Minimum capital kufungua duka la nguo

bface

Senior Member
Dec 22, 2010
128
19
Jaman my dream nikuona oneday namiliki duka la pamba za kisasa za mashost na mabraza wa town, nataka kujua mwenye experience kinachoitajika for a beginner esp capital kwa duka la kawaida la kuanzia,
 
Siamini kama hamna mtu anayejua kuhusu hii kitu,
Japo haukuwa detailed but i believe someone(with experience na upeo) angeweza kuweka ma-options/ukweli kibao.
:(
 
Back
Top Bottom