Mini-Kabang ya Tigo mnatupeleka wapi?

ndenga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,788
1,302
Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana kuhusu mabadiliko ya vifungu vya Mini-Kabang vya Tigo. Kwa kweli hivi ndivyo vilinisababisha kuendelea kufuruhia mtandao wetu pendwa wa Tigo..Lakini marekebisho waliyoweka yako juu na yatakuwa yanatunyonya wala hayajakaa kiushindani wa biashara ya mawasiliano Tanzania. Hii inafanya Tigo kuwa na garama za juu kuliko mtandao wowote wa mawasiliano Africa Mashariki na Kati.

Plse, Tigo fikirieni hili kabla ya kutekeleza, tena mmetekeleza kimya kimya!!
 
Hii kali mkuu,.

Kama umeshindwa huduma za Tigo utaenda wapi sasa?
 
Tigo wanazidi kufukuza wateja. Eti huwezi ingia internet ukiwa na MB kama simu haina salio la 150.
 
Bro tigo iko vizur mfano now wana kifurushi cha ofa maalum ndani yake kuna kifurushi cha dakika 20 bila kikomo ambacho pia unapata 175mb kwa shilling 1000 ambacho unatumia mpaka pale zitakapoisha asa utapata wapi vitu km hivi mtandao mwingine
 
Umeona eeh,.

Yaani sijui Tigo wawape nini tena wateja wake,.
 
Mimi inaniuma wameondoa ile Mini Kabang ya 15000 kwa mwezi..Kwa sasa wameweka elfu 99 ambayo iko juu sana
 
Tatizo la huu mtandao wanachoongea kwenye matangazo na wanachokata ni tofauti..
 
Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana kuhusu mabadiliko ya vifungu vya Mini-Kabang vya Tigo. Kwa kweli hivi ndivyo vilinisababisha kuendelea kufuruhia mtandao wetu pendwa wa Tigo..Lakini marekebisho waliyoweka yako juu na yatakuwa yanatunyonya wala hayajakaa kiushindani wa biashara ya mawasiliano Tanzania. Hii inafanya Tigo kuwa na garama za juu kuliko mtandao wowote wa mawasiliano Africa Mashariki na Kati.

Plse, Tigo fikirieni hili kabla ya kutekeleza, tena mmetekeleza kimya kimya!!

unajua ule mkongo wa taifa unatupa haueni kubwa sana ktk mawasiliano, namna hii!!!!
 
Tigo hovyo sana,nikiwa dar ndio huwa najikakamua kuiweka ila nikiwa kijijin kwetu mwendo wa voda na airtel tu
 
Tigo wanazidi kufukuza wateja. Eti huwezi ingia internet ukiwa na MB kama simu haina salio la 150.

.........niliwaona wapuuzi pale walipokuwa wanasema ukijiunga tiGo kwenda mitandao yote unapata dk 30, ukijiunga. tu, wanakupa dk 10 mitandao yote !
Eti kuna siku wananipigia na kuniuliza kuwa 'mbona una Blackberry lakini. hujiungi' ?
 
Duh, Wanalazimisha utumie zaidi ya ulichokuwa unahitaji.. Naona wamepata customer wa kutosha sasa wanaangalia jinsi ya kuwapunguza.. Basi tutahamia hata SMART kuliko kuibiwa mchana tukiwa tunaona..
 
Jamani amieni Airtel kisha piga *148*22# kisha endelea kufanya yako kwa unlimited internet na kuongea kwa sh 1 tu kwenda kotekote,airtel bubu lao
 
Tigo wanazidi kufukuza wateja. Eti huwezi ingia internet ukiwa na MB kama simu haina salio la 150.

'huo mpango umeanza lini ndugu mbona mi naperuzi uzuri bila ya salio la ziada mkuu natumia MB tu ambapo zikiisha najiunga na mini kabang kama kawa na speed inakuwa ni zaidi ya nduki mkuu...'
 
Last edited by a moderator:
mgema akisifiwa...! miaka mingi wamekuwa wakisifiwa hadi imefika wakati wamejisahau..!
 
Back
Top Bottom