Mimi umbali wa Dar-Chalinze naujua maana nilitembea na mke wangu mtanambia nini?

Wakuu
Kama nilivosema hapo juu mimi huwezi kunifucha kitu msione nimekaa kimya lakini mambo ya safari za kutoka Dar hadi chalinze naujua na kila kitu nakijua.
Mimi nilitembea na mke wangu kutoka kimara tukaenda hadi mlandizi tukakosa pa kulala, tukasogea hadi Ruvu mdaula yote yani huwezi kunificha mimi hayo maeneo yote nayajua sana sema tu naamua kukaa kimya, au mnabisha niendelee?
Umaskini siyo mzuri
 
Landizi ndoo mkamuona Yesu na mke wake ? ,tueleze vizuri mkuuu.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Na huo upara wako mbona unang'ara sana unaupakaga mini?,halafu kuna kipindi ulienda india kulikuwa na ishu gani kule mleta mada?
 
Anzia India, pakistani hadi Afghanstan umbali wote huo naujua na kila kitu nakijua
 
Wametoa vichwa Bungeni wamebaki wao kujadili Mke wa Yesu na kutembelea Israel badala ya kujikita kwenye kuwakwamua Wananchi kwenye hili lundo la kodi linalowaumiza kila kukicha...
 
Wakuu
Kama nilivosema hapo juu mimi huwezi kunifucha kitu msione nimekaa kimya lakini mambo ya safari za kutoka Dar hadi chalinze naujua na kila kitu nakijua.
Mimi nilitembea na mke wangu kutoka kimara tukaenda hadi mlandizi tukakosa pa kulala, tukasogea hadi Ruvu mdaula yote yani huwezi kunificha mimi hayo maeneo yote nayajua sana sema tu naamua kukaa kimya, au mnabisha niendelee?
Nasikia ulizaliwa Ruvu mdaula! Mbele nyuma, nyuma mbele, nyuma nyuma, mbele mbele. Ungechelewa siku moja tu ungekuta jirani yako katembea na mke wako.
 
Back
Top Bottom