Mining alone cannot improve country’s economy - Mkapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mining alone cannot improve country’s economy - Mkapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Dec 22, 2009.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  hakuna anayesema kwamba madini pekee ndio yatajenga nchi labda wewe mwenyewe, si tunachosema ni kwanini ukaingia mikataba ya kiwizi/au kijinga namna hiyo. Juzi nilikuwa nasikiliza hotuba ya Mwalimu aliosema Ujenga wenu (Viongozi wa Tanzania) ni kuacha mambo ya msingi/yalio mazuri na kuchukua mabaya, mpaka akatolea mfano wa matapeli wanavyomwingiza mjini mtu kwa almasi ya Chupa, na baada ya kuibiwa unaondoka hapo unashangilia kama juzu.

  Mining alone cannot improve country’s economy - Mkapa
  By The guardian reporter  21st December 2009


  [​IMG]
  Email  [​IMG]
  Print  [​IMG]
  Comments
  [​IMG]
  Former President Benjamin Mkapa  Former President Benjamin Mkapa has said Tanzania’s economy would not grow by relying on mining alone without involving other sectors.
  Opening a one-day annual general meeting for the Division of Mining and Metallurgy (DMM) of the Institution of Engineers Tanzania in Dar es Salaam over the weekend, Mkapa said Tanzania was among countries endowed with diverse of natural resources, though its people were poor.
  “Today there are lots of impediments that make natural resources unable to improve the country’s economy,” he said, adding that in a bid to reach that target, three areas needed to be touched—people, land, good policies and good governance.
  He said people needed to be well educated in different aspects so that they can be able to turn ‘stones’ into monies.
  He called on Tanzanians to be creative enough to boost their day-to-day activities and be able to accomplish the country’s needs.
  He however, said that the issue of capital in the mining sector needed to be addressed as the sector required enough capital and modern technology.
  Meanwhile, Executive Director of the Tanzania Investment Centre Emanuel Ole Naiko has urged the government to use locally available mining experts for the country’s development.
  He said it was prime time for the government to recognize local experts in the mining sector.
  On his part, DMM Deputy Chairman Assah Mwaipopo, said the meeting was aimed at strengthening the institution and make it deliver competitive services in the country.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  The question is when did he realize this? And why is he saying it now? Is he not the one who was in a hurry to welcome the Kaburus in the mining industry?
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Dec 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  He is right! It is ingenuity that will improve the country's economy.
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,543
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Janja hiyo ya ku neutralize issue ya mgodi wa kiwira aliojimegea...Madini's sector if handled properly,can play a vital role in the development of our Nation,kauli aliyoitoa ni ya kisiasa,kwamba alichotuibia si cha thamani sana kama tunavyofikiri,kweli Mkapa anamini kwa asilimia mia moja kwamba watanzania ni wajinga ama kama alivyowahi kudai kuwa ni wavivu wa kufikiri.Binafsi naamini kabisa kwamba Mkapa ni mwanafunzi mpuuzi wa mwalimu Nyerere,ambaye hakumsoma vizuri mwalimu wake,kwanini hakumwambia mwalimu wake kuwa kutegemea kilimo peke yake hakuwezi kutuletea maendeleo?Tena wakati ule sera ikiwa "Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi?"
  Nadhani sifa kuu ya urais wa Tanzania ni ya nani mwenye kuweza kuwaongopea wananchi vizuri zaidi.
   
 5. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  ingenuity toka kwa nani? wananchi wenyewe?? bila kuwepo mikakati madhubuti na njia za kuinua uchumi?

  Hapa ni serikali ijipande upya na iwe ndio mwongozo mzuri wa kusimamia maswala yote ya kiuchumi na kama kuana marekebisho yawepo na kusimamiwa ipasavyo then ingenuity obvious itakuja kwa wengi kulisukuma gurudumu la maendeleo

   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Hata mikakati madhubuti inatokana na ingenuity.
   
 7. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #7
  Dec 22, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 859
  Trophy Points: 280
  Nyerere stipulated those pillars in his Azimio la Arusha more than 4o years ago, and he believed in those pillars. That is why he invested heavily in the people, and made sure that land remained in hands of the people. There is no question that he led an all time excellent governance; he only had bad policies.

  On the other hand, Mkapa who now embraces these same pillars, never invested in the people; instead he called them 'stupid' and he fully embraced foreigners. He took land away from the people and either gave it to his henchmen or to foreigners, and he led the worst governance of all time. Why does he recall those pillars today while he failed to uphold them while in office?

  What? This guy is is now drumming up to recognize local experts after trashing them while he was in office? He must be terribly in need for mental health care.
   
 8. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Anaonekana sana kwenye media siku hizi anatafuta namna ya kuficha uchafu!

