Ministers should apply for jobs - academicians

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797


BY CORRESPONDENT

10th October 2011
comment_bubble.png


Academicians have recommended that the country's new constitution should have a provision whereby ministers apply for the jobs, and only those with the required qualities get hired.

They said the current constitution whereby authority to appoint ministers was vested in the president provided loopholes for the appointment of people with little expertise on issues pertaining to respective ministries.

The academicians who were contributing to a public debate on constitutional reforms conducted by the Legal and Human Rights Centre (LHRC) in Mwanza over the weekend, said the present system was the major cause of poor performance by some ministers, including entering into dubious contracts that cost tax payers money.

Kumbukeni Kondo, a student at St Augustine University said:

"Ministers should apply for the jobs just like everyone else and undergo interviews to determine whether they qualify for the posts before they can be hired, with a provision to be fired if they failed to perform, just like any other civil servant."

Another St Augustine University student, Paskazia Anastaz said the new constitution should stipulate that ministers must resign once parliament is dissolved.

"Most of them use government resources to campaign during elections. Let them resign to enable them campaign like other citizens," said Anastaz.


Makody Samson was of the view that the new constitution should contain a provision on how to hold accountable legislators who underperform instead of waiting for five years.


He said there was need to involve legislators from areas with natural resources in signing all contracts related to the nation's wealth to ensure people in the surrounding areas get maximum benefits.


"Legislators are the ones who know which resources are around. Let the new constitution allow them to append signatures to the said contracts," said Samson.


Professor Chris Peter Maina from the University of Dar es Salaam stressed the need for the new constitution to put in place machinery to ensure that the state does not enter into bad contracts.


"The state must always ensure it enters into contracts that benefit and not ruin its people," he said, adding: "Wananchi have the right to know the content of contracts entered into by the government because whatever the nation does is done on behalf of its people," said the university don.


Among flaws cited during the debate was on what would happen to the Union should an opposition party come into power, with some of the speakers noting that it could mean whatever party gets into power could question its validity.


The debate brought together university students from Mwanza and nearby regions, religious leaders, lecturers, members of civil societies and ordinary people.



SOURCE: THE GUARDIAN

 
1. Ivi wanafunzi ndio academics?
Maana waliosema kuwa Ministers should apply for jobs ni wanafunzi na sio hao ma-profs!

2. Kama mnataka mawaziri wa-apply kazi, basi inabidi tuache mfumo mzima wa serikali tulio nao sasa, including kuwa na vyama vya siasa. Huyu mwanafunzi inaelekea hajui kazi ya mawaziri au wapo pale kwa sababu gani. Tatizo la Tz sio mawaziri kuwa appointed, ni watu kuelewa mamlaka ya mawaziri. Waziri ni muakilishi wa wizara kutoka chama tawala.

Anahakikisha sera za chama chake zinafuatwa katika hiyo wizara. Katika wizara kuna wataalamu, kwa mfano Permanent Secretaries. Hawa ndio wanaotakiwa kuajiriwa na expertise katika hiyo field. Na appointment yao inaweza kupitishwa bungeni.

Lakini waziri lazima atoke kwenye chama tawala. Kama ni rafiki wa rais, so be it. Lakini yupo accountable bungeni. Na bunge linaweza kupiga kura ya no confidence to the government, which means serikali nzima lazima iondoke. Labda wanaweza kuleta kura za no confidence kwa waziri mmoja mmoja pia.
 
Nafikiri hawa wanafunzi wa chuo walikua wanamaanisha wanataka proffesional ministers yaani siyo wanasiasa, hii itabidi kubadili mfumo huu na kuwafanya mawaziri ni any member of the public, raia mzawa wa tanzania regardless of political affiliation. huyu atachaguliwa na rais na tume ya utumishi atapelekwa bungeni kujadiliwa cv yake na background yake yote akipita anakua waziri na anawajibika kwa rais na siyo bunge. hii ina maana wabunge wabaki wabunge tu na siyo kua mawaziri tena kama ilivyo sasa
 
Although they were Wanafunzi who said that but their opinion and suggestion values to the wealth of the country, rather than keeping Ministers appointed by president as they are useless.
 
