Mimi nimeolewa naishi na mume wangu huu ni mwaka wa tatu bado hatujabahatika kupata mtoto

Matapeli Sasa hivi wamehamia kwenye makanisa!

Nashangaa Sana mleta mada hizo comments za matibabu hazipi kipaumbelee nimeumia Sana aiseh
Wahuni tu. Kuna mama Moro kidogo aliwe na jamii hizi eti anafanyiwa deliverance na upewa maji yaliyo hai(sperm) akiwasikiliza TUMEMUONYA
 
aende kwa doctor mashavu anaweza kwenda pale magomeni kagera istiqaama au anaweza kuja hapa ilala bungoni kuna hospital pia anafanyaga part time ni daktari mzuri sana alishamsaidiaga wife kama utakuwa interested unaweza kuja pm nkusaidie hyo shida ya hormone imbalance hata mke wngu alikuwa nayo now tunakatoto kamoja kazuri ka kike soon tunaangusha kengine

hyo ni ratiba yake ya istiqaama pale magomeni kagera na kila siku ya ijumatano na ijumaa hapa ilala bungoniView attachment 1864143
Asante kiongozi. Ila na mimi nilikuwa namshauri na nika'share' kilichowahi kutupata na sisi kwenye ndoa yetu. Actually, mtoto wa pili wife alifanyiwa upasuaji na Dr Mashavu hapo hospitali ya Kiislamu Bungoni. Mwelekeze mtoa mada, hopefully atasaidiwa vizuri sana.
 
Pambafu kabisa. Unataka umkule shem kirahi halafu urudi kuandika uzi humu
Mkuu Kwa Sasa Nina mke Na Hilo Jambo nlifanya zamani Na siwezi kumsaliti mke wangu Kuna vitu vingi Sana sayansi haijagundua bado ndomaana hospital wanafeli magonjwa mengi..
Chakula anachokula mwanaume kinaaffect composition ya sperm zake hivyo Kwa vyakula tunavyokula Watanzania wengi Ukikutana Na mwanamke mwenye tatizo kidogo la Uzazi especially upande wa hormones zinakuwa hazina uwezo thabiti wa kurutubisha.
Mimi sijisifu Wala Nini lakini Yule dada jirani yangu aliponieleza tatizo lake Na anavyoambiwa hospitali nilibadili diet yangu mwezi mzima ili kuzifanya sperm zangu ziweze Kumtungisha mimba
 
Hahahaaaa. Shenzi sana, we lijamaa
 
Hili s tatizo lako n tatizo la mume wako Inawezekana n sperm count cha kufanya mwambie ale vyakula vya kurutubisha pia mkae ata miez sita ndo mje mfanye
 
Mkuu narudia tena kukwambia Hili s tatizo lako n tatizo la wanaume wengi kwa sasa mm nilishapiga mmoja kimasihara alikaa miaka kumi bila mtoto ila nilivopiga kimasihara Derick Wang Ana miaka tisa sasa jamaa ata halijui ila sikushauri uchepuke ata kidogo shemej yet Ana tatizo la sperm count n tatizo la vijana weng wa kiume cha msing Lishe tu
 
Mwnye dawa jmn naomba anisaidie. Mimi nmeolewa naishi na mume wangu huu ni mwaka wa tatu bdo hatujabahatika kupata mtoto. Anaejua dawa naomba anishauri.

Hosptal tumeshaenda
Baada ya kwenda hospitali mkaambiwaje shusha stori au Kama unahisi aibu njoo pm Nipe stori nikupe maelekezo ujitibu
 
Mwnye dawa jmn naomba anisaidie. Mimi nmeolewa naishi na mume wangu huu ni mwaka wa tatu bdo hatujabahatika kupata mtoto. Anaejua dawa naomba anishauri.

Hosptal tumeshaenda
UPO DAR? NA KAMA UPO SERIOUS NITEXT 0719900680 MTOA DAWA SI MIMI ILA DADA YANGU ANA MTOTO NA ALIKUWA NA CHANGAMOTO! MUNGU AKUSAIDIE
 
Back
Top Bottom