Min iPad for sale

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,889
1,346
Min iPad inauzwa ni mpya bado na bei ni 450000 na maelewano yapo aina ni edots kama inavyoonekana kwa picha piga 0768 931887 kitu kipo Arusha
 

Attachments

  • 1400856385730.jpg
    1400856385730.jpg
    50.3 KB · Views: 196
Hizi zawadi nyingine kumbe ndo tablet hiyo? Naiuza basi na android si ni software inayotumika? Dah Leo natolewa ushamba
 
Hii ni kama techno phantom ambayo nayo ni sawa na min iPad
 
Anafika bei aruke hewani nifanye biashara wikend hii Nile burudani
 
Hizi zawadi nyingine kumbe ndo tablet hiyo? Naiuza basi na android si ni software inayotumika? Dah Leo natolewa ushamba

Mkuu harakat ipad ni tablet inayotengenezwa na kampuni ya apple,hvo basi ukisema ipad una maana ya tablet lakin inayotengenezwa na kampeni ya apple..
Hyo yako ungesema tu nauza tablet aina ya edots,.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom