Mkuu sio kirahisi rahisi hivyoUnaweza ukawa mining supervisor, but ajira zipo now maana Tanzania tumeingia kwenye lower middle income so madini ni muhimu kwenye maendeleo
nashukuru kwa hilo mkuuUnaweza ukawa mining supervisor, but ajira zipo now maana Tanzania tumeingia kwenye lower middle income so madini ni muhimu kwenye maendeleo
kwa nini sio rahisi mkuu naomba y ifafanulieMkuu sio kirahisi rahisi hivyo
Haina uwanja mpana wa ajira na kujiajiri.kwa nini sio rahisi mkuu naomba y ifafanulie
Hyo kozi usijsrbu wengi tumeishia kufundisha tuition mtaani