Mining engineer anaweza kusoma Msc /M.Eng in civil (structural)? Na Kuna possible ya kupata fully funded sponsorship for master degree?

Fela Kuti

Member
Mar 23, 2021
9
2
Habari Wana JF,

Inawezekana Mining engineer kusoma master of civil (structural) engineering?

Na Kuna uwezekano wa kupata fully funded sponsorship ya kusoma master?
 
Nothing is impossible under the Sun, but...

Wakati tukisoma masomo ya Uhandisi, masomo yahusianayo na structural engineering tuliyaona ni magumu... Pengine kwa level ya Masters pana tofauti... lakini naona kama pana mruko mkubwa kutoka kwenye mining to structural. Nini lengo lako la kusoma kozi hiyo ya masters? Kwa nini siyo nyingine?

Kuhusu ufadhili, fursa za ufadhili zipo nyingi. Umeshaomba ngapi?
 
Ndio Nina mpango wa kufanya master ya structural,
Kuhusu kuomba sponsorship bado nilikuwa naulizia kwanza.
Asante kwa reply.
 
Ukituma maombi ya skolashipu matano, utakosa moja na kupata nne, au kukusa nne na kupata moja. Pareto Principle.
 
Nothing is impossible under the Sun, but...

Wakati tukisoma masomo ya Uhandisi, masomo yahusianayo na structural engineering tuliyaona ni magumu... Pengine kwa level ya Masters pana tofauti... lakini naona kama pana mruko mkubwa kutoka kwenye mining to structural. Nini lengo lako la kusoma kozi hiyo ya masters? Kwa nini siyo nyingine?

Kuhusu ufadhili, fursa za ufadhili zipo nyingi. Umeshaomba ngapi?
inawezekana, ila nakushauri soma Geotechnical nadhani ni nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom