Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?

tundulisu si ndi yule baba aliepokea tuzo ya thatcher na bush, yule conservative

hivi nyie chadema mnajua siasa za conservative movement?!
jamani muwe mnatumia google

ni siasa za kibaguzi, na kinyonyaji: fuatilia siasa za republican party na conservative paty cha UK ujue
hao ndo rafiki wa tundulisu

yani CHADEMA bwana.. hahaha
Republican ndiyo ccm au hujui maana ya republican?
 
Oooh! Kumbe huna logic unaongozwa na hisia!?

Kitu chochote inachofanya serikali lazima kiwe kina manufaa kiuchumi

Na hiyo ndio logic inaongoza serikali yoyote duniani

Sasa km mnawekeza chato kwa sababu Tu! Mnataka iendelee km dar bila kuangalia factors nyingine za uchumi, kwa vyovyote vile hyo itakuwa ni wrong strategy
Maamuzi ya kuwekeza kwa serikali yanatoa kipaumbele

1) kwa uasalama wa raia na mali zao kwanza,
2) pili mahitaji ya kibinadamu yanayo leta manufaa ya kijamii,
3) ya tatu ndio manufaa ya kiuchumi,

Serikali hakupi utajiri ila inatayarisha watu wake wawe wenye
1) Afya njema,
2) wenye maarifa (elimu),
3) Wenye kuishi kwa usalama

Baada ya hapo ndio watengeneze mazingira mazuri ya wewe kutafuta uchumi wako bora.

Na hata serikali inaposema wananchi wake ni matajiri, hupima kwa hayo niliyo ya andika kwanza kabla ya kujua una pesa kiasi gani.

Utajiri wako sio nia ya kwanza ya serikali kwa wananchi wake.
 
sio eneo langu: mi nimejibu hoja: sio lazima uwe na eneo moja tu lenye maendeleo
Mjadala huu kusema ukweli hauna tija ingawaje unaakisi matamanio ya wananchi ya kupata maendeleo kila eneo la nchi. Hii ni nzuri ila ni vibaya kubagua eneo analotokea Rais lisipate maendeleo. Kwangu mimi maendeleo ya Chato yatakuwa na athari chanya jiji la Mwanza vitabebana km ilivyo kwa shinyanga,Musoma,Kahama, Geita.vivyo hivyo kwa Chato na Mwanza kuna spillover effects to each other. Hii miji inategemeana sana kijamii na kiuchumi. Tusiwe na wasiwasi.
 
Rais John Pombe Joseph Magufuli

Rais mzalendo asiyeyumbishwa na mabeberu wala vibaraka wao

Pamoja na kwamba anaweza kuwa na madhaifu yake, hayo ni ya kawaida kwa KILA BINADAMU; hata mimi namwaminia, kumpenda, na kumuunga mkono Rais wangu Dr. John Joseph Pombe Magufuli
 
Na asilimia 14.7 ya Wamarekani hawana kazi, waliobakia wa deal na gig economy

Maisha ni magumu kila pande: kikubwa na kujaribu kutatua matatizo kwa sera zenye manufaa ya mda mrefu.

Serikali ya Mh. Magufuli imelenga ku-invest kwenye viwanda, na usafilishaji (bara bara): hopefully itazaa matunda
Si lazima kula chakula cha mchana Leo kwani na kwa jirani huwa hawali kifungua kinywa na chakula cha mchana. Alisikika mzee 1 akiiambia familia yake.
 
hiyo commecial capital inachaguliwaje? kama sio investment ya wakoloni ilisukuma watu kuchukulia kama capital.

2. Kwani Mh. Magufuli anamiliki Chato? Kwani Chato hakuna waTanzania?
Kuna vitu vingi....

Inaweza kuchaguliwa au ikatokana na sababu za kiasili; kwa hiyo unataka kutuambia Chato inataka kufanywa kama Dar?

Magufuli hamiliki Chato lakini ni kwao, nimekwambia nipe mfano wa marais wenzake kupeleka vitu vingi nyumbani kwao.

Watanzania sio wajinga? Wanaona tofauti ndio maana wanashangaa, huu sio utamaduni wetu. Hiyo hospitali ya kanda waziri alitoa taarifa Jan 20, 2020. Leo hata Jan 20, 2021 hatujafika tunaambiwa inakaribia kuisha. Mbona hii speed hatuiona kwenye miradi mingine? Mpaka wajumbe wa kamati walicheka kusikia wanajenga hospitali ya kanda Chato. Too Much

1610830526925.png
 
Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince.

Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini.

Kwani ni lengo lao kuona nchi inaendeshwa kama "bussiness as usual": tupe madini, ardhi, na control sisi tutakupa mikopo ili tukudai na mwishowe tuku-control.

Struggle ya kuondoa nchi katika mtego huo ndo chanzo cha malalamiko ya aina yoyote kupewa sauti:

Leo, wameanza kulalamika kuhusu Rais Magufuli kuwekeza Chato ambayo ipo Tanzania na wanaoishi ni waTanzania na pia auhitaji visa kuamia.
Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato.

Uvivu wa critics inabidi uwe exposed kwani unaharibu credibility ya argument zao

Mh. Magufuli ni Force muhimu katika hii nchi: we need change and he is the change!
SHETANI ndiye mwenye wafuasi wengi zaidi ulimwenguni....!
 
HYaani Hisha hata mimi sijawa convinced at all. Kuna system inatoa pesa kuzima legacy yake hata kwa Ml. Nyerere ilikuwa hivyo ilishindikana watashindwa sisis wachache tuliobaki tuonyesha yote aliyofanya kwa sasa yasije danfiwa na wen=gine!
 
Nepotism ndyo inayotukwamisha bara la Africa kupiga hatua...

Halafu mpuuzi km wewe unatetea huo upumbavu!

Miradi ya zaidi ya 1 trillion kijijini kwake raisi,... huku maeneo mengineyo hta maji hayana halafu unaona Sawa Tu!
Acha uongo maendeleo yamesambaa nchi zima! Eti Africa. Dah unaweza kumlinganisha Hayati JPM na nani kwa mfano ni mlima na vichuguu! Wao wenyewe walimkubalki sasa wewe ni nani uwasemee hao marais!
 
Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince.

Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini.

Kwani ni lengo lao kuona nchi inaendeshwa kama "bussiness as usual": tupe madini, ardhi, na control sisi tutakupa mikopo ili tukudai na mwishowe tuku-control.

Struggle ya kuondoa nchi katika mtego huo ndo chanzo cha malalamiko ya aina yoyote kupewa sauti:

Leo, wameanza kulalamika kuhusu Rais Magufuli kuwekeza Chato ambayo ipo Tanzania na wanaoishi ni waTanzania na pia auhitaji visa kuamia.
Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato.

Uvivu wa critics inabidi uwe exposed kwani unaharibu credibility ya argument zao

Mh. Magufuli ni Force muhimu katika hii nchi: we need change and he is the change!
Magufuli anaishi na kazi zake zitaishi daima
 
Enzi za zamani wako watumwa walijitolea kuzikwa na wafalme .
 
Back
Top Bottom