Mimi siyo shoga jamani

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
[h=3]"MIMI SIYO SHOGA JAMANI......NAWASHANGAA SANA WANAUME WANAOHANGAIKA KUNIPIGIA SIMU"......BOB JUNIOR[/h]Source:Mpekuzi Blog





HATIMAYE staa wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ ameifungukia skendo yake ya kwamba yeye ni shoga...

Akizungumza kupitia kipindi cha runinga moja usiku wa Ijumaa iliyopita, Bob Junior alisema chanzo cha yeye kudaiwa ni shoga ni wimbo wake maarufu wa Oyoyo.

Alisema mara baada ya kuitoa video ya wimbo wake huo akiwa anakata sana mauno, watu walikuwa wakimpigia simu, wengine wakimtumia meseji kwamba, anaonekana ni ‘chakra’ maana anayaweza sana mauno.


“Watu wanasema mimi ni shoga, lakini si kweli. Kisa kilianzia kwenye ule wimbo wangu wa Oyoyo. Unajua katika video ya ule wimbo nilikata sana mauno, watu wakaamini mimi shoga.


“Wengine walikuwa wakinitumia hata meseji wakiamini hivyo. Kwa hiyo sababu kubwa ni ile video tu, watu wana mambo ya ajabu sana,” alisema Bob Junior huku watu alioongozana nao usiku huo wakitingisha vichwa kukubaliana naye.


Ishu ya Bob Junior kuonekana ni chakra pia iliwahi kusababisha amfikishe kortini kwenye Mahakama ya Mwanzo Kinondoni, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu akidaiwa kumtukana msanii huyo matusi ya nguoni likiwemo hilo la ushoga.


Katika kesi hiyo iliyofikishwa kwenye mahakama hiyo kwa mara ya kwanza Mei 4, 2011 na kusikilizwa na Hakimu Mfawidhi Mariam Masamalo, Wema alihukumiwa kulipa faini ya shilingi 40,000 au kwenda jela miezi 6 ambapo alifanikiwa kulipa.
 
kama huyo fally angekuwa ni mbongo tungemzushia coz watu wa aina hiyo huku ni MASHOGA...wkt huko kwao ni ki2 cha kawaida tuuuuuuuuu.......
 
kama huyo fally angekuwa ni mbongo tungemzushia coz watu wa aina hiyo huku ni MASHOGA...wkt huko kwao ni ki2 cha kawaida tuuuuuuuuu.......

Najua we mbishi ,vp ngoma zetu za asili kuna mauno ya kufa mtu mbona hawaitwi mashoga? huyo kuna namna bhan
 
Mbona kuna siku nilisikia wake za watu wanampenda n yeye bila hiyana anawamega! Huo ushoga unatoka wapi? Au anakula na kuliwa?
 
Tutaamini vipi kama yeye sio shoga bila kutoa tiGO yake tutesti kama bado ina marinda au yalishafumuliwa.
 
jamani this is not fair! hebu muacheni apumuwe mtoto wa mwenzenu!
 
jamaa anaweza kuwa sio shoga ila ana pozi za kishoga ndio maana watu wanamhisi vibaya picha zake nyingi anapiga akiwa ameweka pozi za kishoga shoga, mbon watu kama Diamond au Ally Kiba hawajasemwa kuwa ni mashoga kasemwa yeye tu. kama anasoma hizi thread namuomba agangamale kiume sio kuweka pozi kama choko wanaume hawako hivyo kama kuna mtu ana picha zake aziweke utaona ana pozi kama choko
 
Amekataa,nakuja na ushahidi muda si mrefu..,mie nishakula chakra yake huyu bwabwa
 
apumue au apumuliwe?

Aisee wala c utani huyu dogo anavutia kweli, yani mi mara ya kwanza kumuona kwenye runinga yale mauno na alivyokuwa anarembuarembua macho yake yalimfanya 'nyanidume' astukestuke, mabata ushungu sana!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom