Mimi wananipenda sababu natumia Management By Objectives Mkurugenzi anatumia MBWA hawafurahii.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Kwenye hii Kampuni nmetokea kupata umaarufu sana kwa wadada. Maana wanaona nao wamekuwa sehemu ya furaha yetu kwenye Kampuni.

Mimi napoongoza natumia Theory ya Management By Objectives MBO. hii inawafanya wafanyakazi nao waone ni sehemu ya mafanikio katika kampuni yetu.

Tatizo la Mkurugenzi wetu yeye anapenda sana Matumizi ya Management by Walking. MBWA. hii inawafanya wafanyakazi wengi wasiwe comfortable
 
Nini hii wajamini
 
Hata mkuu wa nchi anatumia MBWA ndiyo maana ziara za kushitukiza haziishi.
 
Mimi kama Manager nitaangalia mbinu hizi mbili nichague moja kulingana na namna ninavyowapaseivu ninaowameneji!

You and Mkurugenzi deffer in the way you perceive the workers.
 
MBO hawawezi kukupenda kwa sababu wanajua wasipofikia malengo watawajibika ungesema MBE ( Management By Expectations) kweli.Ila MBWA kwa Tz ndiyo yenyewe
 
Back
Top Bottom