kule itakuwaje??

Its easy to say kuwa tucheki na ubalozi wa Tanzania in Tokyo lakini wenye mamlaka ya kutoa travel advice ni WIZARA tena chini ya kitengo cha Asia and Australasia Chini ya bwana ROGATIUS A. SHAO

Mimi I'm getting fed up na Assah Mwambene na uzembe wake wa kutoupdate the website. Najua Mbopo utakuja kunilaumu kuwa I'm being unfair to Assah lakini Job description yake iko very clear:

sasa just how much more do we have to put up with from this bungling idiot ? Its ok for me or anyone else to sit here and say these things, I understand too well that I am no more qualified to do that job than most other people who post on JF, HOWEVER - when some one IS giving a job we expect them to be able to execute the duties of that job in a competent way, ASSAH MWAMBENE has proven time again he is just not up to the job.

Hivi huko Foreign hakuna performance evaluation?

Nashukuru kwa kujishtukia maana unajua wazi kwamba hapa JF hatulei chuki binafsi au unfair criticism kama ambayo wewe umeionyesha. Hivi mimi nikuulize: Mwambene afanye nini ili amalize bifu lake na wewe? You have consistently been baying for his blood even where it is unnecessary. Dunia hii sasa macho na masikio yote yako Japan na hakuna chombo cha habari ambacho hakijatangaza kwamba Japan hali ni mbaya, flights zimekuwa cancelled na kwa ujumla hata hao wajapan wenyewe wangetamani kuondoka. Habari hizi zinafika hata kule kijijini na mama yangu anazisikia kupitia redio yake ya mkulima. Hivi unahitaji travel advice ya Mwambene kujua enormity ya tatizo? Ungeendaje wakati hata flights zenyewe haziruki huko kutokana na miundombinu kuharibika?

Ndugu yangu sasa na mimi naanza kuamini yale yanayosemwa kwamba wewe uliomba kazi pale foreign na ukapewa matumaini lakini mambo yakaenda tofauti na sasa umeamua kumtia adabu yule aliyekuharibia kitumbua chako, na kwa kweli hatajua amani mpka labda aondoke pale. Matokeo yake ni kuhakikisha kwamba Mwambene hana amani na kazi yake. Mimi nasema kwamba kesi ya Japan ni res ipsa loquitur (a thing speaks for itself) na huhitaji Mwambene kuamka leo na kusema kwamba mazingira kule ni ya hatari. Hivi unahitaji kuambiwa na mtu kwamba maeneo fulani ni disaster sites. Mbona leo huendi Somalia au Libya au hata Darfur. je huko ulishauriwa na Mwambene na kama hajashauri kwa nini hujamlaumu na yet hujaenda. Man give him a break!
 
No sikubaliani nawe

Huyo PR officer wa foreign analipwa kufanya kazi yake na pesa ni tax payers money na mbaya zaidi kuna janga limetokea huko Japan ambako wako wa Tanzania

Tatizo hapa ni mtego huyu John naona keshajua yuko right lakini kaweka mtego ili hao aliowalenga waje kumjibu na kwa sababu watakuwa hawana hoja basi ndio bwana mkubwa anaendeleza hii ya kumkoma nyani giladi

Mimi sioni kuwa mfwatiliaji wa jambo maana yake ni mmegombana ila kuna hoja za mihimu zimekuwa raised.

Kuna watu wanalipwa kudesign na kupdate website ya foreign na kwa sababu sisi wazuri kuchakachua obviously itakuwa overinflated

pia ni wajibu wa waziri husika kuwahabarisha watanzania kupitia vitu kama mitandao ili wajue wafanye nini na wapi watapata msaada wakikwama

je mtego upo? Of course upo ila sijajua ni upi wa dizaini ya Dr Shayo au wa Magufuli ...

Tatizo hapa ni ku-blow vitu out of proportion. Huyu bwana amekuwa akimsakama mwambene hata katika vitu vidogo mpaka inafika mahali wakati hata akikosea tunashindwa kujua kama kuna ukweli kwa sababu ya namna mijadala inavyochukua mwelekeo binafsi.
 
ninahisi unachuki binafsi na mwambene au ulikataliwa kazi huko au unalako jambo

sijapitia hiyo website unayosema lakini sitaki kuamini unachokisema

unless kuna watu wenye mawazo mbadala

hana chuki ndio ukweli...