  Anazungumza obvious, nani hajui kwamba madini pekee si kila kitu...pia tunafahamu kwamba kama tuna mikataba mizuri inaweza kusaidia nchi kwa kiasi kikubwa (foreign depedency)

  Nachukia viongozi wa Tanzania wanaosisitiza kila siku kwamba tanzanians wafanye hivi au vile na visingizio kibao ili kutunyima fursa za kuchukua (ku-own) resources zetu..oh hatuwezi, sisi ni wavivu blah blah oh sisi ni wadokozi agh...boring..

  Nafikiri hawajui wanachotakiwa kuwafanyia wananchi wao...wanaendeleza streoretype..sic.
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Aaanze kwanza kwa kutubu madhambi aliyotufanyia. Aliwadharau Watanzania akifikiri Makaburu ni better. Leo anatuambia tuwekeze kwenye manpower ya Watanzania. Huyu ndiye aliyetuita wavivu wa kufikiria huku akijfanya mjasiriamali Ikulu. He must first appologize to the people of Tanzania if we are to take him seriously.
   
 10. s

  sarafina New Member

  #10
  Dec 22, 2009
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi all I am sarfina and happy to join this Forum. Kuna ndani ya Forumhii mambo mazuri sana. Ahsanteni kwa kuweka mazunguzo wazi kwa wote
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Sarafina,
  Karibu sana dada yetu ( assuming the name sarafina is female)
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Nahisi kuna tuliozoea kucheza mduara wa gogo hoteli. When you move in a circle, there is a tendecy that you might touch same point if subscribe along the same points of the circle. Mkapa anachezea circle ileile.Amerudi kwenye point tulioiacha mwanzonikwamba wawekezaji sio dawa ya matatizo ya uchumi tuliyo nayo.Tunaweza kufanya vizuri kama tukijipanga bila ya hao wawekezaji
   
 13. M

  Moelex23 JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2009
  Joined: Oct 8, 2006
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Madini peke yake yanaweza kutukwamua kwa kiwango kikubwa mno ikiwa serikali itapata both linkage forward na backhand.

  Mkapa acha wazimu.

  Assuming serikali inaown 50% ya migodi yote TZ, na migodi inalipa 30% tax na royalty ya 8%, kwa bei ya Gold >> $1000 per ounce, si tungeweza kujenga mahospitali, mashule na barabara especially huko vijijini??? Sasa hapo moja kwa moja si uchumi ungekuwa kwa kiwango kikubwa??

  MOF, wakiondoa exemptions kwa miaka 3 tu, taifa litasonga mbele kwa kiwango kikubwa mno na kwa haraka, sio hizi porojo za kila siku. SI alikuwa rais for 10yrs, mbona huko vijijini ndio umaskini unashamiri??
   
 14. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Yaaani amini naaawambieni,

  Prblem ya Leaders wa Africa esp EA ndio hii: when they'r in power and try to criticize them wanakuwa furious na usipo angalia wanakusweka rumande but surprising enough when they'r out of power na wao ndio wakwanza ku criticize leaders who are in power.

  Sasa huyu mkuu amekurupuka toka wapi na kusema hayo mambo? na ukiwa kiongozi shurti usifuate kinachostahili kwa wananchi we ni kuvuruga vuruga mambo kwa manufaaa ya kikundi fulani au jamii fulani ya matajili na kuwatenga mbali maskini. na ukisha toka kwenye madaraka na ukijua fika utarudi kwa maskini wenzio na kujifanya hao waliopom madarakani nao hawafai.
   
 15. J

  JokaKuu Platinum Member

  #15
  Dec 23, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,729
  Likes Received: 4,948
  Trophy Points: 280
  ..kuna nchi kama South Africa uchumi wao umejengwa kutokana na sekta ya madini.

  ..Saudia Arabia na mataifa mengine ya ghuba yanategemea mafuta.

  ..mapato yanayotokana na madini yatumike kuendeleza sekta nyingine kama Kilimo, viwanda etc etc ambazo zitaweza kuajiri watu wengi zaidi.
   
 16. a

  alibaba Senior Member

  #16
  Dec 23, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jmushi1,
  Kwa Baadhi ya watanzania na pengine wengi, Mkapa amefilisika kiheshima na amefilisika kisiasa na kwa kauli zake hizi toka amwachie Mungu Shutuma na Tuhuma zinazomwandama, yaonyesha anafilisika KIAKILI pia.
   
 17. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2009
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  He should shut his big mouth.
   
 18. T

  Tom JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2009
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa migodi ya dhahabu iliyojengwa tayari Tanzania, tungeweza kujikwamua kwa kiasi kikubwa matatizo yetu endapo serikali ya CCM ingekua na ufanisi. SA walianzia migodi tu.
   
 19. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2017
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  JPM amethubutu tumuamini.
   
 20. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2017
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,543
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  True
   
Loading...