Mimi sio mlevi lakini napenda vituko vya walevi una hiyo kali

USIKU%2BWA%2BTALAKA.jpg
 
teh teh teh asee unanikumbusha pampula mzee wa chupa...! unajua lets be honest.. kuna watu wanakamata chupa sio mchezo..! na chupa na madem havina tofauti sana yani kwa mademu kama mzee uko addicted ukiwaza ile raha ya kilele au ya zile makifua za manzi kukugusa kwa kifua au ile ya kupata ukelele wa manzi basi inakua kama ukiwaza habari nzima ya kuhisi uko na obama kwa siti moja mna bonga mzee..! habari nzima ya kumuona manji kama houseboy wako kumbe mzee mfukoni una laki tu..! yani we really have to work hard on these habbits laa sivyo yani impact ni kwamba hata kibanda cha makuti unaweza usijenge.... teh teh teh.. tuende rehab mazee tukapone...!
 
Back
Top Bottom