miswahili bwana mtu akiambiwa ukweli, ati ni chuki

haya sema assa ana nini cha kujitetea
 
Mkuu uko sahihi kabisa. Jamaa anaoneka wazi kwamba ana bifu na Mwambene na ndiyo maana sasa hivi hata akipita pale foreign affairs akakuta kuna karatasi inazagaa basi atakimbia JF kuja kumwaga matusi dhidi ya Mwambene. Na mimi naanza kuamini kwamba huyu bwana bado ana hasira na uchungu wa kunyimwa kazi pale foreign. Lakini kazi si ziko nyingi? Nenda Vodacom wanatafuta msemaje wa kampuni!
tatizo kubwa la watanzania...haya haya ndio mlisema tunamuonea wivu hasheem akipewa ushauri....kafika wapi..

site ya foreign ni kichekesho kama site nyingine za tz...hamna update.....kuna wivu gani hapo?
 
Nashukuru kwa kujishtukia maana unajua wazi kwamba hapa JF hatulei chuki binafsi au unfair criticism kama ambayo wewe umeionyesha. Hivi mimi nikuulize: Mwambene afanye nini ili amalize bifu lake na wewe? You have consistently been baying for his blood even where it is unnecessary. Dunia hii sasa macho na masikio yote yako Japan na hakuna chombo cha habari ambacho hakijatangaza kwamba Japan hali ni mbaya, flights zimekuwa cancelled na kwa ujumla hata hao wajapan wenyewe wangetamani kuondoka. Habari hizi zinafika hata kule kijijini na mama yangu anazisikia kupitia redio yake ya mkulima. Hivi unahitaji travel advice ya Mwambene kujua enormity ya tatizo? Ungeendaje wakati hata flights zenyewe haziruki huko kutokana na miundombinu kuharibika?

Ndugu yangu sasa na mimi naanza kuamini yale yanayosemwa kwamba wewe uliomba kazi pale foreign na ukapewa matumaini lakini mambo yakaenda tofauti na sasa umeamua kumtia adabu yule aliyekuharibia kitumbua chako, na kwa kweli hatajua amani mpka labda aondoke pale. Matokeo yake ni kuhakikisha kwamba Mwambene hana amani na kazi yake. Mimi nasema kwamba kesi ya Japan ni res ipsa loquitur (a thing speaks for itself) na huhitaji Mwambene kuamka leo na kusema kwamba mazingira kule ni ya hatari. Hivi unahitaji kuambiwa na mtu kwamba maeneo fulani ni disaster sites. Mbona leo huendi Somalia au Libya au hata Darfur. je huko ulishauriwa na Mwambene na kama hajashauri kwa nini hujamlaumu na yet hujaenda. Man give him a break!
Man ur retarded kweli kabisa....sasa kazi ya hao watu pale wizarani ni nini?? kwa hiyo kama CNN wametangaza ndio tamko la wizara? mbona mnaona mambo kama punguani wakuu......
 
Inawezekana jamaa anachuki binafsi.....lakini point yake inabaki palepale kuwa huyo Assah sijui nani, inabidi a-update website hiyo...kama vipi ampishe huyu jamaa anayeropoka hapa akajaribu yeye.
 
Nashukuru kwa kujishtukia maana unajua wazi kwamba hapa JF hatulei chuki binafsi au unfair criticism kama ambayo wewe umeionyesha. Hivi mimi nikuulize: Mwambene afanye nini ili amalize bifu lake na wewe? You have consistently been baying for his blood even where it is unnecessary. Dunia hii sasa macho na masikio yote yako Japan na hakuna chombo cha habari ambacho hakijatangaza kwamba Japan hali ni mbaya, flights zimekuwa cancelled na kwa ujumla hata hao wajapan wenyewe wangetamani kuondoka. Habari hizi zinafika hata kule kijijini na mama yangu anazisikia kupitia redio yake ya mkulima. Hivi unahitaji travel advice ya Mwambene kujua enormity ya tatizo? Ungeendaje wakati hata flights zenyewe haziruki huko kutokana na miundombinu kuharibika?

Ndugu yangu sasa na mimi naanza kuamini yale yanayosemwa kwamba wewe uliomba kazi pale foreign na ukapewa matumaini lakini mambo yakaenda tofauti na sasa umeamua kumtia adabu yule aliyekuharibia kitumbua chako, na kwa kweli hatajua amani mpka labda aondoke pale. Matokeo yake ni kuhakikisha kwamba Mwambene hana amani na kazi yake. Mimi nasema kwamba kesi ya Japan ni res ipsa loquitur (a thing speaks for itself) na huhitaji Mwambene kuamka leo na kusema kwamba mazingira kule ni ya hatari. Hivi unahitaji kuambiwa na mtu kwamba maeneo fulani ni disaster sites. Mbona leo huendi Somalia au Libya au hata Darfur. je huko ulishauriwa na Mwambene na kama hajashauri kwa nini hujamlaumu na yet hujaenda. Man give him a break!