Although they were Wanafunzi who said that but their opinion and suggestion values to the wealth of the country, rather than keeping Ministers appointed by president as they are useless.

Who said that their opinion does not matter? But you have to give an informed opinion. Kwa nini watu wanataka mawaziri wasio wanasiasa? Mbona mimi sioni kama hiyo ni ishu? Nchi gani nyingine ina-appoint ministers walio-qualified?
 
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 19th April 2009
Location : Kathmandu
Posts : 2,678
Rep Power : 28


icon1.png
Re: Ministers should apply for jobs - academicians


"1. Ivi wanafunzi ndio academics?
Maana waliosema kuwa Ministers should apply for jobs ni wanafunzi na sio hao ma-profs!

2. Kama mnataka mawaziri wa-apply kazi, basi inabidi tuache mfumo mzima wa serikali tulio nao sasa, including kuwa na vyama vya siasa. Huyu mwanafunzi inaelekea hajui kazi ya mawaziri au wapo pale kwa sababu gani.

Tatizo la Tz sio mawaziri kuwa appointed, ni watu kuelewa mamlaka ya mawaziri. Waziri ni muakilishi wa wizara kutoka chama tawala. Anahakikisha sera za chama chake zinafuatwa katika hiyo wizara. Katika wizara kuna wataalamu, kwa mfano Permanent Secretaries.

Hawa ndio wanaotakiwa kuajiriwa na expertise katika hiyo field. Na appointment yao inaweza kupitishwa bungeni. Lakini waziri lazima atoke kwenye chama tawala. Kama ni rafiki wa rais, so be it.

Lakini yupo accountable bungeni. Na bunge linaweza kupiga kura ya no confidence to the government, which means serikali nzima lazima iondoke. Labda wanaweza kuleta kura za no confidence kwa waziri mmoja mmoja pia."


Kama hatujui kutenganisha masuala ya siasa na utendaji tukubali kujifunza,kuliko kuchangia vitu tusivyo vijua,aliyeleta hoja yupo sahihi,tafuta maana ya msomi na pia aliyekwambia waziri lazima awe mbunge ni nani,,pia hujui kwamba kuna mgongano wa kimihimili ya serikali kwa mbunge kuwa waziri wakati huo huo waziri kuwa mbunge?????

Kweli kila jamii hupata serikali inayo istahili kwa mtindo wa hoja kama hizi.

 
Hawa,

Waandishi wangelikuwa na heshimu kidogo ya kutuacknowledge JF na sio kusema academicians. Mada hii tuliizungumza tangu mwaka 2006-2009 leo ndio inapata sauti !!!

Hakuna mahali inasema lazima uwaziri au unaibu uwaziri lazima mtu awe mbunge. Peter Mendelson was not an MP when he was appointed as Secretary of Business Enterprises, and Regulatory Reform (UK). Marekani ni lazima Mbunge ajitoe congress akiwa appointed kwenye baraza la mawaziri (US constitution imetamka hivyo). Marekani wamefanya hayo kuhakikisha hakuna conflict of interest between mawaziri na bunge.
 
Hapo ndo tunapotaka kabisa kuteganisha civil servant and a politician.In public service we assume bt also it is insisted to be neutral and apolitical so as to avoid patronage,partisanship,patron clientile and conflict of interest.

The open doubt comes that can the civil servants be neutral in politics while most of them in top positions are hired by spoil system,political affiliation rather than merit approach.

