Minister: Tanzanians’ blogs are full of gossip | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Minister: Tanzanians’ blogs are full of gossip

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Feb 9, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,980
  Trophy Points: 280
  Minister: Tanzanians' blogs are full of gossip Send to a friend Tuesday, 08 February 2011 22:07 digg

  By Israel Mgussi
  The Citizen Correspondent
  Dodoma. Tanzanians spent a total of Sh2 billion for talking through mobile phones in 2010.

  However, it is amazing that most of the conversations and messages were on sexual relationships, the deputy minister for Industry, Trade and Marketing, Mr Lazaro Nyalandu, said recently.

  He was talking to students who are members of Chama Cha Mapinduzi (CCM) at the University of Dodoma (Udom) during a short meeting held at Kilimani, Dodoma.

  "Unlike our colleagues from Kenya, Rwanda and Uganda who have been using blogs and their mobile phones to learn basic things like the state of markets for different products, we have spent much time making non-profit contacts; many Tanzanians' blogs are full of gossip," said Mr Nyalandu.

  He said the conversations made on mobile phones for the past year reveal that Tanzanians can participate in building the country if they have a tendency to think of basic things for the community, especially strategies of production and abandoning the concept of tax evasion.

  "We want all Tanzanians to pay taxes; as you can see the money used for mobile phones is more than the budget support we got from the United States for that period... I want Tanzanians to think of building their country and make sure we concentrate on basic things and abandon the habit of evading taxes," he said.

  My take:
  sijui kama kuna research ilifanywa kuhusu aliloongea Mh au ndo kuongea reja reja na kwa mazoea ati mawasiliano ya Watanzania ni kwa ajili ya sexual relationships tu tofauti na nchi nyingine! By the way where is the right of privacy? is wire tapping allowed in Tanzania? legal experts wanasema vp kuhusu hili? la waziri ku-access phone users' text and phone conversations!
   
 2. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  This is alarming. Is this the level of knowledge among our ministers? Nyalandu has a lot to catch up with. Worse still, he might not be the only one!
   
 3. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa huyu inamaana alihesabu hizo sms akakuna nyingi ni za mapenzi au ni kuropoka tu?
  by the way, kila mtu ana uhuru wa kufanya vile atakayo ilimradi asivunje sheria......kama mtu ananunua vocha kwa hela zake kuwasililiana na demu wake yy inamuhusu nn??.........Mwanza aliulizwa wamiliki wa dowans akasema hawajui ila hiyo %tage ya sms za mapenzi anajua ...ha!Ha!ha!ha!ha! hawa mawaziri wa awamu hii kiboko!
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unajua asifiaye mvua imemnyea.... huyu jamaa yawezekana hata mke wake alimpata kwa msg... sababu hiyo research ya nini huwa kinaandikwa kwenye msg na blog sijawahi kuiona.... Nina wasiwasi na uwezo wake wa kufikiri!!!!!
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  And they need to stop the habit of using our taxes and spend it on luxury like buying mashangingi.....
   
 6. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  MH Nyalandu umejuaje?
  Hii ni dalili moja kwamba wewe pia ni mpiga porojo na pengine ni Bingwa wa kulilia Vitumbua kwenye Simu.
  Nitafuta usemi wangu tu MH Nyalandu ukileta Results ya Official research kutoka accredited Organisation siyo kamati za akina Hiza.

   
 7. n

  niweze JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inaelekea serikali ina haki pia ya kusoma messages za wananchi...tunataka bunge limuulize amepata wapi hizi data? Sheria gani imempasa kuingia katika vyombo binafsi vya wananchi kama simu na mawasiliano mengine? Ujinga wake unamsumbua kama hajui kutumia PCs aende shule...
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu...hujakosea..... mke wa Lazaro Nyalandu ni Miss Tanzania 2007 ..Miss Faraja Kota
   
 9. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  jukwaa la mapenzi ndio the most active in Jamii forum, hebu angalia the number of responses per thread alafu ukimbie kwenye economic forum ama jukwaa la sheria halafu you make comparisons. tuchukue criticism positiely, thats the only way we can make change and eventually progress
   
 10. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,980
  Trophy Points: 280
  huu uwongo mwingine jukwaa "most" active ni la siasa
   
 11. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kauli ya waziri huyo haina uhusiano na ile post iliyowekwa humu kuwa kuna mtu katuma email yenye picha ya kumkashifu kiongozi fulani?
   
 12. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi naona naibu waziri kaamua kusema ukweli.

  Hebu tujiangalie ni SMS ngapi unazotuma au kupokea kwa siku ambazo productive for building our country au zile za kawaida tu za salaam na apointments.

  Tubadilike jamani
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hajafanya utafiti na angetakiwa kuweka wazi kuwa haja'chungulia' text message za watu wala kusikiliza mazungumzo yao, lakini kimsingi wa experience tu nafikiri yupo karibu sana na ukweli.
   
 14. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyalandu anafahamika kuwa ni mtu wa totoz. Sasa anafikiri watu wote wako hivyo. Huyu jamaa kuna wakati alikuwa anatembelea vyuo na shule akijifanya ni mtu wa dini kumbe alikuwa anatafuta mabinti na kuwalaghai. Alikuwa anatumia network alionayo kama mtego. Alikuwa anawaambia ohoo si unajua mimi nafamiana na fulani, kwa hiyo nitakutafutia kazi pale au nitakutafutia nafasi ya masomo nje ya nchi.

  Hili ni kweli na hawezi kubisha pia kuna mashahidi kibao.
   
Loading...