Sijui watanzania tulirogwa na nani. Mkuu wewe jibu hoja, wanajamvi tutachanganua ukweli na uongo. Hivi kweli (sorry sijui wewe ni nani pale kwa Membe) umeshindwa kujibu hoja kwa hoja? The point is the foreign website does not include vital information on Japan. and thats why we have that ministry anyway. Otherwise..si tungesema tuna CNN na Aljazeera?..People..use common sense..not these cheap cheap shots... Sasa wewe unaleta habari za uswahilini hapa..as if wahusika wanatufanyia favour wakati wanalipwa pesa za walipa kodi. Eti aliomba kazi akakosa? You must be joking..If I may ask..hao waliopata wana nini ambacho wengine hawana? I can assure you, Tanzania ukisema ufanye audit ya jinsi watu wanavyopata kazi especially serikalini..majority utakuta hawana vigezo. Na hii inathibitishwa na majibu ya hao the so called wataalamu wa wizara.

Hivi Tanzania tutaacha lini kufanya kazi kwa mazoea? Inawezekana mleta post..kweli ana 'chuki binafsi' as you say..lakini ukweli uko pale pale..the website is a joke! Na bila aibu unatwambia kwamba hata mama yako kijijini analijua hili la Japani! So kama kuna vyanzo vingine..basi post ya huyo jamaa ingekatwa! To save our money!

Tuache kufanya kazi kwa mazoea. Lets be professional. Mtu akikwambia kitu..angalia hoja..Naweza kuwa sikubaliani na mleta mda. Lakini ukweli ni kwamba his concern is valid and he needs/expects legit answers.

And we are waiting!
 
Huu utaratibu Wa travel advise naona ni Wa kimarekani zaidi sijaona kwenye website za nchi zingine sasa sijui Huu ugomvi kwa huyu Mwambene unatoka wapi?
 
huyu jamaa inaonekana ana unfinished business na mwambene na foreign affairs office.
ulikosa kazi au ni nini hasa maana naona wamfuatilia sana.
kuna uzuri wake pia kwani atajitahidi kufanya kazi zaidi ili hizi critics ziishe.
 
Msekwa: Those who questioned his links to VODACOM while Speaker wa Bunge= Wana wivu wa kike.

Kikwete: Those who question his commitment and ability to address challenges facing Tanzanians= wanachuki binafsi na wa/uislamu

My friend above: Those who question Mwambene`s commitment to his work at Foreign Affairs: Sore losers-walikosa kazi foreign!

Something in common? No body stands to take responsibility! and what do you make of it? Typical Tanzanians-Blame everybody else but you for your shortcomings!
 
tatizo kubwa la watanzania...haya haya ndio mlisema tunamuonea wivu hasheem akipewa ushauri....kafika wapi..

site ya foreign ni kichekesho kama site nyingine za tz...hamna update.....kuna wivu gani hapo?

Wabongo wengi tunapendwa kutukuzwa hata kama ni uongo yani ukim-criticize mtu una chuki..my foot!
Yani hata website ya global publishers ina update kushinda hizi za serikali kama MFA ambazo zinatakiwa kuweka habari muhimu kila mara..
 
Msekwa: Those who questioned his links to VODACOM while Speaker wa Bunge= Wana wivu wa kike.

Kikwete: Those who question his commitment and ability to address challenges facing Tanzanians= wanachuki binafsi na wa/uislamu

My friend above: Those who question Mwambene`s commitment to his work at Foreign Affairs: Sore losers-walikosa kazi foreign!

Something in common? No body stands to take responsibility! and what do you make of it? Typical Tanzanians-Blame everybody else but you for your shortcomings!

