MIMI NITaMKUMBUKA JK

nginda

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
744
82
Katika mdahalo wa wagombea urais 2010 mmoja mmoja, JK alisema anataka watanzania wamkumbuke. Mwandishi alimuuliza wakukumbuke kwa lipi? hakuwa na jibu. Mimi nina cha kumkumbuka

1. Rais mtalii kuliko wote duniani
2. Rais aliyewahi kudanganywa zaidi(sijui kama ni duniani)
3. Rais aliyewahi kuwatetea wafungwa wake aliowashataki mwenyewe (NAMAANISHA MAHABUSU MRAMBA)
4. Raisi mwenye kinyongo na visasi
5. Rais aliyeuza nchi yetu kwa wahindi (Rostam, Jitu patel, manji na wengineo)
6. Rais aliyehamishia ikulu kwa familia yake (BMW)
7. Rais wa kujaza matuta barabarani badala ya kujenga barabara

Je wewe?
 
8.Muasisi wa udini nchini.
9.Rais asiyejiamini na maamuzi anayoyatoa.
 
history maker-gender sensitive when it suits him; eti first Woman speaker!!!!!!!!!!! a president who is good at twisting things kulida maslahi yake na mafisadi wenzake
 
Raisi wa kwanza kumuachia mtuhumiwa wa mauaji -namaanisha dito
raisi anayetetea anga zake na yuko teyari kukuweka jela wewe na familia yako maisha kwa kuingilia anga zake. -nammanisha babu seya
 
  • Rais Muungwana na mpenda watu wake
  • Rais mwenye uchungu na rasilimali za nchi
  • Rais aliyekuza uhuru wa vyombo vya habari
  • Rais aliyerhusu mijadala ya ufisadi iwe wazi wazi
  • Rais aliyeweka historia ya kuwa na bunge lililo huru
  • Rais aliyeendesha uchaguzi huru na wa haki
  • Rais aliye pandicha elimu ya tanzania, mf. UDOM
  • Rais aliyekusanya vizuri kodi za serikali
  • Rais aliye na maadili sio kuiba wake za watu km Slaa
  • MWISHO : Mkitaka sifa nzuri za JK mumkumbuke tunaweza kesha hapa JK
 
Rais asiyekumbuka alichokiongea jana
Rais asiyeweza kutekeleza ahadi zake
Rais mwenye kiburi asiyesikia matatizo yawatanzania ila kuwakejeri maskini kwa maneno matamu
Rais aliyeahidi bajaji 400 kama ambulance
Shule za kata sisizo na walimu
Rais aliyeshindwa kutatua tatizo la umeme nchini
rais wa NEC ambaye hakuchaguliwa na watanzania

MWISHO : Mkitaka sifa nzuri za JK mumkumbuke tunaweza kesha bila kuzipata hapa.
 
Rais muuza sura anayebadilisha picha za ofisi.

Rais anayejipandisha chati duniani ilhali ni chenga mbili kichwani!
 
  • Rais Muungwana na mpenda watu wake
  • Rais mwenye uchungu na rasilimali za nchi
  • Rais aliyekuza uhuru wa vyombo vya habari
  • Rais aliyerhusu mijadala ya ufisadi iwe wazi wazi
  • Rais aliyeweka historia ya kuwa na bunge lililo huru
  • Rais aliyeendesha uchaguzi huru na wa haki
  • Rais aliye pandicha elimu ya tanzania, mf. UDOM
  • Rais aliyekusanya vizuri kodi za serikali
  • Rais aliye na maadili sio kuiba wake za watu km Slaa
  • MWISHO : Mkitaka sifa nzuri za JK mumkumbuke tunaweza kesha hapa JK

Hizi ni sifa anazopewa marehemu yeyote yule hata kama alikuwa jambazi. Ungesubiri akifa uombe kwenda kusoma wasifu wa marehemu kwa sababu sifa za marehemu huwa haujadiliwi. Lakini kama unamjadili JK kama raisi huna sifa objective.
 
1.Rais aliyemgaragaza Padri kwenye ulingo wa siasa
2.Rais anayechukiwa sana na wagalatia wasio na akili
3.Rais anayependwa sana na wazalendo wa nchi hii
4.Rais aliyemaliza mpasuko wa kisiasa zenji
5.Rais aliyekomboa kisiwa cha Anjuwani bila kumwaga damu
6.nk nk nk nk ...........................
 
Hizi ni sifa anazopewa marehemu yeyote yule hata kama alikuwa jambazi. Ungesubiri akifa uombe kwenda kusoma wasifu wa marehemu kwa sababu sifa za marehemu huwa haujadiliwi. Lakini kama unamjadili JK kama raisi huna sifa objective.

Rais alyeshinda majeshi ya wapiga kura wa Pengo

Wanomuonea donge walie tuu,ni kwaaid yao kwani HASIDI HANA SABABU
 
Katika mdahalo wa wagombea urais 2010 mmoja mmoja, JK alisema anataka watanzania wamkumbuke. Mwandishi alimuuliza wakukumbuke kwa lipi? hakuwa na jibu. Mimi nina cha kumkumbuka

1. Rais mtalii kuliko wote duniani
2. Rais aliyewahi kudanganywa zaidi(sijui kama ni duniani)
3. Rais aliyewahi kuwatetea wafungwa wake aliowashataki mwenyewe (NAMAANISHA MAHABUSU MRAMBA)
4. Raisi mwenye kinyongo na visasi
5. Rais aliyeuza nchi yetu kwa wahindi (Rostam, Jitu patel, manji na wengineo)
6. Rais aliyehamishia ikulu kwa familia yake (BMW)
7. Rais wa kujaza matuta barabarani badala ya kujenga barabara

Je wewe?

8. Mimi ninamshukuru Mungu sikuwahi kumpigia kura.
 
Rais aliyelipa mahari kubwa kuliko mwanaume yeyote duniani.
Kumpa mama mkwe vyeo kwenye miaka yote 10 ya utawala wake.
 
raisi aliefanyiwa walkout na wapinzani
raisi aliepokea muuza mayai wa kitunda ikulu
raisi ambae vinara/ma best zake waligalagazwa vibata ktk uchaguzi eg masha
raisi usiejua analowaza mana kila wa leooo anaongea a diff story
 
Back
Top Bottom