Mining Eng Vs Civil Eng (Water Resources)

Babavos

New Member
Nov 3, 2019
4
45
Ushauri natarajia kujiunga na chuo mwaka huu wa masomo ipi kati ya mining eng na civil eng ya water resource kozi ya ajra
 

MZEE MKUBWA

JF-Expert Member
Jun 24, 2017
4,108
2,000
Angalia mwenyewe unapomudu..Civil wengi wanakimbilia huko ,kama utapata nafasi sio mbaya ila Mining Eng kwa upande wangu Mining kuzuri...
 

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,132
2,000
Ushauri natarajia kujiunga na chuo mwaka huu wa masomo ipi kati ya mining eng na civil eng ya water resource kozi ya ajra
1. Civil engineering.

2. Electrical

3. Mechanical

Hizo ndizo core engineering fields dunia nzima.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom