Minister in graft probe

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
Minister in graft probe

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

A SENIOR cabinet minister is under corruption investigations over his involvement in dubious deals dating back to former president Benjamin Mkapa’s administration, it has been revealed.

The minister (name withheld for now), who held a high-level position in Mkapa’s government from 1995 to 2005, currently serves in President Jakaya Kikwete’s cabinet.

It is understood that he is under probe over corruption allegations stemming from his involvement in a multi-million dollar deal that has been the subject of parallel local and international graft investigations.

Well-placed sources say a special anti-corruption task force has been formed to investigate serious allegations of high-level corruption against the public official.

Members of the government anti-graft team have already grilled the minister over the allegations.

’’The minister’s office and house have also been searched and several key documents confiscated,’’ a government source told THISDAY.

The government’s anti-graft task team comprises ’’carefully selected’’ members from a number of key law enforcement agencies, according to several independent sources.

The senior minister surprised many people by surviving the recent cabinet reshuffle, despite being heavily criticised for his alleged involvement in a number of dubious government contracts during the Mkapa administration.

He is now said to be targeted by both local and international detectives over the particular corruption probe.

The former government bureaucrat-turned politician is believed to have directly taken part in graft by allegedly receiving a hefty bribe to approve a controversial deal between the government and a private company almost a decade ago.

Government officials say the ongoing investigation against the cabinet minister is part of President Kikwete’s resolve to fight high-level corruption.

Since Kikwete came into office, he has won plaudits both here at home and abroad for stepping up the fight against corruption.

’’The recent purge on the Bank of Tanzania’s external payment arrears account (EPA) and Richmond corruption scandal are some of the clear indications of this government’s seriousness to tackle high-level corruption,’’said another source who declined to be named.
 
Si walete jina tuu tuanze hukumu? why hiding the name of person who is being investigated? perhaps by airing the name, more ushahidi and vielelezo will come forward!
 
Ni Andrew Chenge huyu!

Anaogopwa kama atomic bomb na kila mtu kuanzia Kikwete hadi kwa waandishi wa habari.
 
Ni kweli, hapa ni Mhe. A. Chenge.
Ila bado nina uhaba mkubwa wa imani.....hadi nitakapoona ameshtakiwa na kufungwa sitaamini. Ndimi Tomaso.
 
Cabinet Minister aliyekuwa kwenye serikali ya BWM na sasa yuko kwa JK ni Chenge, na kama yupo mwingine ambaye anashabihiana na hiyo sifa si mumtaje basi!!!! Kwani tunaogopa nini kutaja mafisadi????
 
Huyu jamaa nasikia ana issue nyingi za mafisadi, maana mikataba yote ya ajabu yeye anausika, sijui kama wanaweza kumpeleka mahakamani naona ni kitu ambacho akiwezekani maana wakimwaga unga yeye atamwaga ugari.
 
Minister in graft probe

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

A SENIOR cabinet minister is under corruption investigations over his involvement in dubious deals dating back to former president Benjamin Mkapa’s administration, it has been revealed.

The minister (name withheld for now), who held a high-level position in Mkapa’s government from 1995 to 2005, currently serves in President Jakaya Kikwete’s cabinet.

It is understood that he is under probe over corruption allegations stemming from his involvement in a multi-million dollar deal that has been the subject of parallel local and international graft investigations.

Well-placed sources say a special anti-corruption task force has been formed to investigate serious allegations of high-level corruption against the public official.

Members of the government anti-graft team have already grilled the minister over the allegations.

’’The minister’s office and house have also been searched and several key documents confiscated,’’ a government source told THISDAY.

The government’s anti-graft task team comprises ’’carefully selected’’ members from a number of key law enforcement agencies, according to several independent sources.

The senior minister surprised many people by surviving the recent cabinet reshuffle, despite being heavily criticised for his alleged involvement in a number of dubious government contracts during the Mkapa administration.

He is now said to be targeted by both local and international detectives over the particular corruption probe.

The former government bureaucrat-turned politician is believed to have directly taken part in graft by allegedly receiving a hefty bribe to approve a controversial deal between the government and a private company almost a decade ago.

Government officials say the ongoing investigation against the cabinet minister is part of President Kikwete’s resolve to fight high-level corruption.

Since Kikwete came into office, he has won plaudits both here at home and abroad for stepping up the fight against corruption.

’’The recent purge on the Bank of Tanzania’s external payment arrears account (EPA) and Richmond corruption scandal are some of the clear indications of this government’s seriousness to tackle high-level corruption,’’said another source who declined to be named.

Imekuwa sasa hadithi maana kila siku wanaandika na majina wanayo nashangaa .Kwa nini waandike kama hawawezi kuwa wa wazi wa kutaja ? Kuandika kutasaidia nini ? Uchunguzi unafanywa na nani ? Kama wanashindwa kutaja jina sasa Uchunguzi wa nini ?
 
Hata mimi nawashangaa hawa THIS DAY. Kama waliweza kutufungua macho kwa kumtaja Mkapa na kashfa zake nzito sijui wanaogopa nini kumtaja fisadi Chenge kama wana ushahidi wa kutosha kuhusu ufisadi alioufanya kwa kutumia wadhifa wake.
 
__________________

Kaka hata Mkapa walianza kumtaja kama, "Big Hand" na pole pole wakamtaja jina. Kila jambo huenda polepole. Ila kwa kweli huyu ni Chenge kwa kila hali namuonea huruma JK, maana watu walimwambia asimteue akamuogopa EL akamteua Chenge, Masha na Adamu Malima, kuwaridhisha washikaji zake, sasa SFO wanamuumbua na hana jinsi ila kumtosa Chenge na wengine watafuata.

Ila kuna jambo moja ambalo litachekesha sana. Kama JK ataruhusu Chenge ashitakiwe kwa kesi ya Radar, na baadaye Mramba ashitakiwe kwa kesi ya Alex Stewarts ma TICS na mwisho Daniel Yona ashitakiwe kwa kesi ya Kiwira na Import Support, basi ujue Mkapa yuko njiani, na JK hatakua na ujanja wa kumlinda tena Ben. Kinachopaswa kutokea sasa ni kufunguliwa kwa kesi ya kikatiba ambayo itamuondolea kinga na ndipo "atendewe HAKI" kwa yale aliyoyatenda akiwa madarakani.
 
Halisi: bado uandishi wa waandishi wetu TZ una matatizo makubwa. Hii tabia ya kusema name withheld haifai. kwa nini basi msisubiri mpaka mtakapoona ni mwafaka kutoa jina ndio na habari yenyewe muitoe. Waandishi wenzenu wa magharibi huwa wanaficha jina pale ambapo upelelezi unaendelea wa kipolisi na kama kuna pingamizi la kimahakama, lakini wanapokuwa wamefanya utafiti wao wenyewe huwa wanaweka kila kitu ili mhusika ajitetee. kwa utaratibu huu nyie mnakuwa mnaichafua serikali nzima na mnafanya wananchi wakose imani na serikali nzima badala ya huyo mtu mmoja. In my view, this is one of the biggest flaws in our journalism.
 
Heshima kawako Mkuu Halisi,

sio kwamba hilo jambo litachekesha tu,bali itakuwa kituko cha mwaka na kitaingia katika historia ya dunia kwa uongozi wa juu kabisa wa nchi kusombwa mahakamani kama watoto wa shule walioharibu mali ya shule kwa mgomo wa kula.Yaani prezidaa anaongozana na timu yake yote kuingia mahakamni kwa ufisadi!
 
Ni Andrew Chenge huyu!

Anaogopwa kama atomic bomb na kila mtu kuanzia Kikwete hadi kwa waandishi wa habari.

Shshshhhhhhhhhh!!!

Andrew Chenge, il grandi mafioso del tanzania,capo di tutti capi,asije akakusikia wewe,maana watu wanamugopa kama nini huyu Msukuma mwenzangu.
 
Halisi: bado uandishi wa waandishi wetu TZ una matatizo makubwa. Hii tabia ya kusema name withheld haifai. kwa nini basi msisubiri mpaka mtakapoona ni mwafaka kutoa jina ndio na habari yenyewe muitoe. Waandishi wenzenu wa magharibi huwa wanaficha jina pale ambapo upelelezi unaendelea wa kipolisi na kama kuna pingamizi la kimahakama, lakini wanapokuwa wamefanya utafiti wao wenyewe huwa wanaweka kila kitu ili mhusika ajitetee. kwa utaratibu huu nyie mnakuwa mnaichafua serikali nzima na mnafanya wananchi wakose imani na serikali nzima badala ya huyo mtu mmoja. In my view, this is one of the biggest flaws in our journalism.

Kitila, usemayo ni sahihi kabisa. Hili ni tatizo kubwa na mwandishi mmoja maarufu alisema, Habari ya Kulikoni na THISDAY kuhusu 'waziri mwandamizi' ni "habari ya kishirikina" kwani bila kutaja jina ni sawa na kupiga ramli. Kwa kweli hata mimi sioni sababu ya msingi ya kuacha kumtaja Chenge. Lakini kwa hoja yako kwamba "kama upelelezi unaendelea" nawe utakua unaungana nao kuacha kutaja jina kwani ni kweli kwamba habari hiyo chanzo chake kinaonekana ni wapelelezi wa SFO na wenzao wa Tanzania na hivyo kwa kuwa wanaendelea kukamilisha uchunguzi wao, nawewe unaonyesha kuwaunga mkono. Ila naomba nikuhakikishie jambo moja kwamba HAITAPITA siku tatu tutajua MBIVU NA MBICHI. Angalao kwa sasa naweza kuwa na hakika na hilo angalao kwa asilimia 75. Ikiwezekana kuanzia usiku wa leo, tunaweza kusikia jambo. Tuwe na SUBIRA
 
leo mramba kushtakiwa... kesho yona kushtakiwa...keshokutwa chenge kushtakiwa..... maneno matupu hayavunji mfupa... tunataka action
 
Ni Andrew Chenge huyu!

Anaogopwa kama atomic bomb na kila mtu kuanzia Kikwete hadi kwa waandishi wa habari.

Mwafrika, Chenge aliwahi kuwa Waziri katika Serikali ya Mkapa? Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa Chenge alikuwa AG (Mwnasheria Mkuu)
 
..tatizo la Kikwete ni hilo kundi lililomuingiza madarakani, pamoja na mbinu zao.

..nasubiri kuona mkubwa atakayetolewa kafara kama Nalaila Kiula.
 
Mimi I long said kwamba Kikwete si msafi na aliingia kw amazabe mengi .Mungu kaamua kuipigania Tanzania na ndiyo maana kila kukicha ni scandals lakini yeye anaamini ana ma Jaji . Mahakama, polisi , usalama nk anaweza kuzima ila one mistake italeta shida kubwa sana kwenye Nchi .Kikwete ni mchafu na yeye binafsi ni chanzo cha matatizo ya watanzania .
 
Nafasi ya AG ni equivalent au pengine zaidi ya Waziri.....i.e kwa cheo chake anaingia bungeni na kwenye vikao vya baraza la mawaziri........
 
Mwafrika, Chenge aliwahi kuwa Waziri katika Serikali ya Mkapa? Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa Chenge alikuwa AG (Mwnasheria Mkuu)

Ukiangalia original article hawakusema alikuwa Waziri wakati wa Mkapa..

Ibrah: tuwasiliane...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom