minara ya simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

minara ya simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ndume, Jan 11, 2011.

 1. n

  ndume Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  nimechoshwa na wataalam wa mitaani,je ni kweli hii minara na simu za mikononi zina madhara kwenye eneo la uzazi la kiume?nawaomba mnisaidie nipate uhakika.
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  madhara najua yapo mana akuna kisichokuwa na side effect ila kama inakata network za uzazi mh?
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ha hahaaaa! Kama inakata net za uzazi dr4ne umekwisha! Maana tangu uanze kutengeneza sim mpaka leo!(joke)
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Sasa kama ina madhara kiais cha kuogpa itabidi uogope hadi kutumia simu sababu minar ipo ili irushe masafa (frequency) ya mawasiliano kwenye simu yako.

  Kwa hiyo kabla hujaenda mbali kuchunguza minara chunguza madharaya simu ya mkononi.
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ndomana nimeguna mana network zipo full mpaka zinataka kupitiza teh teh teeh
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hilo neno mkuu wananyooshea vdole mchawi wa mbali wanajisahau walonao mkononi softkiller
   
 7. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  seriously,yeah It has side fxs.And that is they put you in a high risk of gettin' cancer,brain tumors and yeah they damage genes,which may result into deffects to the offsprings.At least thats what i read so if i were you i would stay away from them.cheers
   
Loading...