Watu wana keep record mazee, mtu huyu huyu alikuja acusation kibao kuhusu mwambene na uwezo wake, suala linakuja anajua uwezo wa wizara zetu katika ICT? ametembelea wizara ngapi kuangalia mfumo wa ICT? kwa mtu anayefuatilia hata kidogo ni dhahiri angeona kuwa wizara zetu ndio zina transform kwenda kwenye mfumo wa komupyuta au kwa kifupi serikali yetu bado ipo nyuma sana kwenye matumizi ya ICT, tatizo la foreign affairs huwezi kulitenganisha na mfumo analogia wa serikali yetu wala kumbebesha lawama mtendaji mdogo tu kama Mwambene. Kuna kila dalili mtoa mada amezingirwa na chuki na husda kwani amelenga kumshambulia mtu badala ya mfumo mzima, kwa kuanzia angekwenda ku research wizara ina budget kiasi gani kuhudumia mfumo mzima wa ICT au rather aangalie bajeti nzima ya serikali kwenye ICT alinganishe tu na kampuni kama Zantel halafu ajenge hoja zake kuanzia hapo.
 
Watu wana keep record mazee, mtu huyu huyu alikuja acusation kibao kuhusu mwambene na uwezo wake.
utendaji bora wa mwambene unapimwa kivipi?

suala linakuja anajua uwezo wa wizara zetu katika ICT? ametembelea wizara ngapi kuangalia mfumo wa ICT? kwa mtu anayefuatilia hata kidogo ni dhahiri angeona kuwa wizara zetu ndio zina transform kwenda kwenye mfumo wa komupyuta au kwa kifupi serikali yetu bado ipo nyuma sana kwenye matumizi ya ICT, tatizo la foreign affairs huwezi kulitenganisha na mfumo analogia wa serikali yetu wala kumbebesha lawama mtendaji mdogo tu kama Mwambene. .
Mkuu unajua bajeti ya wizara ya mambo nje kitengo cha ICT? Muulize mwambene alafu akuambie yeye hiyo bajeti ameimplement nini wizarani.......

longo longo za serikalini tunazijua wizi wizi tu umewajaa mnanunua software 'hewa' kwa Bil 1 leo unasemw wana husda? kwa lipi wakuu?

tubadilike tutumie akili kidogo mkuu msiwe kama kondoo mnapelekwa pelekwa tu...you have to reason hata kidogo
 
Watu wana keep record mazee, mtu huyu huyu alikuja acusation kibao kuhusu mwambene na uwezo wake, suala linakuja anajua uwezo wa wizara zetu katika ICT? ametembelea wizara ngapi kuangalia mfumo wa ICT? kwa mtu anayefuatilia hata kidogo ni dhahiri angeona kuwa wizara zetu ndio zina transform kwenda kwenye mfumo wa komupyuta au kwa kifupi serikali yetu bado ipo nyuma sana kwenye matumizi ya ICT, tatizo la foreign affairs huwezi kulitenganisha na mfumo analogia wa serikali yetu wala kumbebesha lawama mtendaji mdogo tu kama Mwambene. Kuna kila dalili mtoa mada amezingirwa na chuki na husda kwani amelenga kumshambulia mtu badala ya mfumo mzima, kwa kuanzia angekwenda ku research wizara ina budget kiasi gani kuhudumia mfumo mzima wa ICT au rather aangalie bajeti nzima ya serikali kwenye ICT alinganishe tu na kampuni kama Zantel halafu ajenge hoja zake kuanzia hapo.

Mkuu precisely this is our point. Ndo maana wengine tunaliangalia hili swala kwa mapana not on personalities. mimi huyu Mwambene simjui. Lakini kinachogomba hapa ni kuona watu mnabadilisha maswala muhimu katika personalities. Mlichotakiwa kufanya ni kumjibu muhusika kwa hoja. Trust me you..we would be having another conversation here. Is hitting you where it hurts. Na nyinyi mnashindwa kwa sababu hamna majibu..mnaishia kusema jamaa alikosa kazi...Harafu ni cheap politics kutumia udhaifu wa mwenzako kujustify wa kwako. Kwamba Foregn ni wabovu kwa vile wizara nyingine nazo ni mbovu..sounds familiar with 'our country is still young' Roma haikujengwa kwa siku moja'..nk?? This is bongo my friend...

Mkuu lets be realistic. Hivi ku-up-date website unahitaji kiasi gani cha pesa jamani? I think we should start living in the present! By the way bajeti ya V8 ya wizara inaweza kumantain website ile vizuri sana kwa mwaka mzima. Ni mawazo kama haya ya kujustify uzembe wetu tunajikuta kila siku tuko pale pale. Typical bongo..always short of imagination and vision!

Labda tumuulize Invisible..how much does it cost him and his friends kumaintain JF?
 
Back
Top Bottom