Mimi nina masters nataka kuoa Darasa la saba

Kuna kosa umelifanya ila ukijerekebisha mtaishi vizuri. Katika ndoa ili muishi vizuri suala la elimu weka pembeni, ukifika nyumbani mastaz yako iache mlangoni. Ukitoa mifano toa ya kawaida, usianze unajua kuna PHILOSOFA mmoja au kuna PROFESA mmoja hapo ndoa itakuwa ndoana. Pangeni mambo yenu kwa kushirishana, cha msingi mfanye ajiamini kuwa wewe ni wake. Hata akikosea mrekebishe usihusishe kukosea kwake na elimu yake

sawa mkuu. asante kwa ushauri
 
We muoe kuna wenye masters wameolewa na darasa la saba .Na wengine na elimu zao wameolewa ni mama wanyumbani tu.
 
We muoe kuna wenye masters wameolewa na darasa la saba .Na wengine na elimu zao wameolewa ni mama wanyumbani tu.

ok mkuu nilishaamua hivyo ila nilitaka nisikie wadau wanamaoni gani.
 
Jamani wanajamvi naombeni Mawazo yenu. Kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu, mie ni Muislam, nilioa Mwalimu wa Primary nikaachana nae baada ya kubaini anafanya Ngono na afisa Taaluma wa Jiji.
Nimepata binti aliyeishia Darasa la saba. Nipeni uzoefu haya Maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu.

Nawasilisha.

Mimi nina shahada,na ninafunga ndoa mwezi ujao na standard seven
 
wakubwa nimekubali. na mimi naoa huyo mwezi wa 3. wana jf huwa hatuchangiani????
 
Sorry sijaelewa elewa mpwa, unaoa mke au darasa? That shit got nothing to do with relationship. Oa tu atakusaidia sana hutakaa uamini lakini usije ukatumia elimu yako kujionyesha especially when it comes to decide on delicate issues. Tuonane PM nikushauri vizuri utampenda mkeo daima miss neddy uongo?
 
Last edited by a moderator:
Jamani wanajamvi naombeni Mawazo yenu. Kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu, mie ni Muislam, nilioa Mwalimu wa Primary nikaachana nae baada ya kubaini anafanya Ngono na afisa Taaluma wa Jiji.
Nimepata binti aliyeishia Darasa la saba. Nipeni uzoefu haya Maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu.

Nawasilisha.

Ndugu yangu,
Ingawa wanasema mapenzi hayana mipaka, lakini linapokuja swala la kiwango cha elimu, si vizuri mkapishana sana.Thread kama hii iliwahi kuletwa hapa na nilichangia kwa kusema hivi.

Kama msichana ni wa darasa la saba, basi awe amesoma shule ya msingi ya mjini na sio ya kijijini.
 
amesoma mujini tanga
 
Jamani wanajamvi naombeni Mawazo yenu. Kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu, mie ni Muislam, nilioa Mwalimu wa Primary nikaachana nae baada ya kubaini anafanya Ngono na afisa Taaluma wa Jiji.
Nimepata binti aliyeishia Darasa la saba. Nipeni uzoefu haya Maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu.

Nawasilisha.

Swala la uaminifu halina uhusiano wowote na elimu.

Huyo wa darasa la saba pia anaweza asiwe mwaminifu. Msomi mwenzio pia anaweza asiwe mwaminifu.

Usioe elimu kiongozi, oa mke. Mke mwema hutoka kwa Mungu, sio darasani.
 
amesoma mujini tanga
Kama hivo afadhali.
Unajua ni kwa nini? Kwa uzoefu wangu mvulana au msichana aliyekulia mjini ana exposure kubwa zaidi kuliko wa kijijini.Na generally waalimu wa shule za mjini wanafundisha kwa bidii zaidi kuliko wa vijijini.

Mdogo wangu daktari alioa msichana wa darasa la saba la kijijini.Daktari alipata shida sana ya kuendana na mkewe kimtazamo na kimaisha. Alifunga dstv nyumbani kwake akawa anatazama sana vipindi vya sayansi: discovery,nk.Mkewe akawa analia kwa kusema anapunjwa anataka atezame Mambo Hayo ya Bishanga na Tausi ya akina Dama.Mumewe alipata shida sana.
 
Swali lako limejibiwa leo na mkufunzi channel ya kenya..kasema ni nooma.sio fresh, nikakumbuka hii uzi
 
Katika kutafta mwanamke wa kuishi nae usiangalie sana kasoma hadi level gani we check IQ na kama mnaendana na kuelewana pia kama anakuheshimu pia.
Uwezo wa kupambanua mambo mbalimbali ya kimaish usisahau.kila la kheri
 
Back
Top Bottom