Ministers' appointment

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Nimejisikia kutoa ushauri wangu jinsi ya kuteua baraza la mawaziri bila kujali ukubwa wake ila tu kwa maslahi ya taifa na kuepuka migogoro kama ya Dowans, TICCS, TRL etc.

Sijajua vigezo gani huwa vinatumika kumpa waziri kuongoza wizara fulani ila nafikiri ilitakiwa kuangalia uzoefu wa kiutendaji, seniority, age na elimu. Inanishangaza sana kuona mbunge alieingia bungeni kwa mara ya kwaza anapewa wizara nyeti aiongooze. Mfano Masha alivyopata tu ubunge akateuliwa katika wizara ya nishati then mambo ya ndani, same applies to Ngeleja, Maige etc. Na tumeona wizara zote hizi zimekuwa na matatizo.

Wizara za Nishati/Utalii ndo wizara zinazo ongoza katika kuchangia pato la taifa then I would expect strong ministers kuteuliwa kuongoza wizara hizi, why not people like Magufuli, Mwandosya, Mwakyembe, Sitta? (Maige, Ngeleja, Malima) very junior kupewa wizara kubwa kama hizo.

Huo ni ushauri wangu kwa mamlaka husika ukiona kama huna la kuchangia basi potezea tu.
 
Back
Top Bottom