Je mtu gani au kiongozi gani atamteua mtu ambaye yuko tofauti na party politics and policies? Mkanganyiko huu kweli unadhohofisha ata uwajibikaji na utendaji then mfano hapo Tanzania watu kama RC,DC,MD,General sec. wa government agencies they are directly appointed by president without even Legistrative and public scrutiny wakati kimamtiki watu hawa inabidi wawe watendaji kuliko kuwa wanasiasa na makada wa chama.
 
Kama hatujui kutenganisha masuala ya siasa na utendaji tukubali kujifunza,kuliko kuchangia vitu tusivyo vijua,aliyeleta hoja yupo sahihi,tafuta maana ya msomi na pia aliyekwambia waziri lazima awe mbunge ni nani,,pia hujui kwamba kuna mgongano wa kimihimili ya serikali kwa mbunge kuwa waziri wakati huo huo waziri kuwa mbunge?????

Kweli kila jamii hupata serikali inayo istahili kwa mtindo wa hoja kama hizi.


Embu fafanua hiyo siasa na utendaji. Utendaji wa waziri ni nini?
Kwenye circle za waliosoma, an academic ni mtu alibobea kwenye field yake. Kuna tofauti ya mwanafunzi na academic. Kwa kawaida an academic has published works in an area. Kama definition yako ya an academic ni mwanafunzi, kwa maoni yangu ipo too low. Unaposema an academic source unadhani wana maana ya mwanafunzi yeyote?
Mbona migongano ya kimihili ipo mingi na katika nchi zilizobobea kwenye haya mambo. Kwa mfano Uingereza, AJ ni mbunge, yupo serikalini na pia anashiriki kwenye judicial arm.
Kwa maoni yangu, hakuna impact kubwa kwa mbunge kuwa waziri. The system is working perfectly ikiwekewa masahihisho kadhaa. Na sababu nimetoa. Chama chenye support bungeni kinatengeneza serikali. Mawaziri wana head department za serikali kuhakikisha sera zao zinafuatwa. Wao ndio wako accountable bungeni. Why is that so difficult? And what is wrong with that?
 
Mimi nafikiri hawa wasomi kuna kitu wana-miss kwenye pendekezo lao hili. Mimi banfasi bado ninaamini kuwa kazi za mawaziri zipo kisiasa zaidi kiliko kiutendaji. Ndiyo maana unakuta mawaziri vihiyo wanashikilia wizara ambazo hawajui lolote juu yake. Nafikiri tufute nafasi moja kati ya hizi mbili, (Permanent secretaries or ministers). I suggest tuwaondoe ministers tubakie na permanent secretaries. ila hawa wawe wanafanyiwa vetting publicly na baadae kuthibitishwa na bunge baada ya kuhojiwa on camera na kamati husika za bunge ili tuwajue.

Lakini kama hili halitoshi, kuna msemo NYOKA KICHWA, mimi bado ninaamini kuwa Rais bora ni lazima pia afanyiwe vetting na wananchi, na moja ya vetting hizo ni kuhudhuria midahalo yaani iwe ni constitutional requirement kuwa ili mtu apitishwe kama mgombea ni lazima apitia at least midahalo mitatu ya public pamoja na wagombea wenzake. Udhaifu wa mawaziri unatokana na udhaifu wa aliyewateua. Mimi ninaamini kabisa kuwa Rais wa sasa hakufanyiwa vetting ya kutosha ndiyo maana watanzania tunapoteza another 10 years ya uhai wetu kusubiri amalize muda na kumjaribu mwingine.

katiba mpya iweke wazi kuwa rais asiwe na nguvu ya kuteua nafasi yoyote ya kisiasa, kama wakuu wa mikoa, wilaya, mawaziri etc. Nafasi zote za kisiasa zitokane na kura za wananchi tu. Rais awe na uwezo wa kuteua nafasi za utendaji tu nazo zote ni lazima zithibitishwe na bunge baada ya kuwahoji publicly on TV. Hapo tutakuwa tumetengeneza serikali for the people not serikali for the appointer (President).
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom