Mimi nitashabikia mtu,siyo chama chochote

ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
710
Huwa nashangaa watu wanavyoshadadia CCM,CDM,CUF na vyama vingine kana kwamba waliopo humo ni wema tu.
Kwa dhamira ya moyo wangu nilishajiapia, kuwa nitamshabikia mtu siyo chama. Naweza nikampigia kura mgombea A wa chama X kwenye urais,lakini ubunge nikampa mgombea wa chama Y,na nikihisi wote hawafai napiga kura kwa nafasi moja tu (mfano urais).
Sitaki kupelekwa na kelele za wapenzi wa vyama,namchambua mtu kulingana na hoja zake.
Huyu akiwa upande huu anakuwa mzuri,akifukuzwa na kuhamia upande mwingine anatoa siri za alikotoka na anaonekana adui. Nako anakoenda akiondoka anatoa siri za huko.
Sitaki kujiongezea stress,najijua mwenyewe. Mambo binafsi yanipe stress,ya ofisini stress,ya biashara stress. Bado kwa bahati mbaya nashabikia simba,nako stress.
 
Nadhani hili ungemwambia mumeo/mkeo ingekuwa bora zaidi kuliko kuleta hapa kujadiliwa.
 
Pole na stress, angalia sehemu nyingine ya kumalizia hizo stress sio hapa.
 
Back
Top Bottom