ndenga
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 1,788
- 1,302
Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana kuhusu mabadiliko ya vifungu vya Mini-Kabang vya Tigo. Kwa kweli hivi ndivyo vilinisababisha kuendelea kufuruhia mtandao wetu pendwa wa Tigo..Lakini marekebisho waliyoweka yako juu na yatakuwa yanatunyonya wala hayajakaa kiushindani wa biashara ya mawasiliano Tanzania. Hii inafanya Tigo kuwa na garama za juu kuliko mtandao wowote wa mawasiliano Africa Mashariki na Kati.
Plse, Tigo fikirieni hili kabla ya kutekeleza, tena mmetekeleza kimya kimya!!
Plse, Tigo fikirieni hili kabla ya kutekeleza, tena mmetekeleza kimya kimya!!