Mimi nina nini jamani, hakuna hata mdada alienijibu PM!!

Issakson makanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
674
1,028
Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
 
Kwakua umetoka usingizini basi uko sahihi, kinyume na hapo ningekuomba unipe tofauti ya kusoma na kuelimika.
 
Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
Msomi wa masters ndio kozi gani hii? Mbona hata elimu basic kabisa ya kukupa sifa hata za kuwa mkuu wa mkoa huna? KKK?
 
Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
Ushauri ni hivi..... kama umeshona mifuko ya suruali yako humpati yeyote humu. jipange utenge fungu la kutosha umpe tuone kama hutafanikisha lengo
 
Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
Jina lako la mwisho ni mkosi, badili haraka iwezekanavyo.
 
Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
Uyo ni msagaji
 
Mmh kwa mwandiko huo! Sijui kuna typing errors kibao na sidhani kama ni kweli hiyo elimu yako
 
Hahaha!pole sana,tafuta mfupa wa bundi mzee ,usage mpaka upatikane unga,halafu chukua mafuta ya mgando kisha changanya.Jipake mchanganyiko huo kila saa sita na robo usiku kwa siku 2,mademu wataanza kumiminika kama viwavi.
 
Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
cc Miss Natafuta
 
Back
Top